Wanajeshi wetu wajinga na hawana nidhamu....wanajifanya wababe lakini wakati wa mabomu ya mbagala na g/mboto walikimbia.....hakuna tofauti kabisa na interahamwe na wabakaji wa kawaida....pole ndugu yangu...nafikiri mishahara yao imechelewa sbb ya sikukuu ndio maana walikupiga wapumbavu wakubwa...
Hatuna ujanja kwani tayari nchi yetu ni mwanachama wa WTO na tayari tumesain SPS and TBT agreement. Hapo maana yake ukiwa mwanachama hautakiwi kuzuia chochote kiingiacho nchini mwako kama hautathibitisha kuwa kina madhara kwa binadamu.
Cha kuwashauri Wajasiriamali wetu:
Wayapime hayo mayai...
Acha UJINGA na MAJUNGU wewe hata huyo dogo anayo haki ya kupata kazi.....kuwa na supplimentary au kuwa mdogo kiumli haimaanishi mtu ni mbumbu....Acha kuzarau wenzako.....TFDA ni mamlaka makini ndio maana wajinga kama wewe hawapati kazi pale......
WImana hebu kuwa kidogo.....hiyo nyumba bei yake ni chini kulinganisha na 85m....Naamini anayesema 85 m ni bei ghali hajui gharama za ujenzi.......Numba nzuri mkuu
.....ulivyo mbishi....hilo ni pepo....kwani kila kizuri lazima ukipate?....kumbuka huwezi kupata kila kitu....nenda kaoge mto msimbazi mara saba....ili pepo langono likutoke.....bila aibu...unakiri una mmasai.....pia...ulimtamani preta.....WANAUME HATUPO HIVYO......
Mume/ mke sio bidhaa.Nashauri indo kigezo cha elimu na "kumpenda Mungu". Kuna wanaume wengi hawana Digrii kama mimi lakini ni watu wazuri tu. Pia swala la imani ni la mtu mwenyewe...wangapi tunawaona kwenye nyumba za ibada lakini wanaishi maisha tofauti?......Ukiondoa kigezo cha elimu na...
Usitudanganye.......mnapendana nyie....Kama ungekuwa humpendi usingeleta stori hapa...wewe ni mtu mzima....mbona wengi waliokuchomokea hukuwaleta hapa.....
Ni kawaida....wala si ugonjwa...kuna baadhi ya wanawake wengi huwatokea. Ningekushauri ni vyema ukaenda hosptal ili upate uhakika zaidi. Humu kwenye JF watu wengine hufanya mzaa
nimaamini hili fashisti lina uhusiano na ndama. Ninamfahamu vizuri sana ndama. Ndama shaabani amepata utajiri wa ajabu. Ndama alimaliza shule ya msingi ubungo n.h.c mwaka 1989 na akasoma tambaza sec 1990 - 1993. Ndama alikuwa karibu sana na lile jangili puzza (william jackson)janafunzi la...
Nenda DIT ndugu yangu. Ukisoma hapo Chuo cha maji utaji-limit kweye uchunguzi wa maji pekee. lakini ukienda DIT utapanuka katika chunguzi za vitu mbali mbali. Utaweza ajiriwa na sehemu kama TFDA, TBL, viwanda vya vyakula pamoja na viwanda na wizara ya maji.
ILA USHAURI WANGU: UNGEACHANA KABISA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.