Search results

  1. S

    Utajiri wa Kaseja ni ugolikipa tu?

    Wewe unamuona kama anamiliki hivyo ndio utajili na kuanza kumhisia mwenzio kuwa anauza au anafanya biashara haramu? wewe kama una ushahidi wa biashara haramu anayofanya ulete na kama huleti basi wewe wewe hufai kwenye jamii hii!! unajua kadaka mechi ngapi na kaanza mpira akiwa na umri gani? una...
  2. S

    Ndege ya rais wa Malawi yauzwa kulisha maskini!

    Unajua huyu mama asisifiwe bure bana hizo ni takitiksi zake binafsi katika kuendesha nchi yake lkn sio kuwa yuko sahihi,..sasa unataka na ya Rais wetu iuzwe ndio ujue kama naye ni kiongozi mzuri? anaweza kweli kuiuza ndege yake lkn nchi yenyewe akawa kashawakabidhi wakoloni wa sasa,na ndege...
  3. S

    Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

    wataje kabisa sio ina unalo halafu unakaa kimya sasa tutajua lini ,unafanya siri hata hapa,,masabuli mkubwa wewe semaaa,, wanaua watoto wetu ujue..unafiki mchezo mtoto anaaza darasa la kwanza anawaza kujifunza ngumi na kula kubeli si kwa jili ya kufundishwa na hao hao wehu
  4. S

    Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

    huo ndio upimbi kabisa sema akina nani kama habari yako haijakuwa tayari sasa jina unalo la nini sasa kwanini husemi unatuhabarisha nini kaaa kimyaaa kama domo zege masabuli wewe.
  5. S

    Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

    acha hatua watakazochukuiliwa ziwe hvyo bana sheria ifuate mkondo wake wanavyotuharibia watoto wetu mtaani na kutudhalilisha mbele za wake zetu na kuonekana kuwa sie sio watafutaji.sasa hayo ndio negativu ifekiti ya wanayoyafanya.acha waadhibiwe tu.huyu akikukuta unavuka bara bara hakuhurumii na...
  6. S

    Mwingine tena akamatwa na madawa mchana huu kaweka kwenye Johnson Powder

    unajua huwezi kujua nani adui au rafiki kwani ukimuona muuza hayo madawa wewe mwache tu aende unaweza kujikuta unakufa vibaya kwa kutoa ushahidi acha kwanza wenyewe siku wakizinguana kwenye mauzo ndio kitakachotusaidia kuwapata .lkn hivi hivi kama alivyosema pinda ukiwataja nchi itayumba...
  7. S

    Presidents Jakaya Kikwete (Tanzania) and Paul Kagame (Rwanda) have not confirmed TO ATTEND KAMPALA

    Asiende wala sio ombi hatakiwi kwenda huko ,, kabisa hao sio watu.
  8. S

    Rwanda imeamua liwalo na liwe.......!!!

    wewe waache hawa wenyewe watakuja tu,sisi chakufanya ni kuimarisha miondo mbinu yote pale bandarini ili iwe ya kimataifa zaidi watakuja na kodi tutapandisha zaidi bana ,siku ozte ukiwa na kitu kizuri bana wataeja watakuja wenyewe bana hahahaha,,watakufa wale ipo siku atatoka kigali hadi dar...
  9. S

    IGP Mwema anasubiri nini kung'atuka?

    Huyu kama mtamlazimisha kulipa hili panga la dhahabu mtakuwa mnafanya kosa anajua siri nyingi za serikali anaweza kukimbilia Rwanda sana haya..mtafanyaje sasa ehe
  10. S

    Walimu wakosa mishahara tena!

    Poleni sana sasa,,sasa nyie mkikosa darasani hamji kusema hapa kama mnatega vipindi ,matokeo ya mnayoyafanya yakifanyiwa kazi ndio mnakuja hapa kutafuta matusi ya kwenda kuwatukana waaajili wenu nyie wajibikeni freshi muone kama hamtathaminiwa na kusifiwa,sasa mnataka nini sasa .nyie mnaonekana...
  11. S

    Tanzania excluded from EAC joint communique

    unajua kwanza kabisa sie wenyewe EAC hatuwahitaji kama wanavyodhani waliowengi ila sema tu wengi wetu ni waoga tunadhani tukiwa pamoja ndio tutapiga hatua kiuchumi kumbe sio kweli..sisi wenyewe nchi yetu nikubwa sana tunaweza kufanya biashara ndani ya tanzania nchi yetu nikubwa sana, hata...
  12. S

    Katie Gee, "A Muslim woman just hit me in the street for singing on Ramadan. Is that normal?

    Unajua serikali ya jamhuri ya Muungano inatatizo makubwa hawa watu wapeni nchi yao kwanza,kwani wanaharibu sio tu jina la zenji bali la Tanzania ,haya matukio ya watu kupigwa risasi,kumwagiwa tindi kali serikali imelikubali kwani kama nchi ina usalama wa taifa kweli ,kwanzia padri...
  13. S

    MEYA Jerry Silaa asema SIASA za UJAMAA na KUJITEGEMEA ni MBAYA, NYERERE alituharibu...

    Nyerere ni Rais wa kwanza hakukosea kutupeleka kwenye sera za kijamaaa alipatia,,sema tu nchi zlizokuwa kwenye mambo hayo ya ujamaa ndizo zlizokuja kuzidiwa baadae na mfumo wa kibepari...kama hapo bongo tungekuwa na mfumo wakibebari tokea zamani wengi hapo bongo nchi ingekuwa ilishauzwa zamani...
  14. S

    Tembo wanateketea huko Tunduru, Ruvuma

    kinana ndio mpaka kanunua meli ya kusafrishia unafikiri utani mkuu
  15. S

    Wakenya mbona wanatufwatafwata SANA?

    wewe hao achana nao wala wasikusumbue ,hata waizraeli nao walileta za kuleta sie tukaachana nao ,sie tufanye yetu.
  16. S

    Matumizi ya pesa ya kigeni kusitishwa kwenye bidhaa na huduma yoyote tanzania..amri sio ombi

    Inatakiwa kuwa hivyo tu na si vinginevyo kwanini hela ya wengine itumike nchini kwetu jamani..sasa hizi ni dharau kubwa sana kufanya biashara ndani ya nchi kwa kutumia hela za watu wengine wakati hela yetu ipo!! inamana washauri wa Rais mie huwa siwaelewi hawa ni nani huwa anawachagua na huwa...
  17. S

    Nelson Mandela admitted to hospital in 'serious condition'

    wagonjwa ni wengi sana sio mpaka aombewe peka yake wewe!! alienda kweli jela lkn umeona watu weusi walivyokuwa masikini huko kwake,aombewe kama wengine tu,,ukombozi wake kwa nchi ile afadhali alichokufanya mgabe kuwafukuza wazungu ,japo watu wake wengi ni masikini lkn sio kama kuwa mtumwa...
  18. S

    Siku za muungano zinahesabika, Tanzania bara itaitwaje ukivunjika?

    hakuna tanganyika nyie mkijitoa sie tunabaki na tanzania tu,kama. mnataka anzisheni vagi ,,,maana tabia zenu za ki-liberali ziishie huko huko
  19. S

    In Ethiopia: African Union celebrates 50 years

    Ule umoja umejengewa ukumbi nchi zenye rasilimali zote hizi bado ukumbi wa mikutano tunajengewa,viongozi wetu ni mawakala wa nchi za ughaibuni sio viongozi wetu kabisa mkae mkijua sasa cameroon akitoa masharti ya kupata misaada yake utabishaje sasa umeona. Kwanza nchi zetu tuwe huru ikiwa ni...
  20. S

    Wasomi wa Tanzania wametoa mchango gani kwenye Taifa letu mpaka sasa?

    Wasomi wetu wanafanya kazi sana lkn huoni wakiandamana kutafuta haki zao na madai mengine wanafukuzwa huko vyuoni !! Na wakifukuzwa hawaungwi mkono hata na wazazi wao au wanachi wa kawaida kutaka kujua kwanini wanafunzi wa vyuoni wanafukuzwa bila sababu,watu wanakaaa kimya tu na kuanza kusema...
Back
Top Bottom