Search results

  1. O

    Halima Mdee apoteza Jimbo la Kawe, Gwajima aibuka kidedea

    Tofauti ni kubwa sana kiasi kwamba hata kama kulikuwa na irregularities. Ni vigumu sana kujitetea au kupinga aisee.
  2. O

    Kwani mngegomea, mngepungukiwa na nini?

    long time maze...uchaguzi umeniibua
  3. O

    Tumuige Rais Magufuli kufanya kazi mpaka usiku wa manane

    Well said Mkuu, heshima mbele
  4. O

    Kwanini miradi mingi inayoanzishwa na Serikali haina matokeo chanya?

    Mzee Mwinyi leo kasema, kazi nzuri inayofanyika iwekewe mifumo mizuri ili kuwe na undelevu wake, bila mifumo ya uhakika kuna hatari ya kurudi nyuma na hata kupoteza juhudi nzuri zinazofanyika hivi sasa.
  5. O

    JamiiForums: Tumerejea baada ya kutoweka hewani kwa wiki 3

    BTW, hongera Max & Co kwa kurudi hewani. Tuko pamoja.
  6. O

    Mapendekezo ya sheria mpya

    Ninachotaka uelewe ni kwamba ukiwa mnadhimu Mkuu sio lazima uje kuwa CDF...wafuatao waliwahi kuwa wanadhimu wakuu lakini hawakuwa ma-CDFs.... Brigadier General Tumainiel Kiwelu 1975-1980; Major General Imrani Kombe 1980-1983; Major General M.N. Mwakalindile 1983-1988; Lieutenant General...
  7. O

    Mapendekezo ya sheria mpya

    Hujaelewa nilichoeleza...pole Sijakataa kuwa hao uliowataja hawakupitia Unadhimu Ukuu....ninachosema...it is not Automatic kwamba ukiwa mnadhimu Mkuu then lazima uje kuwa CDF
  8. O

    Mapendekezo ya sheria mpya

    Kuna tofauti ya kuwa next in the line (ambayo ni Seniority) na kuwa Afisa Mnadhimu Mkuu...wale niliokutajia...kwa wakti ule kijeshi jeshi walikuwa senior kwa Mabeyo....General Mwakalindile alikuwa Mnadhimu Mkuu...ilipofika wakati wa kuteua CDF pamoja na kwamba alikuwa next to the retired...
  9. O

    Mapendekezo ya sheria mpya

    Nyani the Ngabu upoo?:D
  10. O

    Mapendekezo ya sheria mpya

    NImemkumbuka na Lt Gen mwingine alikuwa anaitwa Lt Gen Ryoba Chacha...hao wote walikuwa senior kwa Mabeyo
  11. O

    Mapendekezo ya sheria mpya

    na hao walikuwa Lt Gens wakati Lt Gen Ndomba akiwa Mnadhimu Mkuu
  12. O

    Mapendekezo ya sheria mpya

    Ni rank ndio nazungumzia....Infact walikwepo watatu amabo walikuwa Senior kwa Mabeyo...nao ni Lt Gen Kisampa, Lt Gen Mella na Lt Gen Makakala....wakati huo Mabeyo alikuwa Maj General...hao majamaa umri wao wa kustaafu ulikuwa nikaribu sana...
Back
Top Bottom