Search results

  1. majany

    Mke wa mtu kutembea nje ya Ndoa: Ni hatua zipi za kuchukua?

    Asilimia 90% ya wanao cheat hurudia tena......uamuzi ni wake
  2. majany

    Ushuhuda kutoka kwa wanandoa waliowahi kuachana, hasa mliokuwa na watoto mkaamua kuacha kila kitu na kuanza upya

    Una experience ya kuchapiwa??achana na hizi haelewani na mawifi sijui umechelewa kurudi.
  3. majany

    Ubora wa Paul Matthysse a.k.a P-Funk Majani wa Bongo Records

    Mkuu nakushukuru sana.................
  4. majany

    Baba Nakupenda

    Waheshimu baba na mama upate miaka mingi na heri duniani................ingawaje nililelewa na mzazi mmoja..tena baba,alikua akinifanyia kila kitu,na hakuwahi kuniambia tatizo hata moja la ma a yangu.....Mama alinifia mikononi pale bugando baada ya kumuuguza kwa miezi minne.Nawapenda wazazi...
  5. majany

    Siku za kifungo Jela zinahesabikaje?

    Duh...sijapata jibu bado,naona tunakachanganyana tu.Hakuna mtu mwenye document ya sheria akaiweka hapa tukafanya reference na kujifunza?
  6. majany

    Siku za kifungo Jela zinahesabikaje?

    Wajuvi wa mambo ya sheria na ilimu dunia mnijuze,hivi kuna tofauti siku zinavyohesabiwa mtu akiwa gerezani na huku uraiani???baadhi husema eti gerezani siku moja huhesabiwa kwa masaa 12,na sio 24 kama huku uraiani.........
  7. majany

    Nawezaje kuongeza salio kwenye kadi yangu ya UDART?

    Jamaa iko na viburi sana hawa.....
  8. majany

    Nawezaje kuongeza salio kwenye kadi yangu ya UDART?

    Nyie UDART,MMEANZA TENA UBABAISHAJI.....HII NJIA YA KUONGEZA SALIO KWENYE KADI,LEO SIKU YA TATU HAIKUBALI....MNA NINI NYIE????
  9. majany

    Vatican inamiliki dunia

    Ngoja nijisomee
  10. majany

    Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

    Ume umefikiria sana mkuu
  11. majany

    KILIMANJARO: Mabaki yanayodaiwa ni mwili wa mwalimu aliyepotea 2006 yapatikana

    Hawakuui lakini.......better...kuliko kupata maendeleo nikaishia kaburini...
  12. majany

    Mshahara wa aliyesoma Food science and technology ni kiasi gani?

    Mwana Mtoka Pabaya unaitwa huku......
  13. majany

    Peter Kupaza na mauaji ya Mwivano Mwambashi, nini ilikuwa hatma ya kesi hii?

    Kisa cha Marehemu Mwivano Mwambashi Kupaza Eneo la tukio.... Ilikuwa ni Julai 30 1999, mwanamke mmoja aliyetajwa kwa jina la Brenda Dement nchini Marekani aliyekuwa akiishi kwenye mji wa Barabo Wisconsin Kaskazini mwa Marekani, alikuwa Picnic na wanae pamoja na marafiki zake wawili kandokando...
  14. majany

    Dr. Mengi kujenga kiwanda cha kuunda magari nchini

    Hivi hii hospitali haikujengwa??
  15. majany

    Embassy Hotel na Motel Agip: Nini hasa kilitokea?

    Out of curiosity,kwanini hizi hoteli mbili watawala wa awamu zote zilizopita na hii iliyopo hawazizungumzii kuzirudisha??nini ilikua sababu ya kubakia magofu mpaka leo hii??
  16. majany

    Familia ya Mohammed Dewji yatenga Bilioni Moja kwa atakayefanikisha kupatikana kwa Mo

    Familia ya Moo aliyetekwa hivi karibuni imeahidi kiasi cha shilingi bilioni moja kwa yeyote atakayefanikisha kuwaeleza mahali alipo mpendwa wao.
  17. majany

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Wacha bwana......so kila kitu hutokea kwa majaaliwa.....
Back
Top Bottom