Search results

  1. ashy da don

    Visa nilivyoshuhudia kwa ndugu yangu Mtaalam wa Tiba za Asili

    Anayebisha kuwa uchawi hamna namuona bado hajapitia mahangaiko,Dunia hii tunayoishi unajua kwamba kuna watu wana maono ya kuona hadi message unazochart na mtu mwingine,kuna watu wana uwezo wa kuku scan na kujua hadi pesa utayolipwa kesho,Kuna watu wana maono ya kuona kuwa huko unapoenda ni...
  2. ashy da don

    Fundi hata umbane vipi akitaka kukuibia atakuibia tuu

    Hata kampuni zinafanya hvo pia, wanajenga kwa phase kulingana n uwezo wako,
  3. ashy da don

    Fundi hata umbane vipi akitaka kukuibia atakuibia tuu

    Hizi changamoto za kusumbuana na mafundi mnazitaka wenyewe client, Siku hizi kuna makampuni mengi tu class VII wanajenga hadi nyumba za viwili, kaa nao chini mpatane muingie mkataba, mkiendelea kujenga ki local hvo mtapigwa sana na nasema mtaendelea kupigwa tu!
  4. ashy da don

    Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia chochote?

    [emoji1][emoji1]Mnato mzee baba, nachojilaumu sikua na zana za wa Congo yani nngechakaza kweli kweli!! Sema nn na jana kaileta imechakazwa, yani kila nikiichakaza nawaza hela zangu alizokula huyu kunguni
  5. ashy da don

    Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia chochote?

    [emoji1][emoji1] Ndio mkuu, toka jana nipo naye kaja kulala kabisa, kwa mda huu wacha azile ila asichojua ni kwamba moyoni hayupo kabisa!! Nataka nimpagawishe alafu nimuache kwa maumivu makubwa sana
  6. ashy da don

    Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia chochote?

    MREJESHO [emoji1][emoji1] Deal done, huyu binti nmemla Jana, Kilichotokea ni kuwa toka mwanzoni mwa mwaka huu baada ya kufuma text ikabidi nmpotezee tu, basi mwezi wa tano ule akawa ananitext mm najibu short tu, akakata tamaa, akawa tena anakaa ananitext mara ananzingua nimtumie hela namjibu...
  7. ashy da don

    Gharama za Ujenzi kwa Nyumba za ‘Contemporary’ Vs ‘Traditional’ Roof

    Haya hyo slab usipofanyia treatment inavuja vile vile!
  8. ashy da don

    Gharama za Ujenzi kwa Nyumba za ‘Contemporary’ Vs ‘Traditional’ Roof

    [emoji28]kuna client anakuambia yani mm nimpe hela,mtu anayekuja kunyoosha kidole tu hapana!Watanzania wengi hawaamini katika utaalamu wao wanataka mtu uchafuke au ubebe tofali ukiwa site ndo akupe hela
  9. ashy da don

    Unamkumbuka Crush wako wa utotoni? That was real and only unconditional love you will ever experience

    Mkuu yule demu cheupe,kama watu wanavyohonga siku hz mm nlikua nahonga elimu yani nlikua namhonga elimu mpaka basi,mana ndo ktu pekee nlichokua naweza kumhonga[emoji4], imagine alipiga Division one olevo na akawa wa kwanza kwa mabinti!nazani shida yangu ilikua moja tu nilikua rough...
  10. ashy da don

    Unamkumbuka Crush wako wa utotoni? That was real and only unconditional love you will ever experience

    Okay kwanza nianze Primary 1999-2005 nilikua napendwa na mdada mmoja wa kuitwa Lucy,na mm pia nlikua nampenda ila sijui ilikua inakuaje nikimuambia nampenda yeye anakataa,ikafka mda yeye akaanza kunambia ananipenda na mm nakataa, Kufika la Saba mwanzoni akatokea crush mwingine alikua dada wa...
  11. ashy da don

    Tatizo la kina cha msingi wa nyumba

    Kwani Graduate hawezi kuwa na uzoefu wa site??
  12. ashy da don

    Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia chochote?

    [emoji28][emoji28]demu anakula kitimoto imagine kuna siku alikua kilo moja na ugali peke ake kesho akataka tena nkaona hapa nadate na Fisi sio bure!ila demu sio huyo mkuu!
  13. ashy da don

    Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia chochote?

    Sana braza yani nlimfanyia ugentleman malaya!ila nmemueka kiporo yani yule lazima linda nilitoe!
  14. ashy da don

    Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia chochote?

    [emoji28][emoji28][emoji28]acha tu!Ila yule nishamuambia mm ma yeye hatujamalizana atakuja kulipia tu siku moja!mana anajifanya sana mtoto wa mjini!
  15. ashy da don

    Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia chochote?

    Ndo mwanamke mwenzako alivyonifanya hvyo!ila kanifundisha ktu kikubwa sana maishani!
  16. ashy da don

    Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia chochote?

    Mbona kawaida sana!nilihonga miezi sita na simu nikamnunulia ila hata kiss sikuambulia!kila ukimgusia maswala ya papuchi ananuna anasema nina haraka sana!ilikua kila siku lazima nmnunulie kitimoto,kila wiki kusuka!hapo bado kumtoa out kila weekend na hata kiss sikupata[emoji28][emoji28], Siku...
  17. ashy da don

    Technician wa ujenzi nahitaji kazi

    Natafuta civil technicians wawili fresh from school who are very time keeping ambao wamemaliza DIT, Mbeya na kwingineko kwa ajili ya kuwapa mafunzo ya site supervision then later on, l will employ them katika kampuni ya SONGOJO LIMITED (Building class 5 and Civil work class 6). Kampuni ni changa...
  18. ashy da don

    Engineer wa Ujenzi natafuta kazi

    Kama upo Dar na bado huna kazi ni PM
  19. ashy da don

    Nimebisha sana leo; ni kweli kuna Madaktari mtaani hawana kazi?

    Nina rafiki zangu wawili tena wamesoma Cuba na hata vijiwe hawana!niku PM uwasaidie??
  20. ashy da don

    Msaada wa kuzuia harufu inayoingia ndani kutoka kwenye tanki la maji machafu

    Boss!kwanza naomba nielezeee kidogo hyo harufu ni nini! Harufu unayoisikia wew ni hydrogen sulphide,ambayo inatokana baada ya bacteria kuvunja kinyesi bila kuwa na oxygen(kitaalamu inaitwa anaerobic respiration) bacteria hawa ili wavunje kinyesi huwa wanahitaji supply ya oxygen na chanzo cha...
Back
Top Bottom