Search results

  1. M

    real motor japan

    ram thanks but kule nimeipata but nakuwa kama sina imani nayo so natafuta mtu alienunua currently ili niwezeb kulinganisha mana wanadai wamebadilishabaccount miaka mitatu iliyopita
  2. M

    real motor japan

    msaada wa account namba za bank real motors japan
  3. M

    real motor japan

    jamani samahani naomba msaada kwa mtu alieagiza gari real motors japani hivi karibuni naomna kupata msaada wa swift code na account zao mana inaonekana wamebadili bank account sasa naogopakuibiwa
  4. M

    Mshahara wa Assistants Inspector wa jeshi la Zima Moto

    nasikikia ni tgts d yaani laki nne na sitini na tisa:flypig::flypig: take home
  5. M

    Ttcl

    jamani walofanya ttcl call centre representative walishaitwa?...
  6. M

    Nimeokoa maisha ya mtu leo .......

    sasa atakufa kwa pressure ya ndoto zake kuangamia....
  7. M

    ttcl

    jamani ttcl vipi mana walisema wiki hii kwa second interview
  8. M

    Ajira ajira ajira serikalini!

    Hivi jamani inakuwaje baadhi ya ajira serikalini zinakuwa na mlolongo mrefu sana mpaka watu kuanza kazi, maana kuitwa kwenye interview nia zaidi ya miezi sita tangu nafasi zinapotangazwa,sasa kuitwa kazini itakuwaje....mfano mzuri ni hawa jamaa wa secretariet ya ajira na tangazo la kiswahili au...
  9. M

    Oryx na Mihan gas, which is the best choice?

    nadhani kama umeangalia vizuri hili ni jukwaa la mambo yanayohusiana na ajira sio mitungi ya gesi!
  10. M

    Kwa wale mliofanya Aptitude Test ya PSPF

    bikira ya mwazo! he...
  11. M

    ufafanuzi utumishi

    tuli mda unavyozidi kwenda wana update ukiangalia kwa makini asubuhi lilikuwepo moja sasa yako mawili so endelea kusubiri mkuu....
  12. M

    MSaada:Taarifa kuhusu nafasi zilizotangazwa NMB lake zone na Highland Zone.

    Mkuu hizo nafasi ulipoziona zinatangazwa ulikuja kuwajulisha wadau humu?
  13. M

    MSaada:Taarifa kuhusu nafasi zilizotangazwa NMB lake zone na Highland Zone.

    acha kudanganya watu ulipost wapi watu kila kunapokucha wanakuwepo kucheck update we unasema ulipost...inamaana watu wote hao hawana macho! kafanye interview sasa
  14. M

    Tanzania Leaf Tobacco Company

    juzi nilienda kufuatilia palepale morogoro tumbaku kiwandani nilipewa jibu kwamba ndio wako kwenye mchakato wa kuandaa shortlist
  15. M

    Job vacancies - mesco t.ltd

    Zipper nafas i 4 jamani
  16. M

    Jamani naomba ushauri wa kuusu hisa

    achana na hiyo biashara kabisa itakula kwako maana faida yake ni ya muda mrefu sana na inakuwa ndogo sana labda uweke mamilioni ya pesa. na kuna uwezekano wa kupoteza kabisa npesa yako mana mie nilishanunua kuna kampuni fulani posta ila baada ya lile kampuni kushindwa nkendelea jamaa walishindwa...
  17. M

    nimeitwa kazini afisa tarafa.

    hongera sana kapige kazi kijijini sasa....
  18. M

    Jamani huu sio utapeli kweli? Hebu soma tangazo hili la kazi

    hii ni hatari maana unaweza tapeliwa pesa kazi hupati na interview ya kazi ukaambiwa una apply....
  19. M

    Mshahara wa PGSS 12

    1.2 ml gross
Back
Top Bottom