Search results

  1. N

    Job opportunity

    Institution: Green bird college(mwanga- kilimanjaro) job title: Tutors no. Needed: 2 field: Procurement & supply levels: Certificate and ordinary diploma qualifications: Degree in procurement & supply deadline for application: 29/07/2015 for more information: 0685842682/0755688641/0658863001
  2. N

    NOKIA E72 utaniuzia kwa shilingi ngapi?

    130,000 if your serius tufanye biashara
  3. N

    Nahitaji laptop kwa bei ya shs 300,000

    habari za saa hii wanajamvi,nahitaji laptop ya shs 300,000 npo moshi iwe katka hali nzuri km unayo nitafute 0768049491
  4. N

    Grace Kiwelu, James Millya, Bananga, Kilewo, Msuya Kuwasha moto Mwanga 07 January

    Tuko pamoja makamanda maghembe waziri mzigo hana chake tena mwanga!
  5. N

    Inauzwa: Smart Samsung Led TV 32

    mkuu hiyo sio hasara,ni gharama ya matumizi ya tv ,depreciation cost,mm ntakupa 520k kwa hivyo vyote ulivotaja!
  6. N

    Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    kweli tz tuna safar ndefu km hzi ndo sifa za raisi ajaye!
  7. N

    Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Wana jamvi habari zenu nimekuwa nikifuatilia nikaona nitoe mtizamo wangu kuhusu huu upepo unaovuma kuhusu Edward lowasa,leo natoa sababu 5 zinazomfanya Lowasa asiwe na sifa za kuwa raisi wa nchi yetu 1.Elimu ikumbuke kuwa EL ndie aliyesimamia ujenzi wa shule za kata ambao hii leo...
  8. N

    Enzi ulipokuwa boarding

    daa mi nakumbuka kinyara sec vyoo vilikuwa vichafu ukiingia inabid uvue nguo,mi nkajifanya mbish nkazama nazo ile kutoka ckushtuka smell naingia clas ilikuwa ucku prepo,maduu wakaanza kulalamika harufu ya kimbo mi nasema mbna sisikii daa jamaa angu alikuwa jiran akantonya mwanangu umeharibu...
  9. N

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    hakinogi kama watoto wapo macho hawajalala
  10. N

    pata laptop kwa bei nafuu

    chukua 220 mkuu!
  11. N

    Kitabu cha ujasiriamali-MBINU ZA BIASHARA NA MAARIFA YA KUPATA PESA NA UTAJIRI

    wakuu anapouza hiv vitabua ndo ujasiriamali wenywe,tupeane sapoti.
  12. N

    Tangazo la Msiba Chadema Mbeya

    pole kamanda naamin huko aliko anafurahi kwamba unapigania watanzania tofaut na wachumia tumbo
  13. N

    kinyozi mwenye uzoefu anahitajika Moshi

    ndugu wan jf,tunahitaji kinyozi mwenye uzoefu na na anayependa kazi barber shop imefunguliwa hapa Moshi,kwa yoyote anayeona ana sifa basi awasiliane nami kupitia no:0768049491 ahsanteni.
  14. N

    Nyumba ya barafu dawayake jua/joto, CHADEMA inayeyuka...

    muulize yule binti wa miaka 14.
  15. N

    Nyumba ya barafu dawayake jua/joto, CHADEMA inayeyuka...

    Kwa hakika wapenzi wa mabadiliko katika nchi hii napenda kutoa pongezi za dhati kabisa kwa kamati kuu kwa uamuzi huu mgumu walioufanya,najua ccm wataona ni mtaji lakini kwa hakika si mtaji endelevu. Nilishawahi kusema chadema ni safina ya nuhu kama ilivyokua Mungu alipandisha viumbe...
  16. N

    Kuvuliwa uongozi kwa Zitto: CHADEMA Mmejipangaje kuepuka propaganda za UDINI na Ukanda dhidi yenu?

    kaa kimya kama huna hoja,nchi hii hakuna muislam wala mkristo mnaotumia huu mtaji wa dini magamba mmefilisika. Viva chadema
  17. N

    Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

    Wana jamvi, nna shilingi laki nne nataka nianze biashara ya chips ,kwa aliye na uzoefu naomba anipe mchanganuo na kama mtaji huu utatosha!
  18. N

    Used laptop for sale

    chukua 350
  19. N

    Kamanda Kileo na oparesheni ya mlango kwa mlango Mwanga

    Ndugu wana jf, ukombozi hauji kirahisi hasa katika kuwaondoa miungu watu,ni siku ya tatu kamanda kileo anafanya operasheni ya mlango kwa mlango katika kila kitongoji cha Mwanga,hii ni hakuna kulala mpaka kieleweke ,wana mwanga wameitikia wito kuunga mkono harakati na kwa ujumla ni mafanikio...
Back
Top Bottom