Search results

  1. JosM

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Una bahati, binafsi nilinunua Tv LG smart inch 42 used kwake. Ndani ya mwezi mmoja ikaweka mstari kwenye kioo ... Nikamuambia hakufanya any response... Now imekaa ndani kama pambo kioo kimejaa mistari
  2. JosM

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Habari waku... Na shida na mtu au wakala wa Airtel ambaye anaweza kuniunganisha na vifurushi vya SME au mtaani wanaita vifurushi vya ofisi
  3. JosM

    Naomba msaada kwenye rims mfumo wa Latra

    Umekosea taarifa zako za NIDA kama vile umemaliza shule mwaka gani au shule uliyosoma na mengine mengi unapaswa ujibu maswali kihusahihi
  4. JosM

    Mgao wa umeme kwa wakazi wa Mbezi Beach

    Kutokana na comments za baadhi yenu sasa nimeelewa kuwa kuna mgao ambao haujatangazwa rasmi... Kiukweli maisha ya watanzania ni magumu sana na ugumu huu unasababishwa na serikali kutokuwajali wananchi wake, kama hivi sasa kuna mgao na makali ya maisha yalivyo shikamoto sasa wenye kutegemea...
  5. JosM

    Mgao wa umeme kwa wakazi wa Mbezi Beach

    Mmh! Ina maana kijana wangu ana chake tena? Sio huyo bana, me namzungunzia yule cheupe peeee kijana wangu amekufa pale
  6. JosM

    Mgao wa umeme kwa wakazi wa Mbezi Beach

    Pole sana mzazi mwenzangu, mkwe wangu anaendelea je
  7. JosM

    Mgao wa umeme kwa wakazi wa Mbezi Beach

    Inaelekea kuna mgao wa umeme wa kimya kimya mkuu... Kama unavyo jua hii nchi yetu ni vigumu sana kukiri kuwa kuna mgao kwa haraka hivi hadi tatizo liwekubwa ndio wakiri ili wapate na upenyo wakufanya ufisadi wao wapate fedha za uchaguzi mwakani.. Ila kwa watu maskini na wajasiriamali kama sisi...
  8. JosM

    Mgao wa umeme kwa wakazi wa Mbezi Beach

    Ni takribani mwezi sasa wakazi wa Mbezi Beach tupo kwenye mgao wa masaa 12/14 kila baada ya siku moja Mwanzo Tanesco walikuwa wanatoa matangazo kuwa wanakata miti kwenye wiki ya kwanza baada ya hapo hakuna taarifa yoyote kutoka tanensco. Kuhusu huu mgao unaoendelea kimya kimya kila baada ya...
  9. JosM

    Finally Huawei E303 unlocked

    Mkuu hii kitu itafanya kazi kwenye Modem ya tigo ya Huawei E303 ?
  10. JosM

    Mbowe: Nitajiuzulu endapo wabunge wa CHADEMA watapungua 2015

    Jamani acheni kumuandama mwenyekiti/mbunge wangu, ulimi uliteleza tu! "Siasa siHasa" Atahivyo ni mda wake muafaka wa kuachia nafasi ya uenyekiti kwa watu wengine sasa, chadema kuna watu wengi makini sana ambao wanauwezo wakukiendesha chama hata na kumzidi Mbowe, Tusipo angalia ili swala la...
  11. JosM

    Bunge kusitisha kurusha 'LIVE' vikao vyake!

    Tatizo lipo kwetu watawaliwa (wananchi) unadhani tungekuwa tuna tammbua haki zetu na kuzidai kwanguvu kuna mshenzi yoyote ambaye angeweza kuja na hoja ya kipuuzi namna hii? umefika wakati sasa tuwaambie imetosha.
  12. JosM

    Unga mkono JWTZ kulinda mipaka ya Nchi yetu!

    Siwezi kuunga mkono ili swala, hivi unajua ndani ya tanzania kuna ardhi ambayo siyo mali yetu? Ambayo viongozi wetu wameuza kwa mataifa ya kiarabu toka enzi za Mwinyi? Ziwa Nyasa ni mali ya Wamalawi,kwa nini unataka tumwage damu kwaajili ya kuwanyanganya wa Malawi ardhi yao? Ingali...
  13. JosM

    Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    Nimepata elimu safi sana ya maswala ya uzazi.... Hakuna sababu ya kusingizia tena hapa eti ooh unajua H ndio tulipanga awemtoto wetu wa mwisho ila K ilikuwa bahati mbaya tu, sasa ni mwendo wa science tu!
  14. JosM

    Kuacha Mapaja Nje Ni Fashion?

    Namuona Mtoto Sitti Mtemvu, anawaka siyo mchezo majuu ni majuu tu kwa kweli
  15. JosM

    Willy Malecela kajiunge na Arumeru Kampeni Management Team

    Naona Le Baharia ameingia na ID yake nyingine kujipa ujiko Gamba Jipya= Willy J M
  16. JosM

    Avunja mahusiano kisa mimba kila mwezi

    Kumradhi wanaJF kwa kuandika topic nusu, nimeirekebisha now tunaweza kuchangia mada.
  17. JosM

    Avunja mahusiano kisa mimba kila mwezi

    Habari wana jf'mm n member mzuri sana wa hii rum ila cjawahi ku comment chochote coz najikuta nasoma 2 comm za wa2 na kurifresh mind! Nimeamua nimuache kila mwez mimba nimechoka best"nimaneno ya rfk yangu ndan ya mastory hebu mpeni ushauri jaman about condom zinampa fangasiiii! Thx.
  18. JosM

    Avunja mahusiano kisa mimba kila mwezi

    Habari wana jf'mm n member mzuri sana wa hii rum ila cjawahi ku comment chochote coz najikuta nasoma 2 comm za wa2 na kurifresh mind! Ok' leo nimejikuta natinga kwenye uwanja.majuz nilienda kumpa hi my best ndani ya story akaniambia ameamua kuachana. Na rfk yake wa kiume coz anapata mimba every...
  19. JosM

    Mkuu wa mkoa wa Arusha amwagiwa maji stand ya mabasi ya Arusha mjini

    Hii habari haina ukweli wowote.
  20. JosM

    Kwa hili, Rostam Aziz hutasameheka

    Dah! hii habari imenishtua sana, pia siwezi kushangaa kwani siyo Igunga peke yake ukitembelea baadhi ya majimbo kadhaa utakutana na hali kama hii... Hii hali haikupaswa kuwa sehemu ambayo tajiri mkubwa na kifisadi wa kimataifa Rostam anatoka, nilitegemea wananchi wa huko wangekuwa na maendeleo...
Back
Top Bottom