Search results

  1. idoyo

    Arusha hakuna kitu mbele ya Mwanza, Imethibitika

    Halafu Arusha haikuitwa "Geneva of Afrika" kwa sababu ya mazingira na utalii. Fuatilia hotuba ya Rais Clinton, kama lugha inapanda lakini: Clinton at Burundi peace talks. Ila jombaa unachekesha, sasa uwaondoe Wachagga Mwanza waje Arusha ni kwao? Yaani umekaa kabisa ukawaza huo ujinga wa...
  2. idoyo

    Special Thread: Ku-track kukatika kwa umeme

    We mama, Makamba ni waziri wa UK?
  3. idoyo

    Kwa jinsi namba E inavyokimbiza kuna kitu hakipo sawa mahali

    Kama mimi ni mfanyabiashara nitaitumia hii fursa kupata faida kubwa. 😀 So wananunua cheap, wanamaitain bei, wanatanua wigo wa faida
  4. idoyo

    Kwa jinsi namba E inavyokimbiza kuna kitu hakipo sawa mahali

    Yeni ya Japan imepoteza mpaka 30% ya thamani yake (ukilinganisha na Dola ya Marekani). Pia angalia JPYTZS, kutoka Tsh. 20 March mpaka Tsh. 15 October. Kwa hiyo, kwa uchumi rahisi tu, pesa ya nchi ikishuka wanunuzi wa nje wanapata bidhaa kwa bei poa. Kwa hiyo wakati mzuri wa kununua magari Japan...
  5. idoyo

    Sakata la Makonda na Utapeli wa Gari: Kamwelwe(Mwenye gari) anadaiwa ni mkimbizi, tapeli na katimuliwa Burundi

    Niliperuzi kutafuta hii great thinking. Maana naona watu wanaparamiana bila kuangalia details. Good questioning! Hapa ndiyo pa kuanzia!
  6. idoyo

    Arusha hakuna kitu mbele ya Mwanza, Imethibitika

    Hilo la uzuri umeleta wewe. Uchumi ni namba, sio urembo!
  7. idoyo

    Arusha hakuna kitu mbele ya Mwanza, Imethibitika

    Wanamalizia machicha huko!
  8. idoyo

    Tetesi: TTCL Kusambaza Internet Bure Majumbani na Maofisini. Bili ni kwa Mwezi

    Amefanya kazi kubwa sana kulibusti shirika.
  9. idoyo

    Tetesi: TTCL Kusambaza Internet Bure Majumbani na Maofisini. Bili ni kwa Mwezi

    Kama Kenya kwa akina MK254 ipo, huko duniani ndo itakosekana? Em hata ugugo jamani, dah!!
  10. idoyo

    Moshi ndio Manispaa ya ovyo kushinda zote Afrika Mashariki

    Teh! Si uliuliza swali kuhusu mzunguko wa pesa?! Benki=Pesa
  11. idoyo

    Moshi ndio Manispaa ya ovyo kushinda zote Afrika Mashariki

    https://www.jamiiforums.com/threads/miji-muhimu-ya-kifedha-tanzania-nje-ya-dar-mwanza-arusha-moshi.1979428/
Back
Top Bottom