Search results

  1. K

    Mahubiri ya Mbarikiwa Mwakipesile kuwa anaonewa na baadhi ya watu serikalini

    Hujanielewa nimesema hivi yeye anadai kuwa hajatendewa haki...kufanyiwa hivyo..
  2. K

    Mahubiri ya Mbarikiwa Mwakipesile kuwa anaonewa na baadhi ya watu serikalini

    Kuna clip za mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile akilalamikia kutopewa usajili wa Kanisa lake la Kikosi Kazi Injili isivyo sawa sawa, hii ikoje?
  3. K

    Huduma katika hospitali za umma ni mbovu sana na zinatesa wananchi!

    Hospitali gani hiyo mbona hujaitaja
  4. K

    Hivi wenye magari wote tukaamua Mei 4 tupaki magari, itakuwaje?

    NI vyema wananchi mrudi kiendesha magari yenye ujazo mdogo km vitz IST passo Ractis nk.. Hayo maHarrier na Forester V8 DUALLIS Yafungieni kwa kitambo mpk hali itakapobadilika ya bei ya mafuta
  5. K

    Dar es Salaam wanawake wengi ni madada poa ila wanajificha kwenye kivuli cha uanafunzi, niligundua hili baada ya kuingia sita kwa sita

    Moto upo na mbingu ipo..wazinzi wooote mahali pao ni..[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] period Mpokee Yesu leo upone...atakupa nguvu za kushinda tamaaa za mwili
  6. K

    Ukizaa nje ya ndoa; muache mtoto alelewe na mama yake mzazi

    Je mtoto wa mumeo aliyemzaa nje kabla ya kuoana akalelewe wapi..wanaume wao wanawaleta ndani akae na kulelewa na mke wa ndoa...km na wewe una wako asiletwe pale akae na bibi yake
  7. K

    Mwanangu amepoteza uwezo wakusimama na kutembea

    MPELEKE KWENYE MAOMBI KWENYE MAKANISA YA KIROHO..ANZIA KWA NABII ROLINGA MBEZI BEACH AFRICANA..MUNGU ATAMFUNGUA
  8. K

    Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

    Ni ajabu sana je kuna saloon ambazo unazifahamu kwa majina au ni watu wanasema tu
  9. K

    Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

    Nadhani katika hili yako mengi ndani ya moyo wa huyu dada ambayo hatuyajui.. Sio kawaida kuna kitu kimefichika katika hisia zake ambapo ni yeye pekee na Mungu wake anakijua
  10. K

    Moshi: Vijana watatu wa familia moja wauliwa na wanakijiji kwa tuhuma ya wizi wa pikipiki

    Vyombo vyenye dhamana vi wapi vinasubiri watu waishe au
  11. K

    Kuna taarifa za malalamiko ya Mbopo Mabwepande na Bunju B..kuhusu kuvamiwa na maafisa wa Manispaa Kinondoni

    Kuna taarifa za malalamiko ya Mbopo Mabwepande na Bunju B..kuhusu kuvamiwa na maafisa wa Manispaa Kinondoni na wavamizi wengine kudhulumu viwana vyao. Inadaiwa kuna kamati iliundwa kuchunguza madai hayo ambapo inasemekana Manispaa imewataka wavigawe nusu wachukue serikali na nusu ibaki na...
  12. K

    Arusha, amuua kaka yake kwa kisu baba yake akishuhudia

    Ni laana hiyo ni vema turudi kwa Mungu kwa toba nzito..hivi vitu havijawahi kutokea ktk nchi yetu. Upendo umepoa KIU YA KUMWADA DAMU TU INAENDELE Hebu shitukeni mtaumana na kumalizana. Yaani mtu akikuudhi tu anakula panga damu inamwagika. Kuna kitu kimefanyika kwenye ardhi yetu cha kiroho...
  13. K

    Arusha: Mlinzi auawa kwa kuchinjwa, wauaji waondoka na kichwa

    Mbona mambo haya ya kinyama yamezidi sana. Hiyo kamati iliyoundwa na Waziri inafanya nini mbona mauaji yanaendelea
Back
Top Bottom