Search results

  1. M

    Iran: Israel itafutwa kwenye ramani ya dunia

    Ila patachimbika!!!
  2. M

    Hamis Kiiza 'Diego' amwaga wino Simba!

    Masuke inaonekana hulijui soka la bongo!!
  3. M

    Nafssi za kazi game

    Nenda mwenyewe usipende mtelemko kijana, kaulize pale pale!!
  4. M

    Hamis Kiiza 'Diego' amwaga wino Simba!

    Ngoja tuone maajabu ya musa!! Mwaka huu kwa kiiza!
  5. M

    Jeshi latanda Mjini Songea

    dah!!amakweli ya ngoswe mwachie ngoswe,tunalipeleka Wap taiga hili tukufu???
  6. M

    Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    dah!umenena ukweli mtupu ndugu yangu!ila umesaidia xana kuwapanua mawazo vijana wanaohtimu vyuo vikuu kwa hapa tanzania!
  7. M

    Sababu za CCM Kuogopa Katiba Mpya Hizi Hapa

    Kidogo hoja imenikuna!
  8. M

    Nyumba iliyogeuzwa danguro la bangi huko tabata yafichuliwa , vibaka na makahaba wala kibano

    Hapo ndo tujiulize mpango wa serikali kwa vijana ni upi?
  9. M

    Nyumba iliyogeuzwa danguro la bangi huko tabata yafichuliwa , vibaka na makahaba wala kibano

    Hapo ndo tujiulize mpango wa serikali kwa vijana ni upi?
  10. M

    Justi bieber ni noma, hivi ndo alivyoamua kulifanya gari lake. Cheki hapa

    Kiukweli ni kwamba jamaa wako juu,na huu ndo wakati wake wa kuenjoy.
  11. M

    post za jeshi 2013

    xafi maana hawezi ingia jeshin mpaka apitie jkt,kwani siku hizi mfumo wa kuajiri umebadilika jwtz wanaajiri vijana kutoka jkt tu labda uwe professional.
  12. M

    Kunani wizara ya afya na ustawi wa jamii...!!??

    Hii ni ajabu kweli kweli kwa nchi inayotafuta wataalamu katika kada mbalimbali!!hebu angalia maajabu ya badhi ya wizara zetu hapa nchini,zinatangaza nafasi za kujiunga na masomo katika madaraja tofautitofauti lakini wanaweka vikwazo na huku wakijua vijana wengi wanazihitaji nafasi hizo kwa muda...
  13. M

    wizara ya futa ajira mpya za walimu 2013

    Yanini malumbano,fanyeni hivyo check out all of the web sites.
  14. M

    Kawambwa Afunguka Necta2012

    Haa!ndivyo nchi inavyoendeshwa ndugu yangu.yaani mpaka afe.
  15. M

    Matokeo Necta2012Kutenguliwa

    Mwache atengue na mtazamo hasi aliokuwa nao,ni ajabu xana kutenda kosa na kuzidi kulijadili kosa!kwanini asijadili ni namna gani atalitatua hili tatizo,mawaziri na viongozi wa secta zote nchini kwa kushirikiana na wadau wa elimu jaribun kumshauri huyo raisi.
  16. M

    Wazazi msitafute mchawi wa watoto wenu kufeli... Angalieni madudu ya watoto wenu kwenye picha hizi.

    Jamii forums bado mpo correct!kwani ukweli ndio huo tu,leo hii watoto wa sec.schools haswa wale wa gvt's schools wanaongoza kufanya madudu kama hayo na hii ni wazi kabisa kuwa wako huru.ukweli ni kwamba kwa sasa private schools ndizo shule zenye nidhamu ambayo huwasaidia katika structural...
  17. M

    Tusifichane shemeji zetu!

    Hii ni kweli na ilitoke juma lililopita maeneo ya Dsm.marafiki wawili walioshibana,kujaliana na kuishi kama ndugu walipo kosana kisa huyu bint!mmoja kati yao alikuwa na mpenzi lakini hakupenda kumtambulisha rafiki yake,hawa jamaa walikuwa wakiishi umbali kadhaa,hivyo huwa wanatembeleana.sasa...
  18. M

    Vyuo vya uuguzi

    Msaada,please!! Je naweza pata form za kujiunga na vyuo vya afya kutoka wizara ya afya na ustawi wa jamii??
Back
Top Bottom