Huu ni ulaji na wala haukubaliki! Mahakim wanacertify vyeti copy bila kuona originals. Huu si ni upuuzi, halafu tume ya ajira inaendelea kukomalia watu wacertify vyeti.
My take; PSRS au mashirika mengine yawe yanahitaji vyeti originals tu kwa wasailiwa wanaofikia hatua ya Oral interview...
Nafasi zinazotangazwa na utumishi ni kwamba wanaoajiriwa na utumishi wanalipwa mishahara na Serikali moja kwa moja (Hazina). Wanaoajiriwa na MUHAS au agency yeyote ya serikali kama Ewura, Tacaids, TRA, Sumatra nk wanalipwa na hizo agencies moja kwa moja na si Hazina.
Kwa kifupi mtangazaji wa...
Indeed! In the past, i found planning and organising a challenge but i can now use outlook both in my mobile phone and desktop computer to synchronise my tasks. i found it very useful therefore saves my time and monies. Please send me a pm, we can do!
Habari wakuu!
Nimekuwa nikifanya kazi na wazungu zinazohusisha matumizi ya excel 95% kwa zaidi ya miaka minne sasa. Kwa hiyo nipo vizuri sana kwenye spreadsheet.
Kazi zangu zilikuwa ni kutengeneza formula (Logical formula kama IF function and the like) ambazo zimekuwa zikirahisisha...
Inakatisha tamaa sana. watu 3000+ post ni 50. simple ratio ni kwamba nafasi moja inagombaniwa na watu zaidi ya 60. Kitu ambacho hakiwezekani kabisa.
Ingekuwa fair nafasi moja igombaniwe na watu wasiozidi watano. I mean wangeita watu max 250 tu.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.