Search results

  1. O

    Maalim Seif Shariff Hamad, Utambulisho wa Taifa na chenga ya Muungano

    Ni sawa inaombwa wachambuzi wa forum hii waueleze umma umuhimu wa vitambulisho kitaifa badala ya kudandia hoja zisizo na mashiko.Forum hii ni nyeti sana inatakiwa utoe mawazo yakinifu ili yaweze kuleta tija kwa umma.Tembea uone nenda nchi za wenzetu uone umuhimu wa vitambulisho au lugha rahisi...
  2. O

    Baada ya rufaa, Mahakama yaamuru DOWANS kulipwa fidia na TANESCO bilioni 96

    We, TZs nafikiri tuna laana kweli.DOWANS n RICHMOND kwanini tunayumishwa.Hivi kweli watu hawana uchungu na nchi yao. Wanasheria, Wanasiasa,Viongozi wa serikali kila kukicha mnavumbua nchi ili muendelee kutafuna nchi mkidai kuwa nchi hii ina utawala bora.Mtiririko wa matukio: Kamati za...
  3. O

    Je, mbunge wako anawakilisha kile ulichomtuma bungeni?

    Mbunge wangu Tibaijuka.Mama huyu niwakimataifa na ya kienyeji yanamkwaza.Kwenye kata yetu Muleba Kusini eneo la Kasharunga na Kyamiorwa alituhaidi mengi na angalau kuna mafanikio tatizo ni wapambe wake tunaomba angalau awe anatutembelea kabla ya bunge.Akicheza kiti kitamponyoka.Katika uongozi...
  4. O

    Biashara ya Ubunge yawafanya Wabunge wa CCM Kuadimika Bungeni

    Tatizo ni mfumo mzima.Bunge lazima libadilishe taratibu.Munge kuwa Waziri au kuwa katika Kamati za bunge ni zahili watakosekana wakati wote.Hata wange kuwa wapinzani nao wangekosekana.Tujaribu kurekebisha taratibu hizo otherwise hatutafika twendako.Mbona wakina Zito,Mrema nk muda wote hawako...
  5. O

    Full Text: Hoja Binafsi ya Mnyika iliyozua kizaazaa bungeni (na Ripoti ya CAG)

    Mheshimiwa , ni sawa,tafakari yako.Zidisha mapambano
  6. O

    Hii sasa too much! Wakandarasi wa gesi wanakwenda Mtwara kwa ndege na kurudi kulala Dar kila siku

    Tatizo la watu wengine wana akili za mgando.Mbona kwenda mwanza kwa ndege shs32000.00.Gharama ya mradi zinaangalia thamani yake.Mbona Mwadui wanalala Dsm au unataka kuleta chuki na uonekane umepata habari nyeti.Mitandao ya kijamii inatumika kutoa habari za kuelimisha sio kutukana tu.Ndo maana...
  7. O

    Tanzania Haina Mtaala wa Elimu ndio Udhaifu ulikoanzia.

    By the way wanataaluma wanashindwa kukumbuka ya zamani.Elimu ya Tanzania ilianza kupotea baada ya kuzarau mitaala iliyokuwepo ingawaje ilikuwa inamfumo wa kikoloni.KKK -kuhesabu,kusoma ,kuandika ilikuwa kanuni ya kwanza nursery school je ipo
  8. O

    ...Mkurugenzi Anaporudisha Fedha Hazina...

    Kama karudisha ni busara manake hajaelewa zilikujaje.Zamani mchezo mchafu ulikuwepo sasa .GAG, na Kamati ya Mrema inatisha
  9. O

    Mwakyembe aanika tuhuma za vigogo TPA, awafukuza kazi

    Hongera Mwakyembe Lakini usipandikize chuki Mitambo ya Richmond uliyoikataa ,ndo sasa mkombozi wa watanzania,umeanzisha usafiri wa train za abiria DSM jijini,Je umewasiliana na Zambia kuhusu Tazara kuhusu mabehewa yake?
  10. O

    Naomba ufafanuzi kuhusu Nimrod Mkono na Edwin Mtei tuhuma za BOT

    Mzee Mtei zama za Nyerere alikuwa Waziri wa fedha.Alitofautiana na Nyerere kwa sababu Mtei siasa za ujamaa hakurizika nazo.Kama kusoma bure nk aliamini bila kuchangia hatufiki mbali kama tulivyo sasa,kutaifisha jia kuu za uchumi haitatuletea tija ila tutapolomoka na hakuna tija kwa vizazi...
  11. O

    Zitto: Serikali ya Kikwete imekosa uhalali wa kutawala!

    Zito we ni ndumila kuwili,wananchi wanakupenda mno, kamati yako tukufu ma viongozi kitaifa ,wanasiasa wa vyama mbalimbali,viongozi wa vijiji suala la gesi mnalijua sana.Mikutano kuanzia ngazi ya vijiji hadi taifa imefanyika mpaka mikataba ikasainiwa.Mmefanya ziara Ulaya nyote kuangalia jinsi...
  12. O

    Jeuri ya wanaoingiza mafuta machafu kuichezea serikali hii hapa...

    Mwakyembe uko sawa kaza buti lakini ni wewe ulikataa Richmond na sasa mitambo hii ndo inakupa umeme wa grid.Umezalisha mgogoro na Zambia kuhusu treni (TAZARA) zenu kuwa daladala.Vigezo na masharti vizingatiwe.
  13. O

    Wafadhili kwa kuchezea akili zetu!

    Kweli Wamisri ni wanafiki hata viongozi wengi ni wavivu kufikiri. Lowasa enzi zake alipeleka maji Shinyanga kutoka Ziwa Viktoria.Kitendo hiki karibu kivunje uhusiano na Misri eti maji yatapungua Kairo.Lowasa alikaidi na mradi ukakamilika.pengine kuna ajenda ya siri,mbona uganda wanaongeza vinu...
  14. O

    Gesi ailimia 84 kubaki Mtwara

    Ndugu yangu watanzania niwaelewa sana na si watu wa vurugu lakini ukilianzisha ,kulizima shughuli.Viongozi wetu inaonekana hawana umoja au command post yao inapwaya.Hii ina maana hawana mwongozo wa kuonyesha nani aongee nini na wapi ndo maana watu wa Mtwara na Tz kwa ujumla wanashindwa...
  15. O

    Naibu waziri nishati na madini on EAT tv now,17 jan 2013

    uso wa binadamu umejaa na huruma pindi anaponyumbuliwa.Kamati ya Nishati na Madini pamoja na wanasiasa wa mikoa ya kusini na viogozi serikalini wameisha kaa muda mrefu kuongelea issue hii,ila walisahau kukaa na kuwaelezea wananchi juu ya uvunwaji na matumizi ya gesi.Isitoshe misafara ya mara...
  16. O

    Uchafu: Uwanja wa Ndege wa JNIA na Uongozi wa Eng. Prosper Tesha

    Advisor wa nini au katibu myeka
  17. O

    Uchafu: Uwanja wa Ndege wa JNIA na Uongozi wa Eng. Prosper Tesha

    Swissport pamoja na majukumu aliyopata, mazingira ya kufanyia biashara yake huduma kama usafi unamhusu.Kampuni itapataje wateja wakati ofisi hizo nyeti ni chafu.escalators hazifanyi kazi ,yeye anafanya maboresho gani?Hii ndiyo inatugharimu kufanya mikataba mibovu na kuliingizia taifa hasara na...
  18. O

    I don't think if i'll seat for UE!

    lugha gani hata framing na grammar haina mashiko au ndo fasihi ya sheria
  19. O

    I don't think if i'll seat for UE!

    andika kiswahili ueleweki
  20. O

    Mchina katoa rushwa kwetu hukumu faini 700,000 au kifungo miaka 3, kwao hunyongwa

    arudishwe kwao anyongwe .Wachina wametuaribia usitawi wa watanzania kwa mfano kandarasi zote wanapata kwa kuonga na kazi sio nzuri wanachapia.Sasa watz tutatokaje?Huyo Dc ni shujaa kuanika uozo wa wawekezaji Chineese.
Back
Top Bottom