Search results

  1. Speed

    BASATA: Diamond amekosea kumjibu Naibu Waziri wa habari, sanaa, utamaduni na michezo, Julianza Shonza

    Huu mfano wako hauendani kabisa, Manji anaweza akawa ni tajiri sana ila hana influence, Money is power but influence is more than power. Diamond ana influence kubwa sana na ndio maana mpk dk hii wanadema dema tu kutoa maamuzi
  2. Speed

    NBC ndio Benki Ya Hovyo Hapa Mjini Kuliko Zote it Should Be Closed!!

    Kafungue account kwenye scheme inaitwa Umoja Fund inayomilikiwa na UTT. It will take just few minutes as long as u have your Identity (any recognized) with u Utapata benefits zote za bank but most of all your savings will grow by more than 12% per annum. This is flat rate regardless of who you...
  3. Speed

    Msaada tafadhali wakuu wa JF doctor

    Utashauriwa vizuri na wataalamu ila yangu... ukizidiwa sana au ukatarajia kusex ila ukakosa, punyeto pia itakusaidia ila usiendekeze.
  4. Speed

    Hofu

    In addition kwenye hilo swali... Hofu, wasiwasi na moyo kwenda kasi... si lazima kabla ya tendo la ndoa, anytime like unasubiri kuingia kwenye interview.. to me huwa inanitokea muda wowote.
  5. Speed

    Mlo wa siku

    Me nafikiri jaribu kadri uwezavyo kwa kipimo maalum huku ukizingatia kipato, mazingira yanayokuzunguka na shughuli unazofanya.
  6. Speed

    Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

    Is It true ukiweka asali kwenye maziwa or chai ya moto It change to glucose, hence kujiweka kwenye mazingira ya kupata magonjwa kama kisukari? Je, kutokwa na jasho jingi hasa usiku ukiwa umelala ni dalili za kisukari?
  7. Speed

    Msaada: Napata error kwenye camera yangu ya simu Samsung Galaxy S3

    Nikitaka kupiga napokea warning Camera error au errorCall back. Nifanyeje?
  8. Speed

    Tumshauri Rais: JWTZ Waende au Wasiende South Sudan

    Wamefanya jembe kajiuzulu, watajuta hawa.
  9. Speed

    site gani ni nzuri kwa ununuzi wa magari kutoka nje..wadau kwa anae jua naamba msaada.

    http://www.autotrader.co.uk/ kwa uk. Na tradecarview.com kwa jp.
  10. Speed

    Nimekoma kumsaliti mke wangu ni kama huwa ananiona

    Hey, I didn't mean to provoke Munkari or anyone. If u read my comment right, I teased Munkari ila ukiendelea nimekuwa serious with what the thread want. Hata mtoa mada can read my point. Usiwe negative kwa kila jambo bana.
  11. Speed

    Nimekoma kumsaliti mke wangu ni kama huwa ananiona

    Kwahiyo aliendeleze libeneke tu hamna lolote zaidi ya mioyo kuwasiliana...lol. Nazingua, mwanangu if it is for real then do it. Ukifanikiwa big up sana maana pamoja na rehab waathirika wachache wa unga huacha for good.
  12. Speed

    Nimenunua gari kaniacha

    A good matured girl sidhani kama angenikimbia kwa huo uamuzi wa kukimbilia luxurious lazima angeniweka chini tudiscuss na pia kwa dsm gari ni basic need. Ningekuwa -------- kama ningekimbilia gari ya gharama but i went for cheap and budget one ambayo haiwezi niharibia mipango yangu ya baadae...
  13. Speed

    Nimenunua gari kaniacha

    Point Tiba. Sikumshirikisha kabisa but i thought itakuwa surprise nzuri ambayo hata yeye angefurahi. Na kweli nilipomuonyesha alionyesha furaha sana na akashangaa ila ndo hivyo baada ya siku mbili tatu ndo akanitwanga na msg.
  14. Speed

    Nimenunua gari kaniacha

    Mwaka tu nina corolla hauoni kama ni dalili nzuri!! Kweli nikikaa miaka mitatu na zaidi I won't go for rav4 nafikiri zaidi ya Rav4.
  15. Speed

    Nimenunua gari kaniacha

    Mwaka tu nimemudu corola, hizi ni dalili nzuri ila kaniacha.
  16. Speed

    Nimenunua gari kaniacha

    Tulipendana sana, akiwa UDSM na mimi MU na bado tulitembeleana bila kuchoka. Alibahatika kwenda nje ya nchi (a week school trip), aliniletea suit pamoja na ukubwa wake niliivaa. Mara ya kwanza kuvaa suit kanivalisha yeye. Tulimaliza shule, nyumbani alifahamika na akazoeleka. Alipata tempo...
  17. Speed

    OFFICIAL: CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba...

    I believe this is a conspiracy na aliyeplan alijua haya yanayoendelea lazima yangetokea na I also believe ameshaandaa mwisho wake. Bonge la movie ( Sterling almanusura auwawe picha liishe I.e. ZZK instead akaextend kwa kuomba mahakama iamrishe CDM kutomdiscuss.
  18. Speed

    TAARIFA kuhusu Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA, kilichomalizika leo Jan 04, 2014

    Si lazima kila thread ureply, hii taarifa tu. Kama unakosa cha kuandika, soma, kaa kimya usibiri kesho baada ya press conference, labda ndio utapata cha kuandika.
  19. Speed

    Picha: Mrembo wa Kitanzania aliyekamatwa na heroin China

    Mkuu kale kamji Macau na chenyewe kana serikali yake tofauti na Beijing. Sheria kidogo zinafanana na Hong Kong, hatochezea kitanzi ila miaka kadhaa itamuhusu na possibility kubwa ni miaka 8.
Back
Top Bottom