Search results

  1. J

    Tray 25 za mayai zimemfikisha hapa mtoto huyu!!!

    Machangudoa wengi walioko Dar wanatoka Kilimanjaro na Arusha. Je hao ni Wanyakyusa na Wahaya? Mtoa mada acha ulimbukeni wa makabila. Nitajie kabila ambalo hawavui chupi.
  2. J

    Kwa nini web ya ajira (moe.go.tz haifunguki muda huu?)

    Ajira za ualimu hakuna. Maana hamtaki kwenda vijijini. Tafuteni ajira nyingine. Mkisikia njaa kuleni majani.
  3. J

    Picha: Rais Kikwete na mama salma Kikwete wawasili nchini Ufaransa

    Jamani hebu niambieni hii ni ziara yake ya ngapi toka aingie ikulu?
  4. J

    ajira za walimu wapya 2013

    Huna lolote we ni sawa na mtoto mwenye pampasi. Hiyo ajira ya movie wape ndugu zako na ukoo wako.
  5. J

    Kwanini ajira za walimu hazitangazwi?

    Hata wasitoe hizo ajira mie naendesha tax inanilipa vizuri tu. Nashukuru nina kadegree.
  6. J

    Polisi: Mwigulu Nchemba alikodisha wahuni waliofanya vurugu zilizosababisha mauaji Ndago - Singida

    Acha upopo wewe kama mnao si mngeutoa ili cdm na M4C iaibike. Hamna lolote nikuwa hamja sukutua midomo yenu inanuka.
  7. J

    Ronaldo kavaa kufuli ya kike kata....

    Mambo ya Adobephoto hayo. Mie haini ingii akilini. Kisayansi mtu anae funguliwa buti hawezi kuwa na nguvu kwani atashindwa bana pumnzi ili ku restore energy. Angalia wamama wakati wa kujifungua wanavyo pata shida. Hivyo Cr7 asingeweza cheza mpira kwa nguvu. Acheni uzushi.
  8. J

    Jina zuri kikwetu, Tafsiri tata kwa kabila au lugha nyingine

    Wakati nipo Mkwawa mwl mmoja toka Japani alikuwa anaitwa Taka Uchi. Ghana ipo Kumasi ni mji. Ukienda Kibosho wanasalimiana hivi, Nantombe sir, kiitikio Aika -----.
  9. J

    Simba wapiga deiwaka Arabuni (picha)

    Nyie mnafi**%a. Iacheni simba. Nanyie kabaneni pua muone kama hamjavunjiwa mayai.
  10. J

    CONSTITUTIONAL REVIEW: retired Judge WARIOBA assists SIR KAHAMA... down the MEMORY LINE!!!

    Walishindwa tengeneza katiba safi wakati wa ujana wao leo yamewashinda wanataka kututengenezea katiba mbovu. Eti Tanzania nchi changa Rais asipunguziwe madaraka. Katiba sasa iundwe na vijana ambao tuko wengi na wazee watupishe.
  11. J

    Mzimu wa Nyerere: Gesi ya Mtwara ni tatizo dogo ebu fuata maagizo yafuatayo

    Hivi hawa watu wa Kauma, Mnyamasi, Mwese, Kalema, Rwega kule Mpanda na wao wanataka gesi itoko Mtwara kupitia Ruvuma ili viwanda vya kule vipate nishati. Hivi Dar kuna chimbwa dhahabu au shaba? Mtwara komaeni hakuna gesi kutoka.
  12. J

    Wananchi wa Mtwara na Karl Heinrich Marx Aidea(1848) na Kilicho kuja Kutokea URUSI 1917

    Mie nawapa big up wana wa Mtwara. Ngoja na Mwanza waanze sijui wata recruit polisi wangapi mwaka huu?
  13. J

    Ajira za Ualimu sasa ni wimbo,zinatoka kesho usiku

    Jamaa wako hopless kabisa sasa mulugo alienda radio kufanya nini?
  14. J

    Manumba alazwa ICU Aga Khan

    hata Musa alimwua yule mmisiri kwa kumuokoa ndugu yake. Vivyo hivyo wana wa kwanza wa wamisri walikufa kama lipizo kwa mabaya waliyo watenda wana wa Ibrahim. Hivyo kumuombea kufa ni kunusuru wengine wasife wapate kupona. Kufa bwana Manumba.
  15. J

    Dr. Slaa: Siwezi kujibishana na Shibuda

    Buda hana la kumjibu Dr. Kikwete alikataa kuwekwa kwene bench na Dr Slaa wakati wa uchaguzi kwa kuogopa hoja nzito. Huyu ni Dr bwana hajatunukiwa amekaa darasani na akatetea research yake mbele ya ma prof. Buda hana jipya alianza ccm ooh nitagombea urais wakamtimua, huku nako anataka kuleta...
  16. J

    Mwigulu ni Mzushi

    Huyu jamaa mie nilisha m-delete kwene mawazo yangu kama msomi. Hana maana hata punje. Elimu haija mkomboa anacho jua ni kulala na wake za watu.
  17. J

    Jeuri ya wanaoingiza mafuta machafu kuichezea serikali hii hapa...

    hapo pa kunyonga ndo mahali pake yani niwe hakimu kila wiki nitatoa huku ya kunyonga. Halafu rais awe Mtikila mbona watajuta.
  18. J

    Natafuta mchumba

    Kama uchumba hadi mitandaoni mmekwisha. Tafuta unae muona huyo hawezi danganya tabia yake ila wa huku atajituliza kwa muda ngoja uoe utaona cha mtema kuni.
Back
Top Bottom