Habari zenu wana-JF,
naomba msaada wenu kwa yeyote mwenye audio ya wimbo wa kimakonde 'kila munu ave na kwao' anielekeze jinsi ya kuupata au aniwekee hapa niweze kuu download.
Natangulza shukran zangu kwenu,
ASANTENI
Halafu wanachukua matangazo wanashndwa kumudu mfano ktendo cha kuatsha matangazo ya mpira kat ya tz na moroko ili 2one ujio wa rais xi jimping wa chna,kwa ufupi ni wakorofi
Ni kweli hata mimi nilijiuliza sana swal hili,nikiuckia wimbo huo kwenye AFCON;
Zambia na South Africa wakiimba tune ya wimbo huo bila kua na majb kamili. Binafsi nashkuru kwa kupata hii elimu.
Ukiaka misingi ya uislam nenda NBC ndo kuna uislam hii NMB ni benk ya wote na ndo maana % kubwa ya watumish wanapitshia mishahara yao,hiv kwanza lengo lako ni nini hasa
Nshawapata kosa kubwa la TECNO ni kwamba imeandikwa
made in China,
na pia ina instruction za kiswahili,
mf.gotoka,simu inapakua,ujumbe umetumwa,huduma za intanet,meneja ya faili,media ya sauti na kadi ya kumbukumbu ndo vitu vnafanya ionekane feki mmh
Tusidanganyane jaman,
TECNO ni kampun makini sana kama kampun nyngne za cm,
Kampun zote znaingiliwa na wahun ambao hukopi kama zile orijno mf ukiangalia sm za NOKIA,SAMSUNG uknunua aina fulan toleo la 1 baada ya 6miez utapata tu fek yke, be care
Habari wana JF,
Nina maswal mawili yanayonichanganya kchwa chang ktk maisha yangu:
1. Nimesikia kwamba kinyonga anapozaa huwa amapanda kwenye mti mrefu na kujiachia na tumbo kupasuka watoto kutoka na mama hufa.
2. Ni kweli kuwa kunguru hana damu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.