Kufanya kazi ni jambo jemaz una heri una uwezo na nafasi ya kufanya hivyo. Hata hivyo hii ni kazi pia. Unanipa dakika ngapi za faragha?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
My point is, haijajadiliwa gizani, maana vituo vingine visingeonyesha. Kwa nini tunatanguliza neno gizani il hali kuna mwanga?
Kama kuna mtu ana hoja kwamba mambo hayapo sawa, aiweke tujadili. Plus, bunge linaendelea jioni na mjadala utaendelea . Hilo giza liko wapi?
Chombo cha umma to what extent? Maana wanachoonyesha Arusha pia ni issue za umma! Mara ngapi wamekata matangazo ya bunge kuonyesha shughuli nyingine? Majuzi hapa walikata kuonyesha Makamu wa Rais akifungua Barabara huko Arusha. Mbona hukuweka uzi?
Sioni mantiki ya hoja yako.
Mosi, bajeti haijapitishwa bado inajadiliwa.
Pili, sio TBC pekee inayoonyesha Live. Mfano Star TV wanaonyesha bunge live.
Sasa kwa nini unahisi kuna jambo linafichwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.