Search results

  1. Kifai

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ni miezi mi nne sasa toka nilipie service line hapa nyakato mwanza, ila kila nikiuliza naambiwa nguzo hakuna wakati nilishasikia mtu akilipia nguzo anatakiwa awe amefungiwa umeme ndani ya wiki moja? embu mniweke sawa kuhusu hilo wanaojua[emoji41] kama haiwezekani mnirudishie hela yangu nikanunue...
  2. Kifai

    CHADEMA Kilimanjaro yateua mgombea Jimbo la Siha huku wakisubiri baraka za Kamati Kuu

    Pumbavu kabisa, kamati kuu isikubali hili
  3. Kifai

    Cha asubuhi sitaki, labda akaoge kwanza

    Wewe hutoi jasho.
  4. Kifai

    Nataka kujua mambo mengi

    Una dada? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Kifai

    Makinikia special thread 12/06/2017

    Wazungu hapo viroho juu
  6. Kifai

    Makinikia special thread 12/06/2017

    Yangu macho
  7. Kifai

    IKULU: Kamati ya Pili ya Mchanga wa Madini kuwasilisha ripoti yake kwa Rais Magufuli Juni 12

    Weka utabiri wako hapa tuone kama utakuwa sawa na mheshiwa prezidaa juu ya nini atachukua dhidi ya kampuni ya ACACIA
  8. Kifai

    Kampuni ya ACACIA ipo katika mkakati wa Kupunguza wafanyakazi 400

    mbona watu mna roho mbaya ya kuwatakia wenzenu kufukuzwa kazi kiasi hicho? Mtu akipoteza kazi wewe inakusaida nini?
  9. Kifai

    PPF na NSSF

    Kila kona ya hii nchi ni stress tuuu, jasho lako kulipata tena kwa mbindeee
  10. Kifai

    PPF na NSSF

    I mean wale wanaofanya kazi kwenye sekta binafsi, baada ya kukosa kazi huwa wanachukua kile walichokusanya
  11. Kifai

    PPF na NSSF

    habarini za asubuhi ndugu, Mi nataka kujua tuu kama haya mashirika ya hifadhi ya mifuko ya kijamii yanatoa hela za wanachama wake au wameshasitisha tena, naomba mwenye majibu ya uhakika aniambie
Back
Top Bottom