Search results

  1. Nyamgluu

    Vodacom-MPESA inatukela wateja

    Aisee VODACOM Mpesa ni janga kubwa sana!!!! Mnachukueje hela niliyotuma halafu mnasema iko hewani? Yani niliyemtumia hajapokea na kwangu imetoka. Halafu siwezi rudishiwa mpaka nisubiri masaa 24 na mtu yuko kwenye emergency ya matibabu. Hivi mnajiona mko sawa kweli!!!? Hii huduma ya Mpesa...
  2. Nyamgluu

    Warusi wazidi kupokea kichapo huko Bakhumut

    Hahaha "The Ukranian army now controls the OUTSKIRTS of the city." Unaelewa maana yake? Hehehe!
  3. Nyamgluu

    Kuna kama mlipuko wa homa na mafua dsm

    Ndio ngoma inarudi hio!! 3rd wave Omicron. Sema hii haitishi sana. Wameteleza kwenye formula. Nakumbuka 2019 miezi ya mwishoni Kama hiihii zilikuja post kama hizi hizi humu JF kabla mamlaka zozote Afrika hazijajua chochote kuhusu Corona. Nikiwa kama mtaalam wa magonjwa ambukizi niliona JF...
  4. Nyamgluu

    Ninahama CRDB; ni benki gani inayoweza kuwa mbadala bora kwa Dar es Salaam?

    Vipi kuhusu MKOMBOZI!?? Mimi hawa CRDB nasubiri mkopo uishe tu nitawapotea hawataamini. CRDB, VODACOM na CCM (ya akina JK, Nape na Makamna) ni WAHUNI na MAJAMBAZI na ADUI wakubwa kwa walalahoi hapa Bongo.
  5. Nyamgluu

    Vitabu vyangu bora vya nyakati zote. Vipi vyako?

    Hongera innocent kwa kutafsiri vitabu. Tafadhali jiunge na TedX Talks zinazorushwa YouTube ili utafsiri zile video zao kwa Kiswahili. Zitasaidia SANA wa tu.
  6. Nyamgluu

    Ushauri: Serikali iunde mashine ya ku-scan kadi ya bima ya afya

    Wazo zuri. Ila kwa serikali ya sasa mpaka hili litekelezwe sijui. Nafikiri haiwezekani. Mods pelekeni thread ya Wizara ya Afya
  7. Nyamgluu

    Gundu la kinyesi

    Mimi imenitokea hiyo mwaka huu tu. Nilimfungulia wife biashara. Kwa miaka mi 4 imeenda vizuri sana japo vitu vya ajabu ajabu tulikua tunaona na kupuuza tu (maiti za kunguru kwenye pande 4 za eneo nakadhalika) ila mwezi wa kwanza tukaanza kuona vinyesi mlangoni. Wakifagia baada ya siku 2 tunakuta...
  8. Nyamgluu

    Nahisi nimetapeliwa sijui nifanye nini?

    Huyo mwenye mke ambae alitapeliwa laki 7 na 60 hata baada ya Maelezo ya kina katika kwa Mme wake mimi nashauri amuache. Hamna kitu hapo. Na kama amezaa nae asiendelee na aombe Mungu watoto wachukue akili za baba!! Huyo make mzigo. Hehehe.
  9. Nyamgluu

    Rais Samia kabla ya kubadili Wakuu wa Mikoa/Wilaya na Wakurugenzi mulika hili chaka

    Hivi kwani hizi nafasi na zingine kama hizi haziwezi kutangazwa watu wakafanya application kama kazi zingine tu. Hata uwaziri, wabunge hawawezi kufanya application ya nafasi hizo na Rais kuangalia vigezo na masharti na appraisal letters. Maana inawezekana kabisa asilimia kubwa ya hawa watu...
  10. Nyamgluu

    Demokrasia inavyohujumiwa CCM. Mwenyekiti hana mshindani

    Sumaye huenda alikua pandikizi wa CCM kama ambavyo Lissu ni pandikizi wa mabeberu. Ilikua risk kumpa uenyekiti wa chadema kama ambavyo ni risk na kujitakia maafa na laana kumpa Lissu uraisi.
  11. Nyamgluu

    Demokrasia inavyohujumiwa CCM. Mwenyekiti hana mshindani

    Demokrasia ziko za aina nyingi. Naona nyumbu za ufipa zimekaririshwa kuwa demokrasia ni lazima kupiga kura tu! Hehehe!
  12. Nyamgluu

    Tulizeni Mioyo Watanzania: Taifa liko Salama Mikononi mwa Mama Samia Suluhu Hassan

    Ubaguzi wa jinsia Tanzania!? Labda nyumbani kwenu!
  13. Nyamgluu

    Tulizeni Mioyo Watanzania: Taifa liko Salama Mikononi mwa Mama Samia Suluhu Hassan

    Ni ngedere kujipendekeza wakihisi mwenye shamba mpya atawapa fursa ya kuiba tena kama hapo zamani.
  14. Nyamgluu

    Imefika wakati sasa Rais akipoteza Maisha akiwa madarakani, mrithi awe mshindi wa Pili

    Hehehe. Mtu anayedhani wananchi ndio wanaendesha nchi hii ni mwenye upeo mdogo
  15. Nyamgluu

    Ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan: Hadi sasa sijaona dalili yoyote ya utashi wa kuwepo kwa maridhiano ya kisiasa nchini

    Mijitu ya CHADEMA ni kuikazia hapo hapo tu na ikiwezekana zaidi. Hatuwezi achia hii nchi vibaraka wa mabeberu na mabwana zao waje kuifanya watakavyo. Kama wanashida ya vilainishi visambazwe kwa wanachama wao
  16. Nyamgluu

    Mwongozo wa Serikali: Kipimo cha Corona ni Dola za Kimarekani 100 kwa anayesafiri nje ya Nchi

    Eti mTanzania wa kawaida atamudu vipi dola 100? Sasa mtanzania wa kawaida anaenda kufanya nini nje ya nchi kipindi hichi? Mwanafunzi anaesoma nje ya nchi ni dhahir ana uwezo ndio maana hajasoma hapa. (Wenye ufadhili lazima watapewa utaratibu.) Mgonjwa ambae an agenda kutibiwa nje ni LA IMA...
  17. Nyamgluu

    Nisaidieni wapendwa,wanyaturu wana sifa gani nataka kuoa mnyaturu

    Hahahahahaha!! Kilichonitokea miezi kadhaa baada ya hii post dah!! Nimecheka sana kuiona miaka 7 baadae!! Hahaha JF bhana!! Ila kwa kifupi hizo mbegu ACHANA NAZO KABISA!! Especially kama wewe sio kabila moja nao. Full stop!
  18. Nyamgluu

    Tuongelee RUBELLA

    Habari waungwana. Miaka 6 iliyopita nilionyesha doubts zangu kuhusu chanjo ya Rubella iliyoletwa nchini kwetu. Nashukuru sana ule mpango haukupita nchi nzima na nina fikiri sababu kubwa ni tulivyompata huyu kiongozi wetu JPM. Sasa kama mtaalam tena nina wasihi msije kukimbilia chanjo ya...
Back
Top Bottom