Search results

  1. Ngongo

    Wasikilizaji wa Radio Imani: Ole wake atakayewalisha watoto wetu mchele wa msaada wenye virutubisho

    Hoja yako ingekuwa na maana kama ungeondoa udini.
  2. Ngongo

    Julius Nyerere akijibu maswali ya waandishi wa habari nchini Uganda, Julai 1988

    Mwl Nyerere alikuwa kichwa haswa,nashindwa kuelewa ilikuwaje akauza Tanganyika nchi kubwa kwa Zanzibar. Yaani mzanzibar ruksa kututawala,mtanganyika haramu kutawala Zanzibar.
  3. Ngongo

    Leo katika historia kutoka Kwa Tundu Antipas Lisu dhidi ya "Dikteta Uchwara"

    Lissu hakujali nini wala nini alimpa makavu.
  4. Ngongo

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    🍷 safi kabisa.
  5. Ngongo

    Kwa imani ya Kikatoliki, Hayati Magufuli alibahatika kupata Kifo chema

    Hata matumizi mabaya ya madaraka ni wizi.
  6. Ngongo

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Tatizo la Zele hana mamlaka ya kuinua kitambaa cheupe hadi wanaofadhili vita watake.Kumwambia atangaze kushindwa ni kumwonea bure mchana kweupe.
  7. Ngongo

    Simulizi ya Jenerali Mabeyo ni ishara tosha Magufuli ni miongoni mwa binadamu wachache waliopo Mbinguni?

    Umtoe Ben Saanane uhai,umchape Lissu risasi za kutosha halafu ukatubu kwa Pengo unakwenda Mbinguni.Ebu tuache kmtania Mungu.
  8. Ngongo

    Peter Msigwa umeletewa Kheri James, tafuta Jimbo lingine huo ni mkakati maalumu

    Alishapelekwa Dr Kleruu hakufanya lolote la maana zaidi ya kukatisha maisha yake.
  9. Ngongo

    UTEUZI: Rais Samia amteua Richard Rwanyakaato Kiiza kuwa Kamishna wa Uhifadhi Ngorongoro

    Zoezi la kuhamisha wamasai kalikuta.
  10. Ngongo

    UTEUZI: Rais Samia amteua Richard Rwanyakaato Kiiza kuwa Kamishna wa Uhifadhi Ngorongoro

    Rais anapomteua mtanzania katka nafasi fulani anakuwa kapelekewa taatifa zake zote kwa ukamilifu. Nina uhakika katika hili la Kiiza aliingizwa chaka na watendaji wake. Tunaweza kumlaumu Rais kwa uteuzi wa Paul Makonda kwakuwa alishafahamu matatizo yake mengi lakini bado kamteua sijui kwa nini...
  11. Ngongo

    Kwa imani ya Kikatoliki, Hayati Magufuli alibahatika kupata Kifo chema

    Alipata nafasi ya kuwaomba msamaha aliowatendea ndivyo sivyo ?.
  12. Ngongo

    UTEUZI: Rais Samia amteua Richard Rwanyakaato Kiiza kuwa Kamishna wa Uhifadhi Ngorongoro

    Hii ni kweli nadhani lile tamko la CDF juu ya uteuzi wa wageni katika nafasi za maamuzi umeanza kufanyiwa kazi.
  13. Ngongo

    UTEUZI: Rais Samia amteua Richard Rwanyakaato Kiiza kuwa Kamishna wa Uhifadhi Ngorongoro

    CDF mstaafu ni Mwenyekiti wa Board,Kiiza alikuwa Mkuu wa NCAA au ukipenda CEO.
  14. Ngongo

    UTEUZI: Rais Samia amteua Richard Rwanyakaato Kiiza kuwa Kamishna wa Uhifadhi Ngorongoro

    Fikiria mimi si mtu wa system na nina taarifa zake nyingi chafu ambazo kama taratibu za vetting zingefuatwa vizuri jina lake kamwe lisingefika kwa Mama. Kumlaumu Mama nadhani tunakosea sana,wanaostahili lawama ni mfumo mzima wa utawala umeshindwa kufanyakazi ipasavyo. Umewahi kujiuliza...
  15. Ngongo

    UTEUZI: Rais Samia amteua Richard Rwanyakaato Kiiza kuwa Kamishna wa Uhifadhi Ngorongoro

    Ni kweli Kiiza ana mashamba makubwa sana mkoa wa Katavi.Mazao eg mahindi,maharage....anapeleka Rwanda siju kwanini au labda kuna soko kubwa na bei nzuri kwa kweli sijui. Kuna tuhuma nyingine za kuwasaidia wanyarwanda kupata ardhi huko Katavi na madereva wa malori yake wengi ni wanyarwanda...
  16. Ngongo

    UTEUZI: Rais Samia amteua Richard Rwanyakaato Kiiza kuwa Kamishna wa Uhifadhi Ngorongoro

    Kiiza mjinga sana kaenda NCAA na dereva wake,Personal assistant wake,Mlinzi wake wote kutoka nao Tanapa na wote Wahaya wenzake.
Back
Top Bottom