Search results

  1. W

    Mafundi dish nisaidieni hapa

    Salamu kwenu wakuu na heri ya mwaka mpya 2018, naomba kuelekezwa namna ya kufanya factor default kwenye king'amuzi cha star tymes, chenye rangi nyeupe kitumiacho dish. Maana nimeenda menu halafu system setting then default setting ikanijibu, dercorder pin is locked. Msaada wakuu!
  2. W

    Wapi naweza kupata Tv aina hizi Dar es salaam?

    salamu wakuu! wapi naweza kupata tv ya flat ambayo ni touch screen, na nyingine yenye uwezo wa kugawanya picha tatu au nne tofauti at the same time niwe naziona, eg nina receiver zaidi ya moja na zote niwe naona picha zake kwa pamoja kwenye tv japo najua sauti itatoka kwenye moja ya hizo picha...
  3. W

    Kama una dish na dercoder ya zuku ya zamani ingia hapa!

    kwema wakuu? km una dish na dercoder ya zamani ya zuku kwa maana zile dercoder kubwa na nyuma ina sehemu ya usb basi huna haja ya kuiweka kapuni, kuna mbinu zaidi ya kukufanya uifurahie, kwa imfo zaidi just pm! karibuni!
  4. W

    Hivi unaweza kuchukuliwa msukule na huku bado ukawa unaishi?

    Wanajamvi kwema! Naomba kujuzwa wakuu, eti inawezekana mtu akawa anaishi maisha ya kawaida kwa maana ya kuishi duniani, huku akiwa tayari ameshachukuliwa msukule? Hembu nijuzeni wakuu!
  5. W

    je naweza kutumia i phone au smart phone kama satelite finder?

    Je kuna application yeyote naweza kuitumia kwenye Simu tajwa, Hapo juu nikaitumia Simu kama satellite finder ya TV channels?
  6. W

    Ni biashara gani inalipa kama huna nishati ya umeme?

    Habari wana jamvi, Naomba tubadilishane mawazo kwenye hili, mara nyingi kumekuwa na biashara au fursa nyingi zenye kuhitaji nishati ya umeme na hivyo kupelekea kupata faida ndogo kutokana na gharama za uendeshaji. Sasa basi hebu tujuzane wakuu ni biashara gani zinalipa iwapo huna...
  7. W

    Ni sababu gani inayotupelekea binadamu kufunga macho na kufungua?

    Husika na kichwa cha habari Hapo juu, eti wana jf imezoeleka Kwa kila binadamu ni jambo la kawaida, akiwa anaangalia kitu ama kuongea na mtu ni lazima afunge macho na kufungua, japo hutokea Kwa haraka sana lkn lazima kila baada muda flani lazima tufanye hivyo, je sababu hasa ni zipi?
  8. W

    Kitambulisho cha uraia

    Eti wanabodi kama sikujiandikisha katika utaratibu wa kupata kitambulisho cha uraia, Je! ndo basi tena au kuna awamu nyingine? Maana nimeskia kesho ni mwisho, haya mambo yapoje wakuu?
  9. W

    Ndoto na maana zake

    Wanabodi husika na kichwa cha habari hapo juu, kumekuwa na watu wengi (sio wote) ambao wangependa kupata tafsiri za ndoto mbalimbali, walizoota au wanazoota, na ni matumaini yangu kuwa humu jamvini wapo wenye uelewa wa tafsiri za ndoto mbalimbali. Basi karibuni tupeane uzoefu wa maswali na...
  10. W

    Kuna ulazima wa mke wako kujua misele yako yote kwa 100%?

    wakuu hii mnaionaje, mfano umeajiriwa unalipwa less say 700000 kwa mwezi alafu una dili zako za hapa na pale ambazo kwa siku hukosi walau 50000 ziwe halali au za kona, swali langu ni kuwa kuna ulazima yeye mke wako kujua huo mzunguko wako wote ulivyo? fungukeni wakuu.
  11. W

    Wimbo wa Nay wa mitego Mr Nay Mh

    Kwa aliyeangalia video ya wimbo wa nay wamitego uitwao Mr Nay. Naomba kujuzwa nini mahusiano ya kumfunga yule yule binti na mnyororo shingoni na ujumbe wa ule wimbo? na pili kuna mahusiano gani kati ya sinki lenye damu, kinyago kile na kumalizia wimbo kwanamba #966 au mwenzetu ndo kashaunga...
  12. W

    Chanzo cha upara kichwani ni nini?

    Habari. Eti wakuu chanzo cha kunyonyoka nywele kwenye utosi ni nini? au utakutana na mtu hana nywele kwenye utosi kwa jina lingine mtu mwenye kipara, mbona sijaona mwanamke mwenye upara? chanzo hasa ni nini embu nijuzeni wadau????
  13. W

    Nikumbusheni ile program ya kufatilia namba ya mtu

    wakuu kuna aplication iliwekwa humu jamvini ya namna ya kufatilia simu b kama mimi sim a nataka kujua movement za simu b asanteni!
  14. W

    Nini kusudio la binadamu kuwepo dunian?

    je ni kuishi? kuwa na familia? halafu kufa? au kuna kingine wadau embu tuchangie mawazo kwa pamoja, bila kujali dini,kabila,wala itikadi, karibuni wakuu!
  15. W

    Kwanini kalenda za kwenye simu hazioneshi mwaka 2040?

    Eti wanajamvi kwanini ukitaka kuangalia mwaka kuanzia 2039 kuendelea simu haikupi majibu? au ni aina ya simu? Mimi natumia samsung galax s4 lakini hainipi muendelezo wa kalenda? Embu nijuzeni wakuu.
  16. W

    Nini maana ya 'kutumia nyota mtu'?

    wakuu poleni na majukumu, kumekuwa na kauli za watu mbalimbali kuwa, flani anatumia nyota ya flani, mara huyu a nasafiria nyota ya flani, je nini maana halisi ya hili neno? na je mtu atajuaje kuwa nyota yake inatumiwa na mwingine? au ni uzushi tu wa mtaani?
  17. W

    Kati ya hivi vifaa ni kipi kinatumia umeme mwingi zaidi?

    Wakuu embu nijuzeni kati ya microwave, jagi la umeme na fridge kipi kinatumia umeme mwingi zaidi ya kingine?
  18. W

    Hivi ni kwanini?

    Mgojwa anaetaka kufanyiwa oparation ni lazima alipe pesa za huduma hiyo kabla na si baada ya huduma? Uzima, pesa kp bora
  19. W

    Msaada Jinsi ya kuweka Whatsapp kwenye blackberry 8520

    Nimedownload whtsup ikakubali ikaniambia verify nomber nikaandika namba inaandika awaiting network basi inaishia hapo
  20. W

    Mwenye simu yoyote ya kizamani aniuzie

    Nahitaji kuwa na ukumbusho wakuu mwenye phillps,simens dole gumba, au yeyote ya kizamani karibu pm!
Back
Top Bottom