Search results

  1. Makaro

    Charles Kimei (CRDB) jiuzulu, kashfa ya kontena, tiketi TFF, wanafunzi na ujambazi CRDB

    Nashauri aliyeanzisha angejaribu kuanza na historia ya CRDB ilipotoka hadi sasa. Baadaye aelezeee hayo yake ambayo naona ni changamoto kwa wasaidizi wa CEO kwani sio yeye peke yake anafanya hivyo. Mnyonge mnyongeni haki yake Mpeni.
  2. Makaro

    Baada ya Wizara ya Fedha na Muhimbili, Wafuatao ni...

    Naomba awafukuze watendaji wa DAWASCO wote......wamesababisha vishoka wanaongezeka
  3. Makaro

    Mali alizochukua Mkapa na familia yake

    Mkapa famili wana nyumba za serikali karibu mikoa mikubwa yote. Dar ndiyo isiseme......hacha vingine
  4. Makaro

    Ni mambo mawili, aidha BAVICHA wamekata tamaa ama wamesusa

    Mfa maji haachi kutapatapa.......
  5. Makaro

    Majibu ya kisayansi: Lowassa na Sumaye!

    Tufanye sissa na usiingize mambo ya udini kwenye sissa.
  6. Makaro

    Mji Wa Mpanda wazizima, Lowassa asimamisha shuguli za mji wote

    Serikali iliyopo madarakani inatafuta kila aina ya kuzuia mabadiliko, Mwananchi akiamua hata ufanye nini.....
  7. Makaro

    Kuinyima kura CCM wakati naipenda

    Kuichagua ccm utakuwa zezeta, mtumwa wa mawazo, mtanzania amka, miaka 54 leo hii hakuna maji safi na salama mijini!! je vijijini utasemaje? Wake zetu,Mama zetu, dada zetu, watoto wetu wanalazwa chini wakati wanatuzalia viongozi wa Taifa la kesho. Mabadiliko muhimu
  8. Makaro

    CUF wasema Bai Bai UKAWA wajiunga na CCM

    Kazi yake kupokea Kadi feki, mwambieni atangaze sera hali mbaya......
  9. Makaro

    TCRA mpo? Naomba ufafanuzi kuhusu kipande kilichorushwa na Star Tv mara tu baada ya habari

    Jamani tubishane kwenye siasa, ila mambo ya DINI na UKABILA tuachane nayo kabisa. Mungu ibariki Tanzania
  10. Makaro

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Matusi yote mliokuwa mnampa, leo amekuwa mungu wenu. Mabadiliko mbele kwa mbele. Wananchi wameshaamua
  11. Makaro

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Yaani bora angenyaza kimya na heshima yake ingebaki pale pale, leo kaonyesha jinsi anavyomchukia EDO na kwa ajili ya kukatwa jina. Poale Mzee.
  12. Makaro

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Ameulizwa kurudisha kadi, leo anasema hata ya ccm amelipia na hajawahi kufanyakazi ya ccm!! Mbona kabla ya hili seke seke hajawahi sema hilo!! Wivu wa kike.
  13. Makaro

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Chonde chonde CDM msimjibu Slaa, mwachieni hizo tuhuma zake. Mabadiliko mbele kwa mbele, hakuna kitu kinakuja kwa urahisi. Ukombozi upo karibu sana.
  14. Makaro

    Mgombea Mwenza CCM na CHADEMA uso kwa Macho

    Hapo kakutana na mgombea udiwani, je ubunge itakuwaje, maana inaonyesha kapanic.
  15. Makaro

    Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Miaka 54 ccm imeshindwa kuwapatia Watanzania maji safi na salama, takataka kila mahali, elimu ndiyo usiseme.
  16. Makaro

    Tofauti kati ya Mrema na Lowassa kwenye ugombea urais

    Kaskazini ndiyo italeta Ukombozi wa Mtanzania.
  17. Makaro

    Mh. Samia Suluhu aendelea KUIVURUGA ARUSHA, UKAWA Wapoteza KURA za akina Mama

    Huyu si ndiye alipisha ile katiba ya ccm ambayo haina faida kwa Mtanzania. Mwaka huu atajuta kugombea
  18. Makaro

    Ona Mafuriko yalivyo ikumba Mwanza

    Hela za escrow hazitumiki kwenye kampeni mwaka huu.
  19. Makaro

    Lowassa: Nitashusha bei ya mafuta

    Waelimishe, kushuka kwa bei inawezekana maana kuna kodi nyingi sana kwa mwananchi. Agencies kama Sumatra, Ewura tunazilipia kwa kukatwa kodi kwenye mafuta. Vigogo wachache ndiyo waagizaji wa mafuta kwa jumla, wakati Tipper na TPDC wakiachwa wanafanya siasa tu. Inawezekana bei ya mafuta ikashuka...
  20. Makaro

    Taarifa kwa umma: NEC yaviliza vyama vya siasa kwa kutoa taarifa hii

    Chonde chonde nec, tumieni busara na ubinadamu. Angalieni wananchi walivyochoka na chama kilicopo madarakani. Hizo sheria zote hawaelewi, wanasubiri tu agizo. Umimilivu ukikosekana, hata nyie hapo Posta mtakosa pa kukaa. Mungu ibariki Tanzania na tupe umumilivu utoepushe na kikombe hiki.
Back
Top Bottom