Tafuta ndugu, ndugu wa kweli akushauri. Millioni ishirini siyo nyingi mana ukizitumia tumia utajikuta hata bishara yenyewe hutaianza. Labda uchukue millioni kumi uiweke kwnye fixed account ili kuhakikisha umeificha pahala na hiyo millioni kumi nyingine ufungue biashara.
I am impressed by all the very matured and informed responses to the lady who wants to stop breast feeding and attend school. She should definetly see a Doctor and I mean a Doctor with capital D and not a doctor for advise although of course if she cares she has almost had 90% of the dvice she...
Hakuhitaji kusema kama ana haki au vp,tabia yake ya kinyonga ilitosha kumsemea yeye alikuwa nani, tofauti yake na Mobotu ilikuwa ndogo sana...alifanikiwa kuwazuga akili tu wanamjuwa kuwa mtukufu, waliokaa nae na kumjua undani wake wanajuwa jamaa alikuwa muhuni tu.
Nilikuwa naienjoy sana hii...
I have been reading Jamii Forum the home of great thinkers for a while. I would like to post starting with my light touches of likes like quatations, jokes and meditations. So do read me when moderator displays my pieces God willing.
Raisi anafanya mambo madogo kama kufunga mikanda ya viatu ya watoto wakati kuna makubwa makubwa ambayo yanamngoja. Si angewaambia wasaidizi wake wafanye hiyo kazi? Hata hivyo nafikiri you can have a million and one right interpretations of this photograpgh of the President tying the shoe string...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.