Search results

  1. Mzee Mwanakijiji

    Nani....?

    Kwani kimekukuta nini? Njoo kule ujieleze
  2. Mzee Mwanakijiji

    Nani....?

    That makes both of us..I'm a proud graduate of EIB...
  3. Mzee Mwanakijiji

    Nani....?

    Umeonaaa
  4. Mzee Mwanakijiji

    Nani....?

    Dr Lizzy..what is going on? Kimekukuta nini?
  5. Mzee Mwanakijiji

    Wazo Fupi: Kama Rais Samia hakueleweka basi haeleweki na haelekei kueleweka

    Tukianza kuhesabu kauli hii tunaweza kuandika nyuma ya mabasi...wanaenda wanatazama halafu wanasepa...
  6. Mzee Mwanakijiji

    Wazo Fupi: Kama Rais Samia hakueleweka basi haeleweki na haelekei kueleweka

    Na. M. M. Mwanakijiji... Alipozungumza Jana Rais Samia kuhusu kukosa usingizi kunakomkuta kama Rais unaweza kudhani roho ya Magufuli ilimuingia ghafla. Yaani, maneno yake ukiyaweka kwa sauti na ukali wa Magufuli...unaweza Kwanzaa kuwaonea huruma Hawa wakuu wa mikoa. Nasubiri kuona Nani atakuwa...
  7. Mzee Mwanakijiji

    Mwigulu Nchemba-Out of touch. Anasema hakuna wizi serikalini, Rais ampa mfano wa mtandao wa wizi Mbeya

    Sijaelewa... kama kweli wapo na wametangazwa hadharani hawajashtukizwa kutiwa pingu..wanaanza leoleo kuvunja mtandao na kupoteza ushahidi..hizo hela walizojigawia si ndo itakuwa "kilichoenda kwa mganga "?
  8. Mzee Mwanakijiji

    Rais Samia awakana machawa, asema yeye hana makundi

    Isije kuwa Hana makundi ila ana kundi ...
  9. Mzee Mwanakijiji

    Wazo Dokezi: Upigaji wa Uchaguzi Mkuu Utaanza "Soon"...

    Na. M. M. Mwanakijiji Mojawapo ya vitu ambavyo huwa vinafanywa 'vizuri' na watawala wa watawaliwa unapoelekea mwaka wa uchaguzi ni jinsi gani huwa wanajipanga kujipendezesha kwa wakubwa wa dunia. Unajua pale nchi inapojisema tu kuwa ni ya "kidemokrasia" basi wakubwa wanaanza kuangalia vitu...
  10. Mzee Mwanakijiji

    Pendekezo langu: Tupitishe sheria yakua ukitaka kugombea uongozi ngazi za juu sharti uwe na kampuni zako kiufupi uwe tajiri

    sasa wakishakuwa matajiri watataka kugombea nafasi za uongozi ili wawe nini?
  11. Mzee Mwanakijiji

    Ili kupaa kisiasa Tanzania inabidi umuongelee Hayati Magufuli tu

    Ikifika 2025..mama akianza kuimba wimbo mwingine utasikia waitikiaji wanavyopaza sauti kuitikia...
  12. Mzee Mwanakijiji

    Mnataka kumbebesha Hayati Magufuli madhambi yenu?

    Magufuli amesababisha hayo matatizo akitokea kusimamia Malaika ahera madukani...
  13. Mzee Mwanakijiji

    Mnataka kumbebesha Hayati Magufuli madhambi yenu?

    Na ukakoma kwani Sasa hivi hakuna watu katili tena. Au anaendeleza ukatili akitokea ahera madukani.?
  14. Mzee Mwanakijiji

    Mnataka kumbebesha Hayati Magufuli madhambi yenu?

    Sitetei kama kipofu...tuwe wa kweli. Unapolinganisha kitu unalinganisha na kingine. Ukisema "mtaa ule una nyumba moja mbaya sana, haina mabati mazuri wala milango imara". tunaenda mtaani na kuangalia na kukuta kuna nyumba moja tu. Sasa unawezaje kulinganisha. Uchaguzi au uchafuzi wa 2020...
  15. Mzee Mwanakijiji

    Mnataka kumbebesha Hayati Magufuli madhambi yenu?

    Ilitokea wakati wa uchaguzi, siku ya uchaguzi? Kwenye kampeni? Nani alimwaga damu kuelekea uchaguzi wa 2020? Ndiyo hoja iliyowekwa mezani.
  16. Mzee Mwanakijiji

    Mnataka kumbebesha Hayati Magufuli madhambi yenu?

    Kawaida ni kawaida tu haiwezi kuwa kawaida kawaida nyingine wakati ni kawaida ileile....mchezo wa Bumbuli wapo hausahauliki...kurudisha zile fomu...
  17. Mzee Mwanakijiji

    Mnataka kumbebesha Hayati Magufuli madhambi yenu?

    Hivi mnataka tuamini kuwa Uchaguzi Tanzania miaka yote ulikuwa unafanyika vizuri, kwa Amani, na bila makadokado ya Chama tawala na wapambe wake? Kwamba kufika 2020 mambo yakaharibika? Yaani, tuamini JPM na timu yake walivuruga uchaguzi ili washinde 2020? Kabla ya hapo mambo yalikuwa powa...
  18. Mzee Mwanakijiji

    Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao

    Tuache ufyatu..kwani nini kilitokea 2015 ambacho hakikutokea 2010 au 2005?
Back
Top Bottom