Search results

  1. W

    Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

    Mwl rct naomba uingie pm
  2. W

    Mafundi dish nisaidieni hapa

    Sawa mkuu, ngoja tuwasubirie!
  3. W

    Mafundi dish nisaidieni hapa

    Salamu kwenu wakuu na heri ya mwaka mpya 2018, naomba kuelekezwa namna ya kufanya factor default kwenye king'amuzi cha star tymes, chenye rangi nyeupe kitumiacho dish. Maana nimeenda menu halafu system setting then default setting ikanijibu, dercorder pin is locked. Msaada wakuu!
  4. W

    Vatican, nchi yenye watu 800 kwa mujibu wa sensa ya 2008

    Wakùu naomba kujuzwa eti Italy na vatcan kuna majeshi mawili tofauti?
  5. W

    Dekoda Ya Azam.

    Mkuu unataka ngapi iyo kitu?
  6. W

    Mazungumzo yasiyosikika

    ndio maana wazungu wakaweka sehemu ya kuandika msg kwenye simu vuta picha ingekuwaje kila unachotaka kumwambia mwenzako kupitia simu lazima upige!
  7. W

    Watanzania, shilingi milioni 50 zinahitajika kuokoa maisha ya kijana huyu

    ni kweli kbs huyo kijana nimemuona live kwa kwel anateseka sana
  8. W

    Wapi naweza kupata Tv aina hizi Dar es salaam?

    salamu wakuu! wapi naweza kupata tv ya flat ambayo ni touch screen, na nyingine yenye uwezo wa kugawanya picha tatu au nne tofauti at the same time niwe naziona, eg nina receiver zaidi ya moja na zote niwe naona picha zake kwa pamoja kwenye tv japo najua sauti itatoka kwenye moja ya hizo picha...
  9. W

    Hizi ni ndoto hatari sana maishani mwako

    kuna mchungaji anaitwa nabii jb malisa kanisa lake linaitwa ukombozi church of all nation, ukienda pale haya makitu tunayojadili pale ni kama movie yaani kitu nimejifunza watu tunaishi katika maisha ambayo uhalisia sio wetu, yaani no derivarance no freedom, we need derivarance!
  10. W

    Nahitaji Sea Salt

    mkuu kwanini usiwajaribu sea salt ya bagamoyo pale mapinga shule naimani watakusaidia
  11. W

    Neno gani lilijiandika lenyewe kwenye smartphones ukatuma ukadhalilika?

    Kuna siku nilikuwa nataka kumtumia msg demu waangu," switie nimeshafika home mmmmwwwaaaahhh" ile kutuma bana nikatuma kwa bosi wangu wa kiume ofisini, jamaa alinipigia ila sikupokea maana nilikuwa na kimeo alinipa ckumalizia ofisin,,,two days later nikawa namtumia msg swtie naangalia last msg...
  12. W

    Kama una dish na dercoder ya zuku ya zamani ingia hapa!

    Electrical Technian; unaskia harufu ya nini? umiza kichwa ujue mengi, kalagabao!
  13. W

    Kama una dish na dercoder ya zuku ya zamani ingia hapa!

    kiufupi unaweza tumia dish la zuku na hiyo dercoder, kupata local chanel zote na baadhi za nnje, bila malipo ya mwezi!
  14. W

    Kama una dish na dercoder ya zuku ya zamani ingia hapa!

    kwema wakuu? km una dish na dercoder ya zamani ya zuku kwa maana zile dercoder kubwa na nyuma ina sehemu ya usb basi huna haja ya kuiweka kapuni, kuna mbinu zaidi ya kukufanya uifurahie, kwa imfo zaidi just pm! karibuni!
  15. W

    Hivi unaweza kuchukuliwa msukule na huku bado ukawa unaishi?

    Wanajamvi kwema! Naomba kujuzwa wakuu, eti inawezekana mtu akawa anaishi maisha ya kawaida kwa maana ya kuishi duniani, huku akiwa tayari ameshachukuliwa msukule? Hembu nijuzeni wakuu!
  16. W

    je naweza kutumia i phone au smart phone kama satelite finder?

    Mwalimu nipe mfano m1 Wa iyo apps ni Google!
  17. W

    je naweza kutumia i phone au smart phone kama satelite finder?

    Je kuna application yeyote naweza kuitumia kwenye Simu tajwa, Hapo juu nikaitumia Simu kama satellite finder ya TV channels?
  18. W

    Inaonekana wanawake waliojazia kwa nyuma ndio wanaopendwa sana na wanaume kimapenzi kuliko wembamba

    ivi kwanini wadoli wanawake Wakwenye maduka ya nguo ni wembamba(English figure) tu Kwa nini wanene hawapo think wise!
Back
Top Bottom