Search results

  1. Totoz

    Natafuta kazi

    asante weee maana anajiona smart kumbe boya
  2. Totoz

    Natafuta kazi

    hahahah ungekuwa mungu ningesema nisamehe mola wangu naomba nafasi nyingine lakini wewe mwenye mapungufu tena zaidi yangu walaaaa hata sishituki maana kama huo usmart unaouzungumzia hata wewe hauna. Poleee hauwezi haribu kitu kwenye maisha yangu.
  3. Totoz

    Natafuta kazi

    Habari ndugu zangu mimi ni kijana wa kitanzania. nipo hapa mbele yenu kuomba msaada wakunisaidia ajira nimesomea uwandishi wa habari na nikafanikiwa kujitolea katika ofisi mbalimbali. nimejikuta anajitolea kwa muda mrufu bila mafanikio zaidi nikusifiwa utendaji wangu wa kazi. nikaona bora notudi...
  4. Totoz

    Usafi wa mtoto wa kike huko chini

    kuna haja ya elimu kutolewa ili wahusika wajue maana wengine naji ya baridi ya friji au ya barid kawaida .. Haieleweki.. Mara inajisafisha mara inasafishwa ila ujumbe umefika wakina dada...
  5. Totoz

    Usafi wa mtoto wa kike huko chini

    Habari wapendwa mimi ni msichana. Nimeona sehemu na haikutosha nikatumiwa text. Ni kuhusu kujisafisha kwa uke, kuna kila aina ya usafishaji mfano maji ya moto na kitambaa au kidole, ndimu, hata asali na pamba. Mie binafsi naijua maji kwa kidole. Ila ni hii ya asali na pamba mixer na maji ya...
  6. Totoz

    Nimepitia kozi ya Journalism and Mass Comunication, natafuta kazi

    nimesoma kozi kama yako na nimetafuta kazi zaid ya miaka mitatu nimepata tena pakujitolea.... Muombe mungu atakusaidia
  7. Totoz

    Naamini kwamba mtu hukumbukwa kwa mazuri yake

    my dear you touch my heart wenzetu hawa huwa hawakumbuki wema wanakumbuka kosa japo wanaumiaga kuachana ila hawataki kuonesha. Wanaume badiliken kumbuken wema pia mliotendewa japo kakosa ila kuna jema kalifanya jamani... Sie wanawake huwa tunapenda kuwa open kwao ila wao sio rahisi
  8. Totoz

    Mwanaume wiki hufui boxer

    sio chabo mkuu..vijana wanavaa kata kei..kuonesha nguo zao za ndani au we hujui hilo
  9. Totoz

    Mwanaume wiki hufui boxer

    halooooo unamkuta mkaka smart ya mavazi ya nje ngoja avue sasa haujui hii boxer nyeupe au rangi ya maziwa ni shaghalabagala tuu... Na sio boxer tu hata kunyoa nywele za kwapanii kaaa usiombe avae singilendi na anapanda daladala jaman mnatuua . Unakuta mkaka mzuri hehe ngoja anyanyue mikono...
  10. Totoz

    Nyimbo ya kudedicate kwa mpenzi

    nice vipi na zakuomba msamaha..
  11. Totoz

    Karibuni tuombe radhi kwa tuwapendao na kuwajali kupitia uzi huu

    mie hayupo humu yuko mtaani...am sorry my love nimekukosea naomba unisamehe,nakupenda sana sitarudia tena.....
  12. Totoz

    Cashier anahitajika, ofisi ipo Dar

    cashier wa eneo gani, bar, hotel au kampuni gani mkuu. Tuambiane
  13. Totoz

    Tangu apate ujauzito Hataki tufanye mapenzi

    vumilia unajua wanawake wengine wakiwa na ujauzito huwa wanachukia wanaume zao lamsingi ni kuvumilia. Ikiwezekana usimuoe haraka akikisha mtoto ana mwaka mmoja utajua tuu.
  14. Totoz

    Diary ya mpenzi wangu (unahitaji moyo wa chuma)

    nilikutaga diary ya xboy wangu ameandika wanawake alio wahi kulala nao ni mia moja sikuamini nililia sana harafu ndo kesha nigegeda duuuh.
  15. Totoz

    Jamani nisaidieni na huyu boyfriend wangu!

    koma na jiji yeye angekuwa mke wa maana asinge jishusha na kukupigia eti tunashare yeye ndo malaya mwaya sawa eeeeh we usimuache ng'o mpaka kieleweke
  16. Totoz

    Aisee,kuachwa na mpenzi huku bado unampenda,kusikie tu kwa mwenzio

    pole mpendwa kuwa mvumilivu tuuuu muombe mungu atakusaidia wiki iliopita nimepitia mtihani kama huo japo haikuwa kuachana ila ilikuwa tumekwaruzana . Nikahisi dunia yoteee inanicheka. Usijaliii mpendwaaaaa sawa we jipe moyo yatapitaa
  17. Totoz

    Sitomsahau

    usichukie wanawake wote, wengine hawapo hivyo na inategemea ulimzoesha mazingira gani kama ulikuwa unatoa toa vilaki basii aliona vidogo huko kabata vimilioni, kingine huwenda ulijisahau sanaaa.
  18. Totoz

    Mke wangu amekuta nimepiga namba ya x wangu

    yaah nitakusamehe ila siku nyingine ufanye mbaliii nisione wala kusikia
  19. Totoz

    Mke wangu amekuta nimepiga namba ya x wangu

    wanawake tumeubwa na huruma,upendo na kusahau. Naamin vyote hivyo mkeo anavyo na anavyo kwakuwa anakupenda kaanae uongee nae atakuelewa. Swali je yeye ukikuta namba ya x wake utamsamehe?
Back
Top Bottom