Search results

  1. wajingawatu

    Hivi mteja kama huyu unamjibuje?

    Simba kufungwa bao moja na Waydada
  2. wajingawatu

    Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?

    Kwa hiyo unafikiri ni rahisi kumtoa huyu dereva wa sasa? Kwanza, Wataanzia wapi? Maana huyo dereva ndiye chagadema na chagadema ndiyo dereva.
  3. wajingawatu

    Ninataka kuchukua mkopo wa Tsh. Milioni 50 Benki ya CRDB kwa miaka 9, marejesho jumla nitalipa M90

    Yeye hatakua anachukua kwa mwezi kwa kuwa atakuwa anakuza mtaji
  4. wajingawatu

    Ninataka kuchukua mkopo wa Tsh. Milioni 50 Benki ya CRDB kwa miaka 9, marejesho jumla nitalipa M90

    Akipata huo mkopo atajua ladha ya kila bia, wanawake na huenda akavuta hata kavitz au ist ka kutembelea bar za daresalaam. Atakuja kukumbuka utt, pesa zikiwa zimesalia laki tano tu. Chezea mkopo wewe!
  5. wajingawatu

    Ninataka kuchukua mkopo wa Tsh. Milioni 50 Benki ya CRDB kwa miaka 9, marejesho jumla nitalipa M90

    UTT, kwa hiyo 50m, atakuwa anapata gawio la 433,000.= kwa mwezi. Kwa mwaka ~500k x miaka 9 = 45m +50m = 95m
  6. wajingawatu

    Ninataka kuchukua mkopo wa Tsh. Milioni 50 Benki ya CRDB kwa miaka 9, marejesho jumla nitalipa M90

    Nakushauri uachane na huo mkopo. Unaweza kufikiri 50m, ni pesa nyingi, lakini kwa hali ya uchumi ilivyo sasa, ni pesa kidogo sana. Badala yake save benki hiyo pesa ambayo ungelipia huo mkopo. Iweke kwenye fixed deposit account kwa miaka mitano. Tanzania commercial bank Baada ya miaka mitano...
  7. wajingawatu

    Zingatia yafuatayo kabla hujaamua kununua bati la kuezeka nyumba yako

    Kumbe simba dumu gauge 30 zinazokaa 16 kwa bando ni za kiwango cha chini?
  8. wajingawatu

    Bank tellers ni wezi wa kimya kimya, kuweni makini

    Kupigwa Elfu moja au elfu mbili nacho ni kitu cha kulalamika, kufungulia uzi? Isitoshe, wafanyakazi wote wameruhusiwa kula kwa urefu wa kamba zao.
  9. wajingawatu

    Cheki injini hii mtanikoma

    Mwambie kabisa aache hiyo tabia ya kudanganya watu ili kujitafutia ujiko
  10. wajingawatu

    Cheki injini hii mtanikoma

    Kwa kimeo hiki utaaibika bure.
  11. wajingawatu

    Lagos inanuka uchafu na Rushwa!

    Nenda mumbai india ndiyo utajua tafsiri sahihi ya neno uchafu
  12. wajingawatu

    Lagos inanuka uchafu na Rushwa!

    Hebu weka uchafu wa manzese, sinza, shatilangu, migomigo, chai, na ferry tulinganishe
  13. wajingawatu

    English Teachers (O-Level) at The School of St Jude November, 2023

    Mimi nina Baed ya oxford na Maed ya Cambridge, experience ya 20 years. Kama mtanilipa $10,900/= kwa mwezi, furnished house, na gari ya kutembelea nije.
  14. wajingawatu

    Mlio karibu na Tundu Lissu mumkanye aache mara moja kuropoka ropoka!

    Akikujibu na nyaku hapa mpaka Lupaso
  15. wajingawatu

    Kupata ngono mikoani ni gharama kuliko Dar

    Duration kwa kila round ni fixed au unlimited?
  16. wajingawatu

    Nipo safarini naenda Bukoba kikazi. Mwenye kujua lodge au hotel nzuri tafadhali

    Water table kwa bukoba iko juu sana; Maji ukiyachimba kidogo tu yanatoka kwa pressure kali sana. Usipokuwa makini yanakuogesha
Back
Top Bottom