Search results

  1. Natty Bongoman

    Papa: Unyanyasaji wa kingono Ufaransa aibu kwa Kanisa

    matamshi ya kutuliza umma ... tokea miaka nenda rudi... anashindwa nini kusema nimemfukuza kazi askofu
  2. Natty Bongoman

    Ndege nne za Urusi zaangushwa huku baadhi ya Wanajeshi wake wakikataa kutekeleza amri za Wakuu wao

    huyu mbbc alikuambia madhara ya upande mwingine? ... hii vita si simba na yanga
  3. Natty Bongoman

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    unaishi wapi ka hujaona hata mafuta yanapanda nk... ama we mwanafunzi
  4. Natty Bongoman

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    nikikwambia ndio utanibishiaje... mbona tunapoteza dira jamani
  5. Natty Bongoman

    Nchi za Magharibi zitashinda vita na Urusi, Magharibi wanapigana kisayansi Putin yatamkuta ya Saddam Hussein muda sio mrefu

    ulimbukeni huu - kwani mrusi hajui sayansi... yaani unashindwa hata kuelewa mrusi anaogopeka sababu ya sayansi ya kivita.. du
  6. Natty Bongoman

    Putin anaonya nchi za Magharibi: Urusi itaibuka kama taifa lenye nguvu zaidi

    vilikuwa vikwazo maneno kutudanganya sisi waswazi ... nyuma ya pazia walifanya biashara na kaburu vizuri tu ... ndo ujue wazenge hawa hawatujali hata siku 1
  7. Natty Bongoman

    Uswizi yatangaza kuzuia zaidi ya Tsh. Trilioni 350 za Warusi

    Wanajiingiza vitani ... watajuta kesho .. vita vitaisha na nchi zilizoona ujinga zitajitoa uswese... biashara ya benki inatanuka
  8. Natty Bongoman

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    sijawahi ona mjinga anatetemesha dunia... jirudi kichwani
  9. Natty Bongoman

    Ukraine yaruhusu matumizi ya Cryptocurrency

    ina maana hela yao imefifia... afu m nkisikia mabomu nawazia uhai sio cryptocurrency ... uchizi huu
  10. Natty Bongoman

    Ukraine: Licha ya vita kuendelea, Meya wa Kiev amwalika Papa Francis

    Sijui mnachokiona wenzangu ... mm naona papa kafyata mkia ... kimyaaaa ...ndo ujue kwake utu kwanza (nyumbani) mungu baadae
  11. Natty Bongoman

    Ukraine: Licha ya vita kuendelea, Meya wa Kiev amwalika Papa Francis

    zelensky kachizika ... anaalika watakatifu na mashetani ndani ya mwaliko mmoja... hajitambui anabahatisha
  12. Natty Bongoman

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    mi namuona anahutubia akiwa kajichimbia handaki... afu ni muigizaji tu mbona mawaziri wake wanavaa suti wanatangaza kokote
  13. Natty Bongoman

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    cheki nyuzi... msaudi anawazia alipwe yuan mafuta... dola litadondoka kishenzi hili likitokea
Back
Top Bottom