Search results

  1. J

    Hivi Madini yalitoka wapi?

    Guys, The planet earth was formed around 4.54 billion years ago by accretion from the solar nebula (geologicallly). So why comes we see uneven distribution of elements on the earth? To understand this, first you must know the physical composition and chemical properties of our planet earth...
  2. J

    Madaktari wote waliogoma kufukuzwa kazi na utumishi!

    Uongo wewe. Hawako considerate? Sasa mbona na wao serikali haiwapi consideration?
  3. J

    Madaktari wote waliogoma kufukuzwa kazi na utumishi!

    Dola? Dola gani! Utumbo mtupu.
  4. J

    Ipo siku JamiiForums itaandikwa kwenye historia ya Tanzania

    Hakuna wa kuihujumu hapa, mpaka pale nchi yetu itakapokombolewa toka mikononi mwa mafisadi haya ya CCM.
  5. J

    Walimu wote kuanza Mgomo Jumatatu Tarehe 01/07/2012

    Mnatakiwa mgome. Fanyeni mgomo usio na kikomo, siyo issue za siku tano hapa. Hivi mnapumbazwa na nini mpaka mnawaogopa haya mafisadi kiasi hiki. Umasikini utawamaliza.
  6. J

    Jaji aliyemvua Lema ubunge apooza miguu

    Hiyo itakuwa imepunguza matatizo mengi.
  7. J

    Jaji aliyemvua Lema ubunge apooza miguu

    Mtu yeyote ambaye anapigania kuendeleza ufisadi huyo ni adui wa CHADEMA, ni adui wa Watanzania wapenda maendeleo. Hiyo naomba ieleweke, siyo siri. Usituletee ushamba wako hapa. Arguments zako hizo kama umekosa sehemu ya kuziweka, ni bora usiandike chochote.
  8. J

    Wanawake wanataka wenye...

    Mie mtu wa kujishughulisha sana kimaisha, umri wangu ni kama miaka 33 hivi. Nina MSc na kipato(mshahara) changu kwa mwezi siyo kibaya sana (approx 4,000.00USD). Bahati mbaya au nzuri nimeisha funga ndoa (ya kiserikaili)na kuacha takribani wanawake wanne hivi, kwa vipindi vya miaka minne...
  9. J

    Na Sisi tuwasusie madaktari kuwapa huduma

    Ndiyo maana nasema aende akawe yeye dactari.
  10. J

    Na Sisi tuwasusie madaktari kuwapa huduma

    Naomba waendelee kugoma. Madkitari siyo wanasiasa. Wanachosema ndicho wanachomaanisha.
  11. J

    Na Sisi tuwasusie madaktari kuwapa huduma

    Kalolo, umesema kweli. CCM na viongozi wake umaefika sasa waboreshe maslahi ya wafanyakazi wake. Ufisadi wanaoufanya sasa unaanza kuwatokea mapuani.
  12. J

    Na Sisi tuwasusie madaktari kuwapa huduma

    Akili yako inahitaji marekebisho.
  13. J

    Na Sisi tuwasusie madaktari kuwapa huduma

    Kumbukene kuwa fani ya udakitari kila mtu anaikimbia. Siyo fani ya kwenda kichwa kichwa. Wametumia miaka mingi sana mpaka kufika hapo walipo. Watu wangapi wanayakimbia masomao ya sayansi! Leo hii unawaletea masuala ya mizaha kwenye maisha. eti?
  14. J

    Na Sisi tuwasusie madaktari kuwapa huduma

    Kweli kaka, uelewa wa watu humu ni mdogo sana. Watnazania sasa tunahitaji mabadiliko. Maonevu yametosha. Kama mnadhani watanzania wa leo wanafanana na wale wa miaka 50 ilipita naomba msahau hilo. Uelewa wetu umeongezeka kwa kiasi kikubwa. Vijana wanajitambua na wanajua haki zao zote. Wewe kama...
  15. J

    Na Sisi tuwasusie madaktari kuwapa huduma

    Wapeni madakitari haki zao. Wewe kama hutaki kugoma basi umeridhika na maisha yako yalivyo. Usiwakwaze wenzako wanaopigania maisha yao. Suluhisho waulizeni CCM.
  16. J

    Mbowe ambana Waziri Mkuu atoe kauli juu ya masuala yanayokwaza demokrasia na utawala bora

    Mfa maji haishi tapatapa, hutafuta kila pa kushika hapaoni. CHADEMA chama cha watanzania na vijana wote tutaiondoa CCm 2015. Naomba tuendlee na maandalizi haya kwa kasi bila kukoma.
  17. J

    Mbowe ambana Waziri Mkuu atoe kauli juu ya masuala yanayokwaza demokrasia na utawala bora

    Acha waseme sana, lakini jitihada zetu za kuikomboa nchi na watanzania wote hazitakoma. Hakika mwisho tutapata ushind na kuwaondoa hawa mabwenyeye.
  18. J

    Chadema yapewa gari na yazidi kujipanua hadi nje ya Tanzania

    Watanzania tumechoka na umaskini huu. Tuna maliasili nyingi hata kuliko nchi za ulaya. ViongozI watakao tuongoza vizuri ndiyo hasa tunachohitaji. MUDA WA MABADILIKO KWA VIJANA NI HUU. 2015 JIBU LETU HASWA.
  19. J

    Wachangie CCM Wenzangu, CHADEMA haiwahusu.

    Yeah, haya manyangau yamisha tunyonya sana.
Back
Top Bottom