Search results

  1. PLL

    Ni tamu lakini zinachakaza na kuzeesha sana

    Nipo ila nina majukumu kuliko umri wangu,so nmekua nadra sana
  2. PLL

    Ni tamu lakini zinachakaza na kuzeesha sana

    Ahaa inamaana mtu akitumia dume au rough rider hatakongoroka?
  3. PLL

    Je umeachwa? Usilie, Jipe moyo, Songa mbele

    Maumivu yake hayaelezeki ila time heals though yaeza kukuchukua mda kumsahau ila kuna wakati utafika na utamsahau tu.
  4. PLL

    Baadhi ya wanawake sijui wanachukulia vipi maisha

    Hahaha watu mna maneno jamn
  5. PLL

    Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

    Walaaaaa mie kazi yangu kuangalia tu ila ts tym sas watu wamuache mange na mambo yake si kumfuatilia kwenye blog af wanakereka wanakuja huku kumuanzishia thread...mnafuataga nn huko u turn?muingiage kwenye blogs zngine...kwahiyo biashara nayoifanya ni kuwaambia kama mangenita anakukera acha...
  6. PLL

    Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

    Jamani kwanini msituliege?kutwa kuemana huko mitandaoni hamchoki?wengine mtakua hata mnashindwa kufanya majukumu yenu kisa mitandao ya kijamii kujibizana na watu hata msiowajua na wala hawana effect yoyote katka maisha yenu,yani utafikir hamna matatizo yenu binafsi ya kudeal nayo khaa...wengine...
  7. PLL

    Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

    Hahaha typing errror mama nawe unajua hili...nije kwa kasi kwani nalipwa na huyo mange au na nan?nashangaa tu mtu haumpend mtu af bado unamfuatilia eti umbea kwan hua mnalipwa?yani kuamkia kwenye IG na Blogs kujua umbea gan unaendelea as if mnalipwa au hamna vya kufanya kumbe wenyew mnamengi tuu...
  8. PLL

    Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

    HOD unamchukia sana Mangenita na mambo yake sas kwann hua unaenda kule kwa blog yake kusoma anavyoandika?si utulie uangaliage hata blogs za mapishi? Am not anyone's fan lakini hii ya haumpend mtu af bado unamfuatilia inanishangaza sana kwann usifanye yako acha kufuatilia habar zake kama...
  9. PLL

    Msaada na ushauri, maumbile ya uke yanamtesa, je kuna aina tofauti za uke

    Haha nmechekaaa kama mwehu,nakumbuka akat tuko Advance kuna mmoja nlimuona uwii haikua kawaida ilikua tofaut na wengne naowaonaga,watu wakawa wanasema wale ambao zao zimetoka sana nje jua wanapenda sana kufanya matusi,haha sijui n kweli au utoto tu ule
  10. PLL

    Msaada na ushauri, maumbile ya uke yanamtesa, je kuna aina tofauti za uke

    Wanaona mengii na hawakomi wanatamani kuendelea kuona zaid na zaid...wakome..hihi
  11. PLL

    Msaada na ushauri, maumbile ya uke yanamtesa, je kuna aina tofauti za uke

    Hahaha nataman kujua jua ya hili,plizz
  12. PLL

    Love denied. Nitakupenda still.

    Mapenzi yanaumiza na yanatesa ngumu kuelewa kama haujapitia,haya mambo ya wazaz kuingilia uhusiano yalinifanya kumpoteza mtu ambae nlimpenda kupita maelezo,miaka kibao imepita lakn sijaona km ule msemo wa time heals..ukifanya yake...lakn km kuna upendo wa kweli kati yenu mtatafuta njia ya...
  13. PLL

    Ninayempenda hanipendi nisiyempenda ananipenda

    Hehehhe mzee wa mia hakika utakesha kutafuta hilo jina maana hata halipo.. Nipogo kila siku sema mvivu kucoment.mia
  14. PLL

    Ninayempenda hanipendi nisiyempenda ananipenda

    Nashukuruui...nataman kama yule kijana angeona ushauri huu na angeufanyia kazi hakika angetulia
  15. PLL

    Salama Jabir punguza usela

    Amuwoweee
  16. PLL

    Mwanamke: Usafi wa 'maakuli' muhimu, sio vizuri kukutana na mtu ananuka sehemu za siri

    Etii eh..uliwachungulia wote ukajua au haujawah kuprove hata siku moja?
  17. PLL

    Ma X wetu na harusi zetu

    Aya babu binafsi ntakua makini
  18. PLL

    Hii ni habari ya kweli inaniuma na kunisikitisha sana

    Pole sana,msamehe huyo mama lakini ili umsamehe inabid uongee nae akuambie ukweli,na akupe sabab kwanini hakuwa muwaz tangu mwanzo lakini endelea kuisaidia familia kama kawaida lakini kaa chini ongea nae ili uwe na aman na uendeler kawasaidia kwa moyo mmoja
  19. PLL

    Kifo cha Recho Chamfanya Wolper Afute Mipango ya Kuzaa kwa Kuogopa Kifo

    Anagopa kuzaa lakini matusi anafanya,sas ziingia anazipeleka wapi?nae apishe kule asituwekee folen
Back
Top Bottom