Search results

  1. delusions

    Tuendako kuna giza: Majaliwa anadai kupata kura kiduchu sababu ni watumishi wa umma kutokitetea CCM kama mwajiri wao

    HAIWEZEKANI ULIPWE MSHAHARA USIMPIGIE KULA MWAJIRI WAKO SASA ATAKULIPAJE NA HUJAMPA KULA
  2. delusions

    Umeanza kutumia mtandao lini? Wale wa kale tukutane hapa

    line ya voda ikiwa 32,000/= unapata na manual bonge la kitabu kwny pack ukasome namna ya kutumia line BUZZ(sasa Tigo) line 22,500 iko ndANI YA kasha la cd na kakitabu flani kadogo manual ya jinsi ya kutumia line bila kusahau wazee wa tritel walioibuka na mabei yao makubwaaa vilaza sana watu hadi...
  3. delusions

    UTAWEZAJE KUTOFAUTISHA KUROILER NA KUKU WA KIENYEJI

    ni wanafanana sana na kienyeji ila wao ni high breed wanakuwa na maumbile makubwa na hawana rangi za tofauti sana wekundu flani hivi mix na white na black siyo rangi ya kanga
  4. delusions

    Vifaa na Ukakamavu wa vyombo vyetu vya Usalama, umedhihirika kwenye ajali ya MV. Nyerere

    acha utani na jeshi lililomtoa baru cbe gpe field marshal concuerer of british empire iddi amin dada
  5. delusions

    Tundu Lissu: Rais Magufuli ana shida gani na misiba mikubwa?

    4. Mara wakauawa wanajeshi wetu wa kikosi cha kulinda amani nchi DR Congo mwezi December 2017. Rais wetu na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama hakuonekana Uwanja wa Taifa kwenye mazishi ya wanajeshi wetu. Aliyekwenda kwa niaba ya Serikali ni Waziri Mkuu Majaliwa. Wewe jamaa ni...
  6. delusions

    Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

    ni hadit ni hadithi nzuri hii wakiipata bongo muvi wakaifanyia haki
  7. delusions

    Wapiga ‘ mikwara ‘ na ‘ wababe ‘ kama hawa ‘ tuliwamisi ‘ sana nchini Tanzania

    yule mzee aliyeanguka na ungo juzi mission failed miserably
  8. delusions

    Tatizo la mafua lisiloisha

    maswali yote hayo atayajibu daktari hospitalini tu humu hakuna
  9. delusions

    Uchaguzi 2020 Jambo wanalopaswa kufahamu CHADEMA, ni kwamba muda wa kufanya siasa za kistaarabu umekwisha

    chama kinaenda kupasuka vipande vipande kuna bomu linakuja
  10. delusions

    Hivi ni kweli Rais Magufuli aliishi Canada kipindi akiwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi? Iliwezekanaje?

    Sitaki kuingia deep sana kwenye swala hili sababu timu kama arsenal na chelsea hazipo kwenye mashindano ya UEFA lakini pia barabara kuu ya songea masasi ambayo ni kivutio cha maji inapaswa kujengewa uzio na maeneo yote ya mabondeni na kwenye misitumikubwa swala la kuku na tairi za gutatuwaachie...
  11. delusions

    Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    acha uvivu wewe kubwa zima unaogopa kuchanga laki utakuwa ulioa ndoa ya mkeka tu kwa mawazo haya mgando
  12. delusions

    Ubaya na Uzuri wa gari aina ya TOYOTA ALLEX

    Achana na vi bebi woka nunua gari za juu juu gari siyo mafuta tu hata mchemsho inatumia
  13. delusions

    Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

    panjwani daah umenikumbusha stori ya kuibiwa dukani na walionunua friza akawasaidia kubeba hahaha daaeh
  14. delusions

    Hii ni trela ya kampeni za CCM 2020. Wapinzani mkae mkao wa kupigwa.

    unamuulizia sana mwenyekiti kabla ya mwenye meza
Back
Top Bottom