Search results

  1. wakusepa

    Tatizo la ngozi kujikunja

    nimejaribu ku google.ahsante
  2. wakusepa

    Tatizo la ngozi kujikunja

    ahsante dada kwa kunipa njia,je nitaipata wapi hiyo injection.
  3. wakusepa

    Tatizo la ngozi kujikunja

    Habari wana jamii. Nina tatizo limeanza kujitokeza miaka mitatu iliyopita na sasa naona linakuwa sugu. Ni kwamba paji langu la uso(kipumi) ngozi yake inasinyaa na kujikunja mfano wa mtu anayezeeka(age yangu ni 28). Kiukweli sijawahi kumuona mtaalamu yeyote juu ya tatizo langu,lakini ninahitaji...
  4. wakusepa

    Naomba msaada wa ufadhili

    ni pm namb yako ya simu tuzungumze
  5. wakusepa

    ushauri nataka kuacha chuo(udom).

    Pambaf! watu kama hawa huw wana dhiki mpaka kwenye ukucha ila wakifika hum full kukejel wenzao nahc we n first year umepata ka boom kanakupa wehu mwenzio unamuona kinyesi pambaf thaana,umeniboaa sn .
  6. wakusepa

    ushauri nataka kuacha chuo(udom).

    Daah binadam wabaya,we kama huna ushauri hebu kaa kimya unaongea pumba tupu ngoja yakufike.acheni madharau araaaa.sikiliza kaka achana na huyo,nakushauri hivi ufike moja kwa moja bodi uone wanasemaje lakin pia unaweza kwenda kwa viongoz wa dhehebu lako unakosali huw wanatoa support hasa kama ni...
  7. wakusepa

    Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    Habarini wana jamvi Naombeni wana jf mnipatie mfano wa mtu ambaye aliwahi kuwa chuo kisha kuwa sponsored na heslb kwa bahat mbaya aka disco na baadae akaamua kuomba chuo tena na kupata pamoja na mkopo pasipo kudaiwa ule wa kwanza.Kama ww uliwahi kuwa mhanga au una ndugu yalimsibu haya...
  8. wakusepa

    Naombeni mfano kama hili jambo lipo

    Habarini wana jamvi Naombeni wana jf mnipatie mfano wa mtu ambaye aliwahi kuwa chuo kisha kuwa sponsored na heslb kwa bahat mbaya aka disco na baadae akaamua kuomba chuo tena na kupata pamoja na mkopo pasipo kudaiwa ule wa kwanza.Kama ww uliwahi kuwa mhanga au una ndugu yalimsibu haya tafadhali...
  9. wakusepa

    Right handed amenikuta nanunua condom duka la dawa

    nyanyua simu weka sikioni oyaaaa jumaaa hizo kondom ulizonituma hazipo nimekuta za elfu 3000 vipi nikuchukulie au niache.poa dada funga kasema nichukue kushney
  10. wakusepa

    Majibu ya mkopo ni vipi?

    hawa bodi siwaelewi kabisa tarehe zao za kutoa majibu zimepita.nahisi mambo yakisias a yanahusika yatatoka after 25 october.
  11. wakusepa

    Ufafanuzi: Bodi ya mikopo haijatoa majina ya waliopata mikopo kwa 2015/2016

    TAARIFA YA UFAFANUZI Tunapenda kufafanua kuwa taarifa zinazosambazwa katika baadhi ya mitandao ya kijamii kuwa orodha ya majina ya waombaji wa Mikopo waliofanikiwa kwa mwaka wa masomo 2015/2016 imetoka sio za kweli. Kwa sasa, kazi ya uchambuzi wa maombi ya mikopo yaliyowasilishwa Bodi ya...
  12. wakusepa

    Wale wa SAUT shimo limetemaa

    tuma mbeya tayari nitakuwa pale
  13. wakusepa

    Mliokosea kujaza fomu za mikopo helsb 2015

    unaweza kwenda mahakaman kuapa utapata affidavit,
  14. wakusepa

    Mliokosea kujaza fomu za mikopo helsb 2015

    Habarini vijana wenzangu,poleni na mchakato mzima wa ujazaji hizi fomu za helsb kwakuwa zimekuwa na changamoto tofauti. Sasa kwa wale ambao katika fomu wamejaza details zao na kisha ku thibitisha(confirm) taarifa ambazo kwa namna moja ama nyingine zimekosewa naomba kusema kuwa huwezi kufanya...
  15. wakusepa

    haya majanga yaliyonikuta mimi mkulima nipo njiapanda

    heri ya mwaka mpya wandugu zanguni namshukuru jehovah kwa kuw nimefka salama, ndugu zangu lililonikuta ni jambo kubwa ambalo nahitaj mnipe maana yake,mimi ni mkulima ambaye najituma ili kupata kidogo kwa ajili ya familia yangu. sasa juzi wakati nipo shambani nilipigw butwaa kuona mahindi mbegu...
  16. wakusepa

    Tukutane hapa tunaoenda katoke Teacher's Colage

    sasa nasi ndo twaelekea katoke
Back
Top Bottom