Search results

  1. V

    How to put a lady in da mood

    mimi ni mwanamke ninafanya kazi na simtegemei mwanaume.sasa niwaulize wakina baba hapo mme wangu labda kafukuzwa kazi na mimi ninafanya nani atamuangalia si ni mimi?yeye si atakuwa nyumbani itabidi afanye kazi za nyumbani na kuangalia watoto mpaka atakapopata kazi tukishirikiana pamoja.
  2. V

    Raha ya Ubazazi/Cheating!... (?)

    mimi kwa upande wangu naamini kwamba kama mwanaume wangu anataka nje na hana mapenzi kwangu mimi nakuruhusu uende na nitamuomba asirudi na wala sita gombana na yeye.sababu magonjwa mengi.mimi nisingependa nimpe partner wangu gonjwa lolote na yeye afanye hivyo hivyo.kuna wanawake wengine...
  3. V

    Mapenzi! (?)

    MCHONGOMA hayo ni maneno umetoa.shukuru ulichonacho na kama jamani kuna matatizo ndani ya ndoa watu tuongee na partners wetu na kufindishana tunapendelea nini
  4. V

    Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

    nikupe jibu mimi nimeona wasiotahiriwa sasa sijui kama ni wote
Back
Top Bottom