Search results

  1. G-son

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Asante mkuu Mshana. Ngoja tumsubiri Angeloo007 atusaidie
  2. G-son

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mshana kwema mkuu. Tafadhali naomba rudishwa kwa group ya magari la whatsapp. Nimebadili handset ila sikuweza hama na groups. Tafadhali namba 0787 229344 . Natanguliza shukurani mkuu
  3. G-son

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Wataalam naombeni undani wa hizi Honda elysion, zimenivutia hasa kwa familia
  4. G-son

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mkuu Mshana, tafadhali naomba saidia hawa wadau wa JF kuwaunga ktk group la whatsApp, wanapata shida jinsi ya kukutumia ujumbe through hii mada maalum ya magari na wakanituma ujumbe kwangu. Numbers:- 0754-835309; 0766-026849 na 0714-079636 Asante kwa msaada wako
  5. G-son

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mkuu Mshana naomba niwe kwenye group kupitia 0787 229344. Natanguliza shukurani zangu.
  6. G-son

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Yangu ni 0787229344 naomba niunganishe
  7. G-son

    Saikolojia: Namna ya kutambua tabia ya mtu

    Asante kwa uchambuzi huo mkuu. Swali langu ni; Je kwa aina ya watu uliowa ainisha kuna fursa ya mmoja wapo kubadilika kuwa na sifa za upande wa pili? Kwa mfano Mjeuri kuwa mpole na vivyo hivyo kwa mpole? Na Je hii ni hurka ya kuzaliwa nayo(genetical) au inaathiriwa na mazingira husika ya mtu...
  8. G-son

    Ushauri wenu kuhusu gari hizi mbili tafadhali

    Wana JF Habari. Naaombeni ushauri wenu kuhusu gari hizi mbili kwa mazingira ya Kitanzania. Gari zenyewe ni Honda-crossroad na/au Honda-Elysion. Nimezipenda hasa kwa familia (watu 7 mpaka 8) na nahitaji ushauri ipi ni bora kwa mazingira yetu, kama vile vipuri, ulaji wake mafuta, uimara...
  9. G-son

    Ufugaji wa Bata Mzinga, Bata Bukini na Kanga: Maoni, Ushauri, Utaalamu na Masoko

    Mkuu bluetooth hakika umenisoma, Kumradhi ni Kware wanaJF Asante bluetooth
  10. G-son

    Ufugaji wa Bata Mzinga, Bata Bukini na Kanga: Maoni, Ushauri, Utaalamu na Masoko

    Wana JF Habari za mapumziko ya sikukuu ya X-mas. Leo nina jambo nataka uliza. Nimepata fununu kuwa katika kipindi cha hivi karibuni biashara ya mayai ya Kanga imekuwa nzuri sana kwani yai linafika hadi Tsh 1000 hasa kwa Jijiji Dsm. Mimi huwa najishughulisha sana na ufugaji wa kuku wa kienyeji...
  11. G-son

    Nahitaji kujuzwa

    Mimi nina mfano wa ubavu wangu kama miezi nne iliyopita amekuwa akikaa hata wiki 3 baada ya siku zake kufika bila kuona hata dalili za kuingia au kuziona siku zake lakini wiki ya nne mwanzo akaingia. Na hii imemtokea mara tatu sasa. Labda wataalamu wanawezasema zaidi chanzo cha kukaa mda mrefu...
  12. G-son

    Top ten wonderful names from Tanzania

    Filifyosa Andongolile Mwanjabhala
  13. G-son

    Harusi ya Vicky Kamata ni mil 96

    Itapendeza pia iwapo hata maisha ktk ndoa yataendaana na ukubwa wa sherehe (i.e. gharama ya harusi kubwa ipelekee kuwa na maisha ya raha na marefu ktk ndoa)
  14. G-son

    Dawa ya kuwahi kujifungua

    Mboga ya majani ya mgagani Kizungu (Spider plant-cleome gynandra) inasemekana kusaidia sana wanawake wakati wa kujifungua na pia ina sifa ya kuongeza damu. Hutumika kabla ya kujufungua (ili kujufungua kirahisi na salama bila taabu) na baada ya kijifungua ( kuponya majeraha yanayotokana na...
  15. G-son

    Twiga Bancorp Running Bankrupt

    Mmmh! Yes it needs to be clear and supported with strong evidence. Otherwise it will remain to be a story. Pls more info, as some of us have bank accounts at Twiga.
  16. G-son

    Deni la taifa kukua kwa kasi tafsiri yake nini?

    Wana JF Habari. Jana maada hii niliipelekwa kwenyejukwaa la "COMPLAINTS" nikashauriwa niilete hapa kwani ndo mahali pake ssahihi. Ni kwamba nimekuwa nikijiuliza swali moja kuhusu uchumi wa nchi yetu. Mara nyingi nimesikia kwenye vyombo vya habari kuwa deni la nchi linaongezeka kwa kasi...
  17. G-son

    Deni la taifa kukua kwa kasi nini tafsiri yake

    Asante Mkuu ngoja niihamishe fasta hapa
Back
Top Bottom