Search results

  1. locust60

    Car wash za kwenye foleni dar

    Wandugu hii kitu inakera tusaidia iondoke
  2. locust60

    Nafasi za Kazi ya Uhadhiri Chuo cha Mipango, Dodoma

    Kumbe tuna hata chuo cha mipango mbona mipango haitimii?
  3. locust60

    Sabasaba ni barua ya CCM ndani ya bahasha ya biashara?

    Wandugu naomba mnisadie kufahamu historia ya sabasaba na uhusiao wake na maonyesho ya biashara nimekuwa nikiangalia picha za matukio ya jana yaani 7/7/2011 kwenye vyombo kadhaa ya habari cha kushangaza kutokuwa na makazo au msisitizo kwenye habari au matukio ya biashara kitu ambacho kimenipa...
  4. locust60

    Nioe mke mwingine?

    The Boss malizia sentensi yako naona kama haijakamika. Vipi nikimalizia hivi? Wanawake wakiwezeshwa,kweli wanaweza nyanyasa wanaume:peep:
  5. locust60

    A married man is granted the opportunity to have an affair by his wife

    Kumekuwapo na misuguano mingi katika ndoa nyingi hapa kwetu Tz na sehemu nyingine za dunia hii swali ni Je kupeana likizo kwenye ndoa mfano kila mwaka mnakuwa na mwezi mmoja au wiki ya kuishi maisha ya single (freedom kama hana ndoa) inaweza kuwa na manufaa? mkipata wasaa jaribuni kuangalia...
  6. locust60

    Mzigo uliomwaga unga wa mzee(Dominique Strauss-Kahn)

    The Guinean Beauty and Chambermaid (Nafissatou Diallo) of the Sofitel Hotel in Manhattan New York who was allegedly forced to have oral sex by IMF Boss, Dominique Strauss-Kahn.
  7. locust60

    Vipi Tibaijuka na hii SKAFU?

    Kuhusu itikadi za vyama nafikiri kila mtu yuko huru.kwa mfano kama angevalia mvazi ya kidini napo tunyesema anatangaza imani yake?siku itafika mwenyewe atavichoma moto vyote
  8. locust60

    Tanesco itangazwe mufilisi

    Kuna kitu nilikiona mitaa ya Guangzhou China ni kama plag unachomeka kwenye switch socket mojawapo inafanya meter ipunguze speed sana.Ila siku elewa kama technolojia hiyo inaweza fanya kazi hata kwenye LUKU.
  9. locust60

    kokotoa kidogo!...

    radius=2
  10. locust60

    Hii Nilikutananayo Maeneo Ya Kondoa Irangi

    Kondoa kunawaka barabara rami,madaraja ya maana yaani hata kwao Dr hapaoni ndani....
  11. locust60

    I married the wrong man

    At the cocktail party, one woman said to another, “Aren’t you wearing your wedding ring on the wrong finger?” The other replied, “Yes I am, I married the wrong man.”
  12. locust60

    Machinga Complex, Is a failure, Mr President Execute Plan B!

    Hongera mkuu kwa malelezo yako lakini naomba nitofautiane nawe kidogo kwenye blue. Nahisi nawe utakuwa mmojawapo wa professinal ulizo zitaja hapo juu suala la satellite town bado ni theory tu unafiki Huko Bunju, Buyuni, Mwanagati, twangoma etc.ndio yangeweza kuwa active swali la kujiuliza ni je...
  13. locust60

    Mapigano ya kugombea ardhi yaua Tegeta

    Mkuu naunga mkono maoni yako,sambamaba na hilo tujiulize panapotekea matukio kama hayo nani anapaswa kuwa wakwanza fika sehemu ya tukio waandishi wa habari au polisi?.Kama hakutakuwa na maelezo ya kutosha juu ya tuhuma hizi ni wazi kutegemea polisi kama walinzi wa usalama wa raia itakuwa haina...
  14. locust60

    Chuo Kikuu Cha UDOM na UCHAFU YA MLACHA

    Mkuu unaushauri mzuri sana lakini waeleze na athari za mabomu ili wajipange vizuri maana wanaweza kuwa hawaelewe. :help:
  15. locust60

    Mwaka huu tutaona viroja vingi!!

    Kma ilivyo avatar yako.....meno oye!!!
  16. locust60

    Ufumbuzi wa tatizo la wanafunzi kunyanyaswa na Makonda wa Daladala

    Mkuu naona kama vile pendekezo lako limekaa ki maslahi zaidi bila kuangalia hali zetu duni za maisha.Naamini huu utakuwa ufumbuzi wa kufanya watoto wa wasikini wasiende shule kwa kukosa nauli. Maoni yangu daladala kutokuwa na konda,yaani gari linakuwa na dereva na mashine ya kutumbukiza pesa au...
  17. locust60

    Ukitaka kujua raha ya sex

    mwanasiasa atakwambia kesho itakuwa zaidi ya leo
  18. locust60

    Ushauri kwa wanaotaka kuagiza magari japan

    China? bidhaa mpya toka china hazifai unasema used sipati picha
  19. locust60

    Tanesco, Kakobe na tatizo la umeme.

    kwani tatizo la umeme TZ limeanza leo?
Back
Top Bottom