Search results

  1. iGodmanhustler

    Lachaz pub, Sinza Mori ni chimbo la wezi wa simu

    Sawa Mr.Much Know ....Mutoto ya Mujini .Mr Dar es salaam
  2. iGodmanhustler

    Lachaz pub, Sinza Mori ni chimbo la wezi wa simu

    Uliyoongea yote ndio ukweli mtupu uliopo pale..Tunaopajua vizuri wengine wanahisi labda tunadanganya au tumekua wazembe,pale sikuhizi malaya ni wengi kuliko wanawake wa kawaida..pamekua kama kona bar,ukikaa kidogo lazima usikie kuna ugomvi .Sio lachaz tuliyoizoea
  3. iGodmanhustler

    Lachaz pub, Sinza Mori ni chimbo la wezi wa simu

    At least wewe unajua jinsi palivyokua lachaz ambao hawajui ndio wanajifanya wajiuaji
  4. iGodmanhustler

    Lachaz pub, Sinza Mori ni chimbo la wezi wa simu

    Sure.Lazima mmilikia ajitathmini
  5. iGodmanhustler

    Lachaz pub, Sinza Mori ni chimbo la wezi wa simu

    Haya mjanja wewe mzee baba.[emoji3] [emoji122] [emoji122] nikikuona nitakupa simu wewe unishikie
  6. iGodmanhustler

    Lachaz pub, Sinza Mori ni chimbo la wezi wa simu

    Aliekuambia amekabwa nani..
  7. iGodmanhustler

    Lachaz pub, Sinza Mori ni chimbo la wezi wa simu

    Ahaha anaonekana tuu kibaka
  8. iGodmanhustler

    Lachaz pub, Sinza Mori ni chimbo la wezi wa simu

    [emoji3] [emoji3] kwaio unadhan iliachwa mezani?haikua tekno mzee,tekno ndo huwa zinaachwa mezani
  9. iGodmanhustler

    Lachaz pub, Sinza Mori ni chimbo la wezi wa simu

    Mzee upo kibaha ukoo unalalamika maji hakuna unakuja kuchangia post za watu mjini[emoji3] [emoji3] [emoji122] ..wewe tulia tukianza kuulizia mashamba tutakuita..Vipi umeoga leo ??
  10. iGodmanhustler

    Lachaz pub, Sinza Mori ni chimbo la wezi wa simu

    Kama huna la kuongea bora ukae kimya utumie kichwa chako kufanyia vitu vya maana
  11. iGodmanhustler

    Lachaz pub, Sinza Mori ni chimbo la wezi wa simu

    [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
  12. iGodmanhustler

    Lachaz pub, Sinza Mori ni chimbo la wezi wa simu

    Yaani hali ipo kama ulivyoelezea hapo
  13. iGodmanhustler

    Lachaz pub, Sinza Mori ni chimbo la wezi wa simu

    Ilikua zamanii at least nowadays iko fresh..mwanzo mwanzo hata wale wadada masela walkuepo
  14. iGodmanhustler

    Lachaz pub, Sinza Mori ni chimbo la wezi wa simu

    Its good to hear that..I was just like you!!ukienda this weekend chunguza utaona pamekua na movements nyingi tofauti na mwanzo na lachaz ilishajengeka ni sehem flan yakistaarab sio zile bar unaenda wallet umeishikiria mkononi
Back
Top Bottom