Kuanzia muda Huu sitoitumia Tena line yenu naona mnataka kutufilisi.
Leo nimeunga Bando kama kawaida Yangu.
Ofa yako kisha
Bando Zaidi
Sikufungua video
Wala Sikutumia YouTube, TikTok wala Ista
Zaidi ni kusoma message za WhatsApp tu
Eti inaingia SMS Ya Kingesengese umemtumia 75% Ya Bando la...
Walipotoka wale wakuu wa wilaya wateuliwa Na Barbie Kabaye Nimehama Naangalia Morning Trumpets Azam Hapo Ndio Pengo la Ruge Mutahaba Linaonekana Sasa Kwenye Hii Tasnia ya Habari.
Ŕuge alikuwa anajuwa saana kupanga team kwenye vipindi
Bujibuji kote huko nimewahi kuzungukia ila hapa ni kiboko hawa ni wezi wasio na Aibu na wala hawana aibu pia hawajui kuiba wanadhani wote wanaotumia Simu za mkononi ni washamba.
Nitasikitika mamlaka Kama hazitakaa kuichukulia hatua kali za kisheria kampuni hii ya mawasiliano ya Simu za mkononi ya Airtel hapa nchini kwetu kwa wizi.
Airtel wafanyakazi wenu wasio waaminifu hawawezi kuzibeba wala kuwa Na Dhamana baina yao na sisi wateja wenu bali ni nyie waajiri wao kwa...
Wewe Unatakaje kwani hii si biashara au Umesahau Nokia walikuwa wanafanyaje enzi hizo?
Wacheni hizo watu wanashindana kwenye kuionyesha Dunia ya Technology ubunifu wa Smartphone inayopelekea na sisi huku tufaidike na punguzo la bei we unafikiri isingekuwa hivyo kuna wabongo Wangapi leo...
Kuna watu hawana kazi yani wewe wazazi wako hiyo ada bora wangenunuwa Punda ziwasaidie kuchota Maji kuliko kukupeleka Darasani kufuta ujinga ndio umezidi kuwa mjinga
Nani kakuambia au unadhani haya maradhi ni ya mchezo mchezo Sio leta vyote hivyo sio tangawizi tu hata taborawizi Last June kafariki kaka Yangu mwingine Nairobi Hakuna mti na mmeya ambao hakutumiwa kwa kufukizwa na kunyweshwa mpaka baadhi zililetwa kutoka India na kwingineko lakini mungu...
Naomba muelewe huu ugonjwa wa corona au hivi virusi vyake vina different phace Unaweza kupata hiyo Covid 19 usijiwe na ikaisha usijuwe Unaweza kupata na ukasuffer na ukapona nina bahati mbaya nimepooteza ndugu wanne kwa Maradhi haya.
Nimeweza kupata experience ya kutosha na wala haitegemei...
Marehemu ni Kaka Yangu na Kaka zangu Wengine waliokwenda London kumzika Leo wamegunduwa vitu vingi saaana ikiwemo baadhi ya Abiria kufoji Madical Report Kama wameshapimwa COVID 19 Marehemu Nilipoongea nae aliondoka Nairobi akiwa mzima hata Screen test alifanyiwa yeye na cabin crew wake wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.