Search results

  1. F

    Mahakama zetu ni zaidi ya duka

    kama hujaelewa uliza kwanza uone kama hutaeleweshwa, aliyekwambia vimepotea nani? labda kama hiyo ndiyo hulka yako nami nakusamehe bure!
  2. F

    Mahakama zetu ni zaidi ya duka

    appreciation for your archaic condemnation. Nitabadilika,
  3. F

    Mahakama zetu ni zaidi ya duka

    kawaida itatuppeleka mpaka wapi hii, kama ni kodi halali mbona hakuna risiti? Tunabaki kulalamikia mambo kumbe wenyewe twayaendekeza! rushwaxrushwa kila kona
  4. F

    Nafasi za kazi NSSF - October 2014

    hata haya matangazo viini majicho tuu, walishachukua watu wao kitambo!
  5. F

    Mahakama zetu ni zaidi ya duka

    nyie wabongo bhana!
  6. F

    Mahakama zetu ni zaidi ya duka

    SIO MAkosa yako, vtu vingi vimechangia!
  7. F

    Mahakama zetu ni zaidi ya duka

    tehe tehe! kwahiyo kuhonga ndo heshima, kama ndo hivyo siwaweke bayana kua tunatakiwa kuheshimu taaluma kwa gharama fulani then watoe stakabadhi! taaluma yangu je itaheshimiwa lini? au unamaslahi? acheni kutetea wizi huu, mie nililipia lkn kumbuka ni watanzania wangapi watafanya hivyo hadi lini...
  8. F

    Mahakama zetu ni zaidi ya duka

    tehe, ukosawa maana wajua kuna mahakama binafsi!
  9. F

    Mahakama zetu ni zaidi ya duka

    Waombaji wa kazi tuna shughuli pevu sana, Leo tar 8, Oct nimeenda mahakama kuhakikiwa nakala za vyeti vyangu lakin huko ni wiz mtupu, nikaambiwa nakala 1 ni buku 2 nilikua nazo 5 na jamaangu alikua nazo kama 10 ikatubidi tulipie hiyo pesa, kimasihala nikauliza hela hiyo niyanini, je tunalipia...
  10. F

    Njia sahihi ya kutuma maombi Utumishi

    swala nikuitwa, kwani kuitwa si baada ya kuisoma barua, au wanaita bila kusoma then wanasoma baada kuita? tehe wabongo bhana
  11. F

    NAFASI ZA KAZI Graduates International Organization (GIO)

    pole sana kua makini, wengi tuliitwa huko lkn uzuri tulishapata info humu2
  12. F

    Njia sahihi ya kutuma maombi Utumishi

    tehe tehe, asante lakin zingine (interview) hua siendi kutokana na kutingwa kwani kuna kibarua kingine nafanya hapa mbeya!
  13. F

    Njia sahihi ya kutuma maombi Utumishi

    njia sahihi ni posta tena ile ya kawaida huku mbeya Tshs 1,000 au 1,200. mie siku zote hutumia njia hii na siku zote barua hufika na hua naitwa
  14. F

    Ubalozi wa Marekani, raundi ya pili ya usaili

    Nimependa approach yako mtoa maada/ Nami nakutakia kila lililojema ktk mchakato huo
  15. F

    Kwa yeyote anayeijua Raleigh International Tanzania

    SOMA TANGAZO LAO LILIKUA HIVI "Team Leader/Project Manager and Volunteers Apply before: 20 Sep 2014 Company: Raleigh International Location > Morogoro Position Type > Volunteer Organization Type > NGO Phone: +255 (0) 718 279 233 Phone: +255 (0) 769 023...
  16. F

    Kazi maafisa maendeleo jamii zipo kwel?

    Kiukweli hata mie kama mtaalam wa mambo ya maendeleo ya jamii sioni jitihada za makusudi za serikali ktk kuajili wataalamu wa maendeleo ya jamii kwa wingi kama ambavyo labda inafanya kwa watendaji wa kata au mafisa wengine waliopo kwa wingi kwenye jaamii zetu.
  17. F

    Aliyewahi kufanya kazi Youth Awareness Program- Tanzania atupe feedBack

    Mie niliwaambia hivi (Sorry Madame/Sir, Because of financial difficulties that I am facing right now, I won't be able to give 50,000 Tshs as you ordered, But believe me I suggest you deduct from the amount that will be given to me as salary (From 1,550,000) another advantage is that you will...
  18. F

    Wale waliomba awareness creation officer

    hizi kazi zilitangazwa kitambokama co mwezi wa 5 basi wa 6, mimi pia nimeitwa lkn sijatuma hela, kuna sister angu naye walisha mchukuliia elfu 30 last year from there hata hawakupatikana tena, this time wamekuja kivingine, mie nimewatumia ujumbe wanielekeze zilipo ofis zao hata hawataki. Last...
  19. F

    Aliyewahi kufanya kazi Youth Awareness Program- Tanzania atupe feedBack

    mwenyewe still nasubiri majibu ya wadau, coz wameniita kwenye interview hawa jamaa lkn napata utata kwani kama ilivyo kwa matapeli wengine, nao wanataka hela kama elfu 50 za registration!!! tusaidiane waungwana
Back
Top Bottom