Search results

  1. Kamawewe

    SOMO LA BURE: Namna ya kuagiza bidhaa kutoka CHINA kwa ajili ya biashara (jumla) Kupitia Mtandao alibaba kwa kutumia simu yako

    Pia mkuu Masterchief ninakushukuru saana kwa uzi making. Nina mdogo wangu anamaliza chuo mwaka huu ninamtumia link ya huu uzi asome kila kitu then nitampa pesa kidogo aagize ninchotaka ili ajifunze baadae tuifanye kuwa fursa
  2. Kamawewe

    Mambo gani muhimu ya kuzingatia katika ujenzi wa Hoteli kubwa ya nyota Tano( FiveStars Hotel)?

    Mkuu tafuta mtaalam mzoefu pia download AI uliza maswali yako itakujibu kila kitu
  3. Kamawewe

    Umuhimu kufanya upembuzi yakinifu (Feasibility Study) katika biashara

    Feasibility study ni muhimu shida inakuja huyo consultant mwenyewe hajawahi kuanzisha biashara ikafanikiwa tofauti na biashara ya consultancy
  4. Kamawewe

    Jiji la Arusha lamkana Mfanyabiashara Chambulo wadai 'amepotosha'

    Kodi yaani tax inalipwa TRA tuu hiyo inayolipwa Halmashauri sio tax ni service levy. Hii Service levy halmaushi wanatakuwa kulipwa si zaidi ya 0.3 asilimia ya mauzo. Kwa upande wa tax kampuni inatakiwa kulipa asilimia 30 ya faida kama kodi kwenda TRA na kodi nyingine za zuio kama PAYE na kodi...
  5. Kamawewe

    Matumizi ya "CPA" kwenye initial za majina ni sahihi?

    CPAs wasiotumia initial ya CPA ni wengi kuliko CPAs wanaotumia initial ya CPA. CPA ni certification inayotambulisha watu wanaoruhusiwa kufunga mahesabu, kusimamia idara za uhasibu au kufanya ukaguzi wa mahesabu kisheria. Hivyo wakitumia si jambo baya tuwatambue na kuwatumia kwa urahisi Ugumu...
  6. Kamawewe

    Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    Hao ni watu waliothibitishwa kusomea kiwango cha juu kabisa cha taaluma ya uhasibu na ukaguzi wa mahesabu yaani Certified Public Account. Kwa sheria za tanzania ni lazima uwe na CPA au related qualification kana ACCA ili kusimamia kitengo cha uhasibu au fedha au kufunga hesabu za mwaka za...
  7. Kamawewe

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Hello kama unaweza E filling za tax kwanini usijiajiri kama tax consultant? Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  8. Kamawewe

    Msaada: Nitapata wapi maroba kama yale wanayowekea mkaa

    Mkuu nenda Kisemvule Mkuranga kuna viwanda vya viroba utapata kwa bei rahisi Pia jifunze kutumia artificial inteligence unaweza kuiuliza maswali kama haya na ikakupa list ya suppliers na mahali walipo na contact zao Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  9. Kamawewe

    Usinunue vitu online kwa kutipia TIGO MASTERCARD!

    Wakuu tujifunze kutumia mamlaka zinazosimamia, kwa mfano hapo ni kuandika email nzuri ya malalamiko yenye ushahidi ns kutuma TCRA na BOT utaona wenyewe watakutafuta na pesa wafakurudishia Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  10. Kamawewe

    Biashara ya nafaka Dar ipoje

    Wazo Zuri ili ufanikiwe tafuta mtu anayefanya hiyo biashara omba awe mentor wako ila wewe uwe mbali na wateja wake Ukipata muda tembea kwenye masoko ta nafaka kama manzese
  11. Kamawewe

    Share picha uliyotengeneza kwa AI (Akili Mnemba)

    Wakuu hizi AI haziwezi kuiba password zetu?
  12. Kamawewe

    Anahitajika mtu wa mauzo anayeweza kuendesha guta na pikipiki

    Habari wakuu anahitajika mtu wa mauzo anayeweza kuendesha guta mpya kabisa na piki piki wa kutafuta wateja na kusambaza bidhaa za vyakula ikiwemo brand ya unga wa sembe inayojulikana Mtwara (gas city) na iliyo kwenye soko kwa zaidi ya miaka saba. Sifa i. Awe na leseni ya kuendesha guta na piki...
  13. Kamawewe

    Msaada: Biashara unayoweza kufanya kwa mtaji wa Tsh. Milioni 20

    Kwenye biashara ndogo za mtaji kama wako lazima wewe mwenyewe uhusike na kupata stress ni kawaida hata hivyo biashara zenye minimum supervision ambazo hazitakulazimu kuwepo muda mwingi ni zile za vitu ambavyo ni rahisi kuhesabika kama duka la cement n.k lakini ni muhimu kupata location nzuri...
  14. Kamawewe

    Rais Tusaidie hisa za vodacom

    Wakati wanahisa wa Vodacom wakilalamika kutopata gawio, Management ya Vodacom kila mwaka wanatoa mabilioni ya msaada kweli ukistaajabu ya firauni utayaona ya Vodacom Tanzania. Mwaka huu wametangaza kutoa gawio mwezi wa kumi lakini gawio lenyewe ni sawa na bure. Biashara ya hisa kwa bongo hailipi
  15. Kamawewe

    Je, Nifanye Biashara gani?

    Jifunze ku run sponsored ad instagram, then ongea na biashara yoyote ambayo hawapo online waambie utawangazia na kuuza bidhaa/huduma zao kwa kuongeza kiasi kidogo juu ya Bei zao Ila ni lazima uhakikishe unaaminika Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  16. Kamawewe

    Mliofanikiwa kuacha kazi na kujiajiri mlitumia mbinu gani?

    Ukiwa muajiriwa fanya biashara ya vitu vinavyohesabika kiurahisi ili ussimamie kwa urahisi
  17. Kamawewe

    Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

    Mkuu upo sahihi watu wengi vijijini kila saloon car wanaita tax
  18. Kamawewe

    Wazo la Biashara kwa mtaji wa kuanzia Tsh Milioni 2 hadi 5

    Uko Lindi wilaya gani nikuunge na wafanyabiashara wengine
  19. Kamawewe

    Fahamu kuhusu Kampuni za Mfukoni-Briefcase Corporations

    Mkuu mtoa maada ametoa siri ya mafanikio ya baadhi ya watu. Kwa case yako unaweza muandikisha ndugu au rafiki then wewe ukasimamia kila kitu cha msingi wote mnufaike.
Back
Top Bottom