Search results

  1. TAU 1

    Jinsi mwanamuziki SALUM ABDALLAH alivyopoteza maisha kwa majeraha ya ajali

    Mkuu Pascal,Mbaraka alifia Mombasa General Hospital(makadara)
  2. TAU 1

    TANZIA Tanzia: Msaidizi wa Askofu Dayosisi ya Kusini KKKT Dkt. Gabriel Nduye Afariki Dunia

    Poleni sana familia,Ndugu,marafiki,majirani na washarika, Roho yake ipumzike kwa Amani Baba yetu wa Kiroho Dr.Gabriel Nduye
  3. TAU 1

    Mapito haya ya Mnyakyusa Ipinda: Hii ndio simulizi yake

    Mkuu Mshana Jr.nina shauri michango ukusanye wewe kwa kila mmoja wetu atakae guswa kumsaidia Mwenzetu na mkeka uweke hadharani kama tunavyo fanya kwenye magroup mengine,nawasilisha
  4. TAU 1

    Hii ya wake wa viongozi wastaafu kuanza kulipwa ni zaidi ya too much

    Hili nami limenishangaza sana what selfishness!walimu,polisi,wanajeshi na watumishi wote wanateseka inapokuja kwenye stahiki zao halali kabisa za kustaafu!daaah pole pole jamani,huko mbeleni wanaweza kuja kutunga sheria za kuwalipa watoto na wajukuu wao viinua mgogo
  5. TAU 1

    Naomba Ushauri: Kaka yangu ananitishia kuwa ataniua

    Katoe ripoti polisi for record purposes,usikae kimya hii ni kwa usalama wako mwenyewe
  6. TAU 1

    Bandari na unafiki wa Watanganyika

    Nonsense
  7. TAU 1

    Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa ateuliwa kuwa Kardinali

    Well deserved,congratulations our new cardinal Protase Rugambwa
  8. TAU 1

    Usiudhuru uumbaji kwakuwa hujui umebeba hatima ya wangapi

    Mkuu Mshana Jr. Umeongea kitu kikubwa,May GOD Bless you [emoji120] Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
  9. TAU 1

    Shia vs Sunn vs Hadia. Nini chanzo cha ugomvi wa hawa wasilam wakati wote wanuabudu Allah na Qur'an ni moja?

    Mkuu nilichojifunza na kukiona SHIA wanaamini wao ndio Waislamu wanaofuata maandiko kwenye Quran na mafundisho kwenye hadithi za MTUME MOHAMED SAW kuliko wengine hapo ndio shida ilipo Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
  10. TAU 1

    Inafikirisha: Miujiza ya Mchungaji Mwamposa

    Tafadhali sana usimlinganishe YESU KRISTO na Binadamu wakawaida Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
  11. TAU 1

    Kisa cha Kweli: Mungu alikataa kifo changu mwaka 2018

    Huyo ndio YESU KRISTO ninaemuamini matendo yake ni makuu sana alikuwa nawewe kukutoa kwenye umauti na hakukuchoka kwenye majaribu uliyo mpitisha bado aliendelea kutenda nawe umeshuhudia live shukran kubwa sana kwake kutoka kwako ni kumpokea awe ndani yako na kwa hakika utapokea vingi zaidi hadi...
  12. TAU 1

    Burger mitaa ya Posta

    Ilikuwa inaitwa BURGER HUT,Owner alikuwa anaitwa Jalal jamaa wa Kibohora ambae pia alikuwa ana own Rendezvou Restaurant na Kongwa Beef Butcher samora Avenue,jamaa alifariki zaidi ya miaka 30 iliyopita Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
  13. TAU 1

    Kuna Mrembo kutoka Afrika Magharibi anataka kunitapeli huko mjini Gmail. Ngoja tuone

    Huyo ni tapeli la kiume anae taka kukutapeli kwa mbinu ya kizamani sana Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
  14. TAU 1

    Nilirudisha Milioni 3 niliyookota kwa mwenyewe, uamuzi uliobadilisha hatma ya maisha yangu

    Ama kwa hakika kabisa wema hauozi, unapopanda mbegu ya wema itazaa kuanzia kizazi chako cha sasa mpaka kizazi chako cha nne, MUNGU WETU AENDELEE KUKUBARIKI. Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
  15. TAU 1

    Bila shaka nchi ya Tanzania ina kinga kali sana

    AMEEN Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
  16. TAU 1

    Kiwanda cha Cement Wazo Hill hakichafui mazingira?

    Kiwanda kipo pale hata kabla ya Uhuru wananchi ndio walioenda kuvamia ardhi ya wazo cement na hati za maeneo yote yanayo zunguka kwahiyo wananchi ndio wanaopaswa kuhama
  17. TAU 1

    Uwezo mdogo kwa Wauguzi kugundua Saratani ndio chanzo cha kushindikana Matibabu

    Hii lawama ya Nursing fraternity ni uonevu,Nesi na hata Daktari hawana uwezo wa moja kwa moja kugundua saratani ila wanaweza kuhisia tu,shida kubwa ni diagnosis equipment ambazo nafikiri kwa TZ zipo Ocean Road Hospital tu
  18. TAU 1

    Phil Collins is 72 today, Happy Birthday Phil

    High profile living Legend,Happy Birthday Phil
  19. TAU 1

    Beautiful people of JF, LTE!

    Wishing you all JF members Happy coming New year 2023
  20. TAU 1

    Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

    Jamani mbona ni rahisi tu divorce ya Reginald na Mercy ilikuwa ni talaka ya mume na mkewe haina uhusiano wowote kisheria na watoto wao,sio kwamba ukitalikiana na mkeo mali mtakazo gawana pia zinahusika na watoto,talaka ilikuwa ya watu wawili tu mume na mke na sivinginevyo
Back
Top Bottom