Search results

  1. Dupe

    Kanali Muammar Gaddafi (1942 - 2011)

    The bold naomba nami uwe unanitag habar unazopost tafadhari
  2. Dupe

    Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

    hakuna uhuru usio na mipaka vyombo vya habari hasa Clouds Fm hasa kipindi cha XXL na Efm kumekuwa na vijembe vinarushwa kwa RC mara kwa mara hii inaashiria kweli hawa kitu walikuwa nalao jambo
  3. Dupe

    Mange azidi kumwanika Makonda uhusiano wake na GSM

    Jukwaa la siasa limekuwa sehemu ya kufanya uzandiki, udaku na mambo ya ajabu ajabu tu
  4. Dupe

    Ramadhani Rashid Madabida na Sophia Simba: Je, wamefanya aliyofanya msaliti Alexandar Tobias?

    Kuna kitu alikuwa anakizungumza Dk magufuli wakati wa kampeni zake kuwa kuna watu ndani ya CCM mchana wanakuwa CCM usikuu wanakuwa Vyama vingine...!! yamkini kuna kitu kimefichika humu ndani juu ya issue ya huyu aliyefukuzwa na hawa waliopewa onyo.
  5. Dupe

    Genc Toilet Perfume: Fanya Choo/Bafu yako inukie saa 24

    Ni bidhaa ya kitanzania, Inafanya choo yako inukie muda wote ukiitumia.... tunapatikana Tabata Kinyerezi .. karibuni Sana
  6. Dupe

    Nahitaji flat tv hdmi inch 22

    Mkuu nina Mr UK Inch 24 hipo vizuri tu 250,000/=
  7. Dupe

    Bila Rakitic,Iniesta,Bosquet Hakuna Messi

    Muda mwingine tuwe wakweli tu!! kwani kuna timu ambayo haina mtu mwenye majukumu ya kutibua mbinu za wapinzani? Man U vs Liverpool umeangalia mpira umeona jinsi Felain anavyotibua mipango ya wapinzania hizo kila mtu uwanjani anamajukumu yake aliyopewa na mwalimu hivo kumkosoa fulani kisa yupo...
  8. Dupe

    Kodi ya Asilimia 10: Kwa kila Tshs 1,000 ya kwenye Miamala, tshs 280 ni za TRA kuanzia Julai mosi

    Inamaana kumbe makampuni ya simu katika huduma Hii yakituibia yalikuwa hayalipi Kodi? Basi hiii no hoja mzito sana
  9. Dupe

    Lissu, Bulaya, Zitto, Pauline, Lema na Mdee wasimamishwa kuhudhuria vikao vya Bunge

    Naomba kujua na wajumbe wote wa hiyo kamati ya haki na maadili
  10. Dupe

    Furahia Internet Bila Modem

    Hii habar nilidhani ya 2010 kumbe imeandikwa 2016..!!!
  11. Dupe

    Zuio la baa kufungwa mchana lazua balaa, Mauzo TBL yashuka kwa asilimia 30

    Tusidanganyane..!! Issue sio Bar kufunguliwa SAA kumi sema sema wanywaji wakuu hella zao zilikuwa za madili haram ndio wakileta heshima huko Bar sasahv mianya imefungwa kwa madili bar hakukaliki
  12. Dupe

    Wema Sepetu: Natumia TZS Milioni 1.2 kwa wiki kwa ajili ya nywele zangu

    Mbona umeme alishindwa kulipa?
  13. Dupe

    Sukari sasa Tsh 6,000/- kwa kilo. Waziri Mkuu, zile tani ulizoagiza ziko wapi?

    Sukari kilo 6000 kijiji gani hiko! Mi nimenunua 2400 kilo Leo Hiii na ni sukari ya brazil
  14. Dupe

    Naomba ufafanuzi kwa ndugu zangu waislamu juu ya hiki kilichonikumba

    Habari zenu wakubwa…!! Leo ningependa kutoa kile ambacho kimejiri baada ya huyu binti aliyenifanyia haya niliyoyatoa katika uzi huu kunipigia sim na kuanza kulalamika kuwa haoni ata salam yangu na kuenda mbali zaidi kuniambia kafika katoa chuo kuna issue kaja kuzifuatilia … kwa bahati mzuri...
  15. Dupe

    Sizitaki Mbichi Hizi!!

    Vitabu wanavyo tumia sasahivi watoto sidhan kama vina burudan kama hizi
  16. Dupe

    Maafisa wa Kenya, akiwemo Katibu Mkuu wa Nishati wadakwa bandari ya Tanga

    Yani nikiona habar kama hizi huwa nafarijika kias sijutii kura yangu kwa Ngosha
  17. Dupe

    Dr. Slaa aibuka kutoka Canada, Asema wanaomponda Magufuli ni Mafisadi

    Kweli mambo yamebadilikasikuhizi CDM ikisikia mtu kataja UFISADI basi wao ndio wanarusha mawe kumtupia aliyeta hilo jina ..... kweli Lo... kabadili chama sasa kimekuwa cha kupigania mafisadi wakae sight
  18. Dupe

    Kura yangu si ya majaribio…!!!

    Nakumbuka hii post mpaka nacheka yani … nilishasema watanzania tusijaribie kiongozi kwa maana ata yesu alijaribiwa na shetani akiambiwa kama kweli we ni mwana wa Mungu basi jirushe kwenye mnara huu na Baba yako atatuma malaika waje kusaidie usiumie na Yesu akamjibu kuwa Mungu hajaribiwi …...
  19. Dupe

    Hii ofa ya tigo ni ya wanafunzi ama wapigisha simu vibandani?

    Piga *148*00# okey then chagua namba moja ofa mahalumu alafu utaona university bundle nafikiri namba 2 ina 130mnts, 1 Gb na sms 15000
Back
Top Bottom