Search results

  1. M

    Jerry Silaa atoa siku 100 kwa waliovamia maeneo ya wazi kuondoka Mara Moja

    Akasome ripoti ya Lukuvi kuhusu viwanja vya wazi Dar, vingi vimechukuliwa na CCM na wanapack magari na kukodisha Bar. Sidhani kama ana ubavu huo
  2. M

    Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

    Kile kipindi cha chereko huwa kinankera sana.
  3. M

    BAVICHA tena kwa ukanda wa Afrika Mashariki

    Inakuhusu nini we gamba? Nenda katoe matibabu kwa watu acha ushabiki wa kigamba, msengenyaji! we!
  4. M

    Nape-chadema wamekiuka katiba yao wenyewe!

    Siku hizi JJ Mnyika ana wasaidizi wengi mpaka akina Nape, mtu ambaye anatoa kauli kwa kutumia tumbo na sio fikra na hoja za msingi. Aje atuambie ni ibara gani imekiukwa na ni viongozi wangapi na akina nani wametoka mfukoni kwa Mwenyekiti
  5. M

    Nape-chadema wamekiuka katiba yao wenyewe!

    Naomba huyo mropokaji wa Magamba arejee yafuatayo; Katiba ya Chadema toleo la mwaka 2006, Kanuni za Uendeshaji Kazi za Chama, Miongozo kutoka ofisi ya Katibu Mkuu kwa mujibu wa Kanuni. Mamlaka ya Baraza Kuu ya kutunga Kanuni na Miongozo mbalimbali (ukiwemo mpango wa Kanda) na utaratibu wa...
  6. M

    TANZIA: Dr. Ferdinand Masau wa Tanzania Heart Institue afariki dunia

    R.I.P Dr, by then kulikua na mjadala mzito kuhusu NSSF kufili mali za THI nadhani modes fanyeni mpango mrudishe zite hot disc maana hata mm nilikua junior sana humu jukwaani na nilikua napewa mafunzo kweli ya namna ya kushiriki mijadala sio leo mtu anajiunga jana na kuanza kupomorosha matusi...
  7. M

    Meno ya Tembo tena: Kenya wamekamata Meno ya Tembo 638, ya Sh. Bilion 2 toka Tanzania!

    Kamanda Msigwa kawasilisha hoja binafsi kuhusu huu uhuni, lets wait n see labda serikali ya magamba watastuka. Lakini naona kama wanaandaa fedha haramu za uchaguzi mkuu ujao
  8. M

    Mzimu wa CHADEMA bado wamuandama Kikwete, amethitisha kwa kauli zake leo hii

    Hii kali ya kufunga mwaka, mbona hakutoa kauli yyte juu ya kifo cha mwangosi? Mbona anapishana na taarifa ya uchnguzi ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora ambayo ni taassi ya serikali? Hana ishu
  9. M

    Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

    Madai yote ni uongo, hakuna ukweli kabisa. Mambo mengine huwa ni upuuzi mtupu, hata kama ni tuhuma au mapungufu ya kiongozi yeyote ni lazima uandike facts na sio uongo kama huu. All these ar irrelevant
  10. M

    CCM yatamba kuzoa majimbo, kata 2015

    Sijawahi kuona kiongoz mbovu kama mwigulu ktk nchi hii, he iz just a ****
  11. M

    Kwanini hatuoni hoja binafsi kutoka wabunge wa CCM na CUF?

    Pakua hansard usome wapi walizitoa hoja zao,ya Jaffo alianza Mnyika na ya Januar aliiba kwenye hotuba ya Upinzani ya mwaka wa fedha 2011/2012 kuhusu kuanzisha Real Estate Regualtory Authority ili kuwapunguzia adha wapangaji wa nyumba mijini.
  12. M

    Taarifa kwa vyombo vya habari - CHADEMA yakataa wito wa kamati ya Nchimbi

    wakati watu wakitakiwa kupelekwa mahakamani na kujiuzulu wao wanataka kutafakari kifo
  13. M

    Hukumu ya kesi ya uchaguzi Igunga

    wakuu, hukumu inasomwa kesho tarehe 21/08/2012 kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa wakili.
  14. M

    Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka 50!.

    Nilikuchek jana usiku tbc, naona kama vile ulikuwa handasi kaka maana kama ilikuwa unakula gomba vile?? ni macho yangu tu kama nilikosea chukulia poa, ila ccm kutawala miaka 50 mingine ni propaganda kama zile za mwaka 2010 kuwa CDM ni chama cha msimu lakini sasa kinawagwaya hawa jamaa mbaya...
  15. M

    HOTUBA za Bajeti Mbadala na Hali ya Uchumi nchini kutoka Kambi ya Upinzani Bungeni

    mods saidieni kuipanga upya hii hotuba ni muhimu sana
  16. M

    Mkakati wa kuwavua ubunge wabunge wa CHADEMA wafichuliwa

    mkuu haya mambo tusiyapuuzie kabisa kwa sababu hawa jamaa ni manyang'au wana mambo mengi sana wanafanya kudhibiti upinzani
  17. M

    Mzimu wa Richmond warejea bungeni leo katika mjadala wa gesi asilia

    tunataka hoja binafsi ya mnyika ijadiliwe ili haya yote yawe wazi kwa sababu inaonekana wabunge ni wapiga kelele tu wakati kwa upande wa serikali ndiyo wanaonekana wazembe
  18. M

    James Mbatia aamua kufuta kesi dhidi ya Halima Mdee

    hujajenga hoja bado, rudi kasome
Back
Top Bottom