Mimi na washkaji zangu tumechukua gari showroom ya Tengoz (M) LTD , jamaa ni very honest na gari zipo in very good condition, ukiwa mjini utaona gari nyingi walizouza zina label ya Tengoz kwenye kioo cha nyuma. Sahivi nimeona wana page kwenye instagram #TENGOZLTD.
Jamaa yangu anafanya research ya e-commerce Tanzania, ili kukamilisha research anaomba msaada wetu wadau. E-commerce ni teknolojia muhimu sana na inatumika sana huku nje. Kwa maelezo zaidi fungua link hapo chini.
I am writing a research on e-commerce acceptance in Tanzania. I'd really...
Inasikitisha sana kwa kiasi gani huduma zetu za utalii ni za enzi ya nyerere , wahudumu hawana ujuzi wa kuhudumia watalii ,kiingereza cha form two, miundo mbinu choka mbaya , magari mengi chokah mbaya. Ina nikumbusha kilimo chetu cha jembe na kungojea mvua kwa miaka 50 ya uhuru .
Roho inauma...
thats why sometimes aint buying the women right thing......what? right to be naked and kill us with aids! women are so stupid(not all of course)......all what they are thinking is to attract men......some even with husbands at home!!.....seriously,cant you make that priority D or E,why make that...
Sie Yanga tunawashukuru waandalizi kwa kutupa nafasi hii mapema.... tulipanga kulipa kisasi baadae kwenye ligi, ...kwa imepatikana chance hii, mbona watatutambua...tutanyoanyoa sharubu za mnyama zote!
Jangwani tupeni raha huko.
BBA3, mwanadada wa kitanzania ameenda kututia aibu, na afadhali ametoka mapema
BBA2, pamoja na kwamba wengi mnaona Mtanzania kashinda lkn ukweli ni kwamba maadili aliyoyaonesha huyu jamaa ni aibu tupu kwa Watanzania. Richard alikuwa Mme wa mtu kwanza , akaenda kufanya mambo ya ajabu na demu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.