Search results

  1. NDUKI

    Wauza mchele, weka changamoto zenu hapa tusaidiane kuzitatua

    Ni maeneo gani hayo kiongozi...? Ndio wanavuna huko sahizi...?
  2. NDUKI

    Kwanini usipokuwa na hela njaa inauma tu wakati wote?

    Taarifa inakuwa imeshapelekwa kwenye ubongo kuwa mfukoni patupu hivyo ubongo wenyewe unaanza kuwa mtupu kama mifuko ilivyo hivyo ubongo unakuwa na njaa kabla ya tumbo. Sasa ukizichanganya hizo njaa mbili za ubongo na tumbo njaa yake inakuwa kama ya Maharage Chande mkuu. Ahsante.
  3. NDUKI

    Mwalimu Shule ya Sekondari Mlale ajiua kisa ugumu wa maisha

    Imfikie Mpwayungu Village na hili mkalitazame. Ahsante.
  4. NDUKI

    Wauza mchele, weka changamoto zenu hapa tusaidiane kuzitatua

    Umedadavua vizuri sana mkuu. Upo Ifakara au...?
  5. NDUKI

    Wauza mchele, weka changamoto zenu hapa tusaidiane kuzitatua

    Kwani ile njia kama unaenda Kahe si wanalima mpunga kiongozi...?
  6. NDUKI

    Wauza mchele, weka changamoto zenu hapa tusaidiane kuzitatua

    Gunia la mpunga 100kg ni bei gani kiongozi na ukikoboa zinabaki kilo ngapi za mchele...?
  7. NDUKI

    Jinsi matapeli wanavyolindwa na polisi, utapeli hautaisha

    Kama una hela na unataka kuizungusha upate faida kubwa wee cheza na njagu tu. Period.
  8. NDUKI

    Wauza mchele, weka changamoto zenu hapa tusaidiane kuzitatua

    Ooooh okay sawa kwa nini isiwe flat rate kwa bidhaa Moja kwa kila sehemu...?
  9. NDUKI

    Wauza mchele, weka changamoto zenu hapa tusaidiane kuzitatua

    Kiongozi umesema ushuru ni 2500 lakini pia kuna mdau hapo juu Itscharlie amesafirisha magunia kadhaa ya mchele na amesema wafanyabiashara wamelalamika kuwa ushuru umepanda mpaka 4500 yupi yuko sahihi kati yako na yeye kiongozi...?
  10. NDUKI

    Motivate plumbing book

    Mtunzi ni nani...?
  11. NDUKI

    Wauza mchele, weka changamoto zenu hapa tusaidiane kuzitatua

    Aisee, wanasema haswa tatizo nini mpaka kupanda kiasi hiko...?
  12. NDUKI

    Mbarikiwe wote mnaopendana na wake zenu

    Aisee ukipata upendo kwa mke au wake zako kwa dhati na ukaona kabisa hapa napendwa huwa kuna faraja kubwa sana kwa kweli. Nashkuru sana kiongozi nawe ubarikiwe pia.
  13. NDUKI

    Nani ambaye hujampigia simu kitambo ungependa kumpigia leo?

    Inabidi usimamie misimamo yako kuliko kuyumbishwa na wengine mkuu.
  14. NDUKI

    Nani ambaye hujampigia simu kitambo ungependa kumpigia leo?

    Safi sana kiongozi unatakiwa kumjali anayekujali pia...!
  15. NDUKI

    Nani ambaye hujampigia simu kitambo ungependa kumpigia leo?

    Inakera sana kuona wewe unawapigia, unajali, unawasalimu ila wao wanapotezea, mwishowe inakufanya nawe uwapuuze tu.
  16. NDUKI

    Nani ambaye hujampigia simu kitambo ungependa kumpigia leo?

    Kiukweli kuna baadhi ya ndugu ni wasumbufu kupita maelezo, inafikia mpaka mtu anaona ni bora asiwe na mawasiliano nao ili tu kuepuka usumbufu wao kiongozi.
Back
Top Bottom