Search results

  1. Abraham

    Afisa wa TRA amenikera, anadai serikali haitambui biashara na mtu wa Congo

    Ila pia huyo Rais wa TAFA kajichanganya na kujikuta anatetea utozaji wa VAT kwenye hizo huduma bila kujijua. Pale alipotoa mfano wa mfanyabiashara aliyetoka Congo akilala hotelini, akila chakula akitumia huduma ya kuhamisha fedha ni sahihi kutozwa kodi kwa kuwa ametumia hapa...ina maana basi...
  2. Abraham

    Shikamoo serikali ya awamu ya 5, nimefunga rasmi bar yangu

    Ila kwa kweli nikiiangalia Tanzania mwaka mmoja ujao hata kodi serikalini itapungua ...maana biashara nyingi zimeyumba hivyo kiasi cha kodi lazima kitapungua mwisho wa siku
  3. Abraham

    Kiama kingine kwa wafanyakazi Serikalini

    Ila Wadau msijifariji kwa vile inamgusa mwajiri. Kumbuka kimsingi Total employees' cost to the employer itaongezeka na hivyo your next increment will automatically be affected as a result of this tariff...meaning mwajiri atahakikisha his next year budget for employees ina-consider hiyo tariff na...
  4. Abraham

    Ruzuku ya $34milioni kwa Vodacom! Upuuzi mwingine mkubwa serikalini

    Mkuu Mshana Huyo mwakilishi wa voda alikosea kwenye kiasi cha ruzuku ni USD3.4m sio34m . Hapo chini ni taarifa kwa umma ambayo vyombo vyote vya habari tulipewa : Imeambatanishwa.
  5. Abraham

    Nishaurini ipi bora kununua iphone au samsung

    You know what, You better wait for iphone 6, but meanwhile you can buy Samsung galaxy S4 for the interim period as Iphone 6 is around the corner
  6. Abraham

    King'amuzi kwenye LCD, LED na PLASMA TV vipi?

    TV inaweza kuwa LCD, LED ama Plasma haina uhusiano na Kuwa Digital TV ...cha msingi kama TV yako ni ya digital ndio uongelee swala la kukwepa king'amuzi.
  7. Abraham

    Vipaji maalum si lolote, si chochote

    Anyways Tanzania ndio ishakuwa jamvi la wageni. maana raisi tu ni Dk. ( that means ana kipaji maalumu maana hata hajaisomea ...kapewa tu kwa ajili ya kipaji chake maalumu cha magumashi.... na mawaziri wake wengi tu ni ma Dr. hewa kama Nchimbi ambaye amenunua phD ndani ya 2 weeks tukasikia mtu ni...
  8. Abraham

    Nisaidieni kijana wangu wamempa pesa fekio kwenye account ya mpesa, nianzie wapi?

    Pole sana ndugu yangu, ila nasikitika kuwa huna ushahidi usioacha shaka wa kumtia hatiani mtuhumiwa hata kama utamshika. Kumbuka huna namna ya kuithibitishia mahakama kuwa kijana wako hakuwa na hela nyingine feki au hajabadilisha fedha feki na kuzitoa za fedha halali ambazo mtuhumiwa anaweza...
  9. Abraham

    Ajali Mbaya maeneo ya TSN Mikocheni

    Tatizo hapo ni madereva wengi wa Dar hawajui / hawawezi defensive driving. Pamoja na kuwa dereva wa daladala katanua lakini dereva wa gari la jeshi bado angeweza kuokoka angeapply defensive driving coz angekubali kumpisha dereva wa daladala pamoja na kuwa yeye ndio ana haki ya njia pengine ajali...
  10. Abraham

    Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

    Mimi nakubaliana na wewe kabisa.. Wabongo hata siku moja hawako positive. Kwani kuna siri kwamba huyo mama ni mmiliki wa St Mary International Schools kwa muda mrefu sasa . Je unadhani amekuwa akipata hasara au faida? Kama ni faida kwa nini unadhani faida hiyo ya miaka yote hiyo haitoshi kujenga...
  11. Abraham

    Tamko fupi la Jumuiya ya Madaktari - Juni 28, 2012

    YOu and Hengo has just demonstrated that u are in the payroll of Mr Mdhaifu, rest assured you'll forever remain "stupid and selfish bastards with 1kb brain memory size'
  12. Abraham

    A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

    Of course..ikumbukwe kuwa kama "polisi njaa" wangetumika then kusingekuwa na coordination na uongozi wa polisi...Mfano alipopolekwa kituo cha polisi bunju Dr Uli hakupewa msaada wowote na kituo ilhali wakijua alikuwa amedhurika vibaya - hii inamaanisha tayari walikuwa na mwongozo kutoka juu kuwa...
  13. Abraham

    Water tanks na kutengeneza kisima

    Hilo ndio tatizo letu wabongo.. tunapenda kununua vitu sehem za kisharobaro ukitaka tank wewe nenda buguruni kwenye wauzaji wakubwa wanaonunua mojakwa moja toka kiwandani. kwa tanki lako la 5000 lt unaweza uka-save hadi sh 150,000 na wakati usafiri gharama itaongezeka kwa sh 10,000 tu
  14. Abraham

    BONTA katoa MATUSI

    Huyo dogo kapinda, nimesikia clouds wakimjadili asubuhi kwenye pb kuna utenzi Bonta kajisifu anasema " tungo zake zimebarikiwa na Allah ...zina hadhi zaidi ya bikira ya Maria" . Sasa Bonta akahojiwa kwa nini anawakashifu wakatoliki kwa kulitaja jina la Maria kwa namna ya upuuzi ..akatoa...
  15. Abraham

    Unaishi kwa kipato chako?

    Hivi tunawezaje kuishi kwa matumizi yafuatayo kila mwezi? Fikiri; Matumizi nyumbani; chakula, umeme, gesi, maji, soda/juisi za wageni.Ada za watoto zinazolingana na za chuo kikuu Matibabu hospitalini,pesa ya walinzi kwamwezi, sherehe za kuaga na kukaribisha mwaka mpya, Zaka ya kanisani na...
  16. Abraham

    Majeruhi wa ajali ya Regia afariki dunia

    Hata JK naye anahusika kwa kuwa kama yeye yupo na hafanyi chochote kutatua mgogoro, au kuwafuta kazi waliopewa dhamana ya wizara ya afya... Uwaziri Mkuu basi na yeye anahusika Moja kwa moja. Shame shame shame on you "Government for (your relatives)" and no longer Government for the people...
  17. Abraham

    Kafulila afichua siri za watumishi - kuna wanaolipwa 20,000,000/= kwa mwezi

    Hivi ni kwa nini watu hupenda kutoa takwimu za kubuni bila kuzifanyia uchunguzi...? Kwa mfano mimi nina ushahidi kuwa gavana wa BOT hulipwa USD 25,000 sio Tzs 20m . kwa hiyo natilia mashaka takwimu nyingine kwa kuwa kwa hii niiijuayo ya BOT governor imepunguzwa sana Tzs 20m sidhani kama Tanzania...
  18. Abraham

    Mwingira, frenandes, lusekero, kakobe, lwakatare !!!!!

    Sijaelewa hoja, Tafadhali elezea upya
  19. Abraham

    Biashara ya mafuta ya ubuyu

    Kuwa mbunifu, usichukulie kila mtu anayesoma hapa jukwaani anajua faida zake... mimi nakushauri uelezee faida zake ili uweze kupata pia soko la wale ambao bado hawajui faida za mafuta ya ubuyu. Usipoeleza faida zake hapa jukwaani utakuwa umejizibia riziki na utabaki na wateja wanaozijua kwa sasa...
  20. Abraham

    somo lingine kutoka Zambia!

    For Sure CCM need to learn from Zambia's election 2011, CCM days are numbered!!
Back
Top Bottom