Search results

  1. mizambwa

    Nchi zilizotoa vibali vya maandamano ya kupinga Serikali ya Rais Magufuli ni adui wa siri na Tanzania

    Huenda huko Katiba yao inaruhusu wananchi kuandamana Na pia waandamanaji wanapewa ulinzi wafike salama waendako. Katiba ikiruhusu haina kosa.
  2. mizambwa

    Sirari: Wananchi wakusanyika kituo cha Polisi baada ya Polisi kudaiwa kumuua mdogo wake John Heche, Suguta Chacha

    Hivi mkuu haya uliyoandika yametoka katika medula oblongata yako au umetapika???? Maana sielewi Kama mtu timamu mwenye medula oblongata inayofanya kazi anaweza kusema haya!!!! INANIUMA SANA!!!!
  3. mizambwa

    Msaada: Gharama za nyumba ya vyumba viwili

    Kwa kuwa una plan kujenga chumba kimoja weka bajeti ya tofali 400 hadi 500 inategemea Na Kiwanja kilivyo. Mabati matano, mbao 4*2 wastani 4 Na mbao 2*2 = 4. Nondo 2. Anza Na hapo.
  4. mizambwa

    Askofu Pengo: Sikufahamu kuhusu waraka wa Kwaresma wa Baraza la Maaskofu Katoliki. Awaasa wasichanganye dini na siasa

    Inaonyesha nyie mnafahamiana. Je Ni kwanini msipeane maneno mazito hayo huko mtaani mlipo kuliko kuja kujidharirisha hapa?? Inaonyesha wote mna Kasoro ktk medula oblongata zenu. Nendeni Muhimbili mkapimwe Na muanze dose mapema.
  5. mizambwa

    Askofu Pengo: Sikufahamu kuhusu waraka wa Kwaresma wa Baraza la Maaskofu Katoliki. Awaasa wasichanganye dini na siasa

    Je, Ina maana Na yeye siyo Askofu?? Aende akawashtaki walioandika jina lake na siyo kukana madhabahuni. Kwani naye amechanganya dini Na siasa. Hata Yesu Na Yohane Mbatizaji walikemea viongozi wa siasa walipofanya ndivyo sivyo. Je Askofu Pengo Ni zaidi ya Yesu au Yohane Mbatizaji??? SIPATI...
  6. mizambwa

    Makonda: Aliyesema ametekwa ameuchafua mkoa wetu, Iringa wakimalizana nae wamlete Dar

    Duuuuu!!!!!!! DSM imechafuliwa Kwa suala la mtu kutekwa!!!!!!!! Kama Ni hivi mikoa yote Tanzania Ni michafu. Mbona matukio Ni mengi ya wait kupotea au wote wanatafuta Kiki za kufahamika???? Wapo wapi wale waliotangazwa kutoonekana kwani hata maiti zao hazijaonekana. Mifano Ben Saanane...
  7. mizambwa

    Jicho la mwewe lamnanga Zitto ...yeye auchuna!

    Endapo mngechagua upande wa upinzani ndipo hiyo ahadi ingetekelezwa. Hivyo Kwa SASA ridhika Na hii uliyotoa hadi kidato cha nne. Njoo baada ya miaka mitano ndipo utoe hoja hii. Today it's too late.
  8. mizambwa

    Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

    We Ni mchochezi Na mpika maneno. Hivi kuna uhusiano gani Kwa hii mifano ya kisiasa uliyotoa Na upoteaji wa huyu kijana ?? Mbona haviendani au mwenzetu unataarifa za undani zaidi kwani hata kijana hajasema bado alikuwa wapi Na polisi alipoenda kuripoti Kyle Iringa hawajasema amewaeleza nn...
  9. mizambwa

    Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi aliyeripotiwa kupotea, Abdul Nondo apatikana Mafinga mkoani Iringa

    Ajabu sana. Maana tulielezwa kwa kaenda home kwao Madale!!!! SASA tena Iringa!! Au Ni pacha wake huyo!!!!
  10. mizambwa

    Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, hivi kinachojengwa Tazara ni Flyover au tumepigwa?

    Fundi lazima ajue kujenga Na kubomoa. Hivyo endapo Ikijaonekana Ni tofauti watabomoa au kurekebisha. Tuwe Na subira.
  11. mizambwa

    Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Abdul Nondo aliyekuwa anakosoa mwanafunzi Akwilina kuuawa na Polisi, hajulikani alipo

    Huenda lilikuwa Ni tamko la shinikizo. Hatuwezi kujua undani wa tamko. Mungu ibariki Africa. Mungu ibariki Tanzania.
  12. mizambwa

    Rais Magufuli atoa kibali ujenzi wa msikiti uliozuiwa Rukwa ili kuleta maridhiano na amani, asema yuko tayari kuuzindua

    Kichwa chako kimejaa pumba sidhani kama kuna ubongo. Umeandika vitu tofauti Na mada iliyopo. Nenda ukapimwe akili.
  13. mizambwa

    Mwenyekiti wa kamati ya uongozi CUF, Julius Mtatiro avuliwa uanachama

    Kwa mbaaliiii natafakari maneno ya mheshimiwa Fulani wa nchi moja ya ulaya aliyepatasema kuwa "Africa inastahiri kutawaliwa tena, yaan warudishwe enzi za ukoloni....."
  14. mizambwa

    Serikali yawajibu Umoja wa Ulaya(EU) na Marekani kuhusu kutokuwepo usalama na haki za binadamu Tanzania

    KWA SASA SISEMI. YANGU MACHO. NASUBIRIA MATOKEO... MIZAMBWA INANIUMA SANA!!!!
  15. mizambwa

    Baada ya Matokeo ya Kinondoni na Siha, Mbowe anapaswa kujiuzulu. Hawezi tena kukivusha Chama

    Hata akijiuzulu Mbowe Na akachaguliwa mwingine hakutakuwa Na mabadiliko. Labda kwa mtazamo yangu akijiuzulu Mbowe Na kisha tumchague malaika mkuu Gabriel wa kesho la malaika ili awe kiongozi wa chadema, au wa chama chochote cha upinzani Tanzania ndipo kutakuwa Na mabadiliko katika demokrasia ya...
  16. mizambwa

    Namna ya kushinda kirahisi biko na tatu mzuka jadili maswali yafuatayo Kwa usahihi

    Cha ajabu wakati anatangazwa mshindi labda mil 110, ni kwamba simu inatakiwa mara moja au mbili imepokelewa, kisha mtu anapokea MATOKEO au taarifa mzuri pasipo mshituko. Kwa kweli usawa huu upewe mil hata moja tu hiyo furaha yake hata sisimizi watatoka katika mashimo yao kushuhudia. Lakini...
  17. mizambwa

    Hii Katuni ya Said Michael Inaongea Mengi

    Kesho majibu: "UJENZI WOTE NI KWA PESA YETU WENYEWE ASILIMIA MIA MOJA" .....jamani Wadanganyika hata kunipigia mak of kidogo.. kweli NYIE mna wivu Na tunayofanya..
Back
Top Bottom