Mkuu, kwanza nikupongeze jinsi ulivyoleta hoja yako hapa jamvini.
Pili niseme kwa kifupi tuu kwamba the Coercive force yaani nguvu ya dola haijawahi kamwe kunyamazisha the Mass with public opinion on hand!! Yaani nguvu ya umma yenye ajenda ya taifa. 2020 ni mwaka wa vyama vya siasa kujitathimini...
Mkuu kutokana na uzoefu wangu nitakudokeza kama ifuatavyo kwa kifupi tuu;
1. Utashi wa kusoma unaanza pale mtoto anapojifunza kusoma na kuendelea katika maisha yake yote( tunaiita hii literal development of a child)
2. Utashi wa mtoto husika husukuma kupenda kusoma vitabu kutokana na mazoea...
Ni maktaba bora kabsaaa na hii ikitumiwa vizuri italeta upanuzi fikra kwa wengi. Tatizo moja kubwa wasomi wa siku hizi na matumizi ya maktaba bado changamoto kubwa!! Wasomi wanàtegemea saaana kuteleza kwenye ganda la ndizi la tovuti tafutizi kama google na kusaka vi PDF Files wakati maarifa...
Zamani za kina Plato na Socrates walijitokeza kundi walioitwa "Sophists" hawa walikuja kuipindua kabisa misingi ya falsafa kwa lengo la kujipatia fedha! Walirahisisha mambo wakapindua kauli na kuvuta wengi kwa maneno matamu ili kujipatia fedha na umaarufu!! Sasa zama zetu pia wameibuka wapiga...
Kwa wanaokumbuka ubabe wa NATO enzi za Chechnia-Yugoslavia na propaganda zake za kudhoofisha Russia influence ndani ya Balkan States hii itakua War game retaliation ya pekee kwa Urusi kutuma messeji kwa NATO Kwamba wanarudi kivingine.
Mtoa post katoa yake ya moyoni ila tatizo moja nililo ona kwake ni kwamba amekua so obssesed na kutetea management iliyopigwa chini na kawa mvivu kutaka jua nini new management inaona kinafaa kwa sasa katika mradi. Hzo terminologies za potential value,market value na equit holdings CAG anazijua...
Jijini Arusha Tanzania imepata fursa ya kuwa mwenyeji wa Jukwaa huru la ubunifu, sayansi na elimu teknolojia maarufu kama TEd- Global talk.
Kwa kuliona hili nikafanya udadisi kidogo kujua sehemu nyingine hasa nchi za Asia na Amerika walilitumiaje jukwaa hli la Ted katika kukuza fikra za...
Elimu haina mwisho utashi wa kujiendeleza ili kupata maarifa zaidi ni hitaji la muhimu kwa ustawi binafsi wa mtu. na ikumbukwe lipo kinafsi zaidi na hujengwa na msukumo wa mtu husika kufuta ujinga. Sioni sababu ya kumshupalia Shigongo bali ni vema kumpongeza kwa kupambana na hali yake! Elimu...
Nguvu ya nasfi huja na viashilia aina mbili. Moja viashilia chanya na mbili viashilia hasi. kuiujumla viashilia chanya hubeba kusudi la uumbaji wako na malengo yako kijumla katika maisha. Je kwa nini upo duniani ili ufanye nini na kwa faida ya nani? ukiweza kuyajibu hayo mtu yeyote hawezi...
Publicity attention ya Lissu ina mbwembwe! ilitosha tuu kuwakumbusha watu wa usalama kutomfata fata na si kuzumgumza hivo! relevant issue must not be submerged by irrelevant issue. Ishu ya deni la ndege ya bombedier ni relevant hayo mengine so irrelevant.
Tatizo la ulevi lina hatua tatu: Moja ni kutokana na hali ya mtu kutoka tarajio fulani hadi kutokua na tarajio. ( huyu rahisi kusaidika):Mbili inatokana na tabia na ile self esteem ya mtu katika pombe, yani pombe kwanza mengine badae(addiction) hyu kumsaidia hadi upenye kwenye tiba ya saikolojia...
Nionavyo mimi damu inabeba vinasaba hai na seli za mnyama husika endapo seli zitakua na maambukizi ya bakteria au virusi ni rahisi kumpata binadam..rejea chanzo cha Ebola hata Hiv .Pia machapisho ya kitabibu ya kale yanaonesha jinsi mwanadam alivofanikiwa katika kutatua changamoto za maambukizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.