Search results

  1. N

    Argentina yashikilia mkia kwenye kundi lao huko Copa America

    Messi alishindwa kuinua kwapa Copa America, CR7 aliinua kwapa EUROPE, Messi hali ngumu Copa America msimu huu tena while CR7 ameinua tena kwapa EUROPE NATION TEAM.
  2. N

    Joao Felix: Mchezaji wa 3 ghali zaidi katika historia ya mpira atua rasmi Atletico madrid

    Ni bora timu ziongezeke zinazotoa ushindani kwa vilabu vya Barcelona na Real Madrid, maana ni ligi ya Real Madrid na Barcelona kila msimu.
  3. N

    Taarifa za Mo Dewji kujitoa kama mwekezaji wa Simba zipoje?

    Deals za viongozi jamaa kazibana so wanaona bora waweke kauzibe cha hapa na pale ili ajitoe mwnyewe. This is bongo football bhana.
  4. N

    Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?

    Kwenye BIBLIA majukumu yaliyotolewa na MUNGU yalisema; "Mwanaume umpende mwanamke" "Mwanamke umuheshimu Mwanaume" Hapo kuna maagizo mawili tofauti.
  5. N

    Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?

    kinachotutofautisha sisi waafrika na wenzetu wazungu ni katika jambo moja tu la UTAMADUNI katika kutafsiri 'HAKI SAWA'.
  6. N

    Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?

    This is a FEMINISM THEORY and was formulated in AMERICA and WESTERN EUROPEAN COUNTRIES. This advocacy of women's rights on the grounds of POLITICAL, SOCIAL, and ECONOMIC EQUALITY to MEN. EQUALITY FEMINISM and AMERICAN LIBERILISM SEEK EQUALITY FOR EVERY INDIVIDUAL. Dhana hii katika nchi zetu za...
  7. N

    Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?

    This is a FEMINISM THEORY formulated in EUROPE and AMERICA when a WOMEN started demanding women's rights on the grounds of political, social, and economic equality to men. Equality feminism and American liberalism seek equality for every individual. But this concept are suitable to western...
  8. N

    Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

    na bado watakimbia wengi sana mpk 2020...walizoea kila siku fomula moja ya maisha.
  9. N

    Gesi imepanda bei kuanzia leo tar 9/2/2017

    ni nchi ya matamko hii,hii ndiyo sababu ya kutokuwepo kwa strong organ zinazo deal na mambo ya msingi.Kila kukicha ni siasa tu tena zisizo na taswira chanya.
  10. N

    KISUTU: Tundu Lissu afikishwa Mahakamani, apata dhamana

    binafsi nashindwa kujua km our country it have strategic plan for our development but it seems there is more politics issues and coalition rather than focusing on the NATION AGENDA how we as Tanzanian,we can compete with fellow african in the economic development. Time is money,we're playing...
  11. N

    MB nazo zapunguzwa kimya kimya

    voda nao badala ya mb 100 sasa imekuwa ni mb 70 kwa tshs 500/=
  12. N

    MB nazo zapunguzwa kimya kimya

    hata badala ya mb 100 now ni 70 kwa 500/=
  13. N

    Muziki wa darasa wapigwa baada ya taarifa ya habari Clouds

    wimbo wa taifa huwa haupotei...hukumbukwa hata ktk matukio maalum
  14. N

    Hakunaga kama Kikwete! Hivi ndivyo ilivyokuwa mwaka mpya kule Msoga

    kila kibaya kina uzuri wake...na kila kizuri kina ubaya wake.
  15. N

    Kampuni ya MURO yatangaza kuuza mabasi yake, nini kipo nyuma ya pazia?

    but tutafika mwisho wa safari zetu kila mja alivyompangia.
  16. N

    Kampuni ya Tigo kupunguza wafanyakazi

    ulaya walipokuwa watu wanaandamana kuhusu serikali kubana matumizi tulihisi ni mambo ya kawaida so ndio hii sasa imekuja Bongo.
  17. N

    Biashara haziendi awamu hii, hoteli kubwa Kariakoo nayo inauzwa

    Yaarabi atunusuru na roho zetu mali si tatizo
  18. N

    Kilichonikuta na mi Bombardier yenu sipandi tena!!!

    mkuu wa kaya atachoka mwishowe...manake nchi hii ni ku wa sana hawezi ki monitor kila pahala.
  19. N

    Special thread; Tamthilia ya Siri za Familia Inayorushwa EATV

    wahusika walio wengi walijitahidi kubeba uhusika wao...pia sura nyingi ni ngeni machoni pa watu hivyo ili make tention kwa audience.
Back
Top Bottom