Search results

  1. pantheraleo

    Paul Makonda adaiwa kumtishia Maisha Salaah wa GSM. Polisi waogopa kumchukulia hatua Makonda

    Haya jamani mpo?? Sasa ni hivi Bashite hajabadilika hata kidogo. Kumbukeni mwaka jana kulikuwa na story kubwa ya Bashite kung’ang’ania nyumba aliyompora GSM kipindi cha Magu? Kama mnakumbuka hata majuzi tu Bashite aliongea kuwa na yeye kadhulumiwa nyumba, alikuwa anamuongelea yüke GSM wa Yanga...
  2. pantheraleo

    Mbowe na wenzako acheni kumzushia uongo Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

    8)Safari za nje anazofanya JK hugharamiwa na mashirika na taasisi zinazomualika.Hulipia usafiri, chakula na malazi.
  3. pantheraleo

    Mbowe na wenzako acheni kumzushia uongo Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

    6)Rais Samia alikuwa kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa AU na Rais Mstaafu JK alikuwa kwenye mikutano yake miwili. a)Wa kwanza ni High Level Panel on Water Investments in Africa and Ambassadors Side Event. Mstaafu JK ni Alternate Co-Chair wa hiyo High Level Panel ambayo Co-Chairs...
  4. pantheraleo

    Mbowe na wenzako acheni kumzushia uongo Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

    JK ni International figure, ana heshimika kimataifa, tumwache aendelee na majukumu yake ya kimataifa yanagharamiwa na wahusika wanaomwalika. Nimefuatilia mitandao ya kijamii kuna baadhi ya watu wanajaribu kupotosha kuhusu safari za Rais Mstaafu Jakaya Kikwete. Nawakumbusha kuwa nchi yetu ina...
  5. pantheraleo

    Mbeya: Mkuu wa Mkoa feki akamatwa akisilikiza kero za Wananchi

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera anatakiwa awe Mkoani kwake Mbeya. Lakini yeye miezi kadhaa yupo Mkoa wa Jirani huko Ruvuma akifanya mikakati ya Ubunge wa 2025 Hata wananchi walishamsahau wala hawajui kiongozi wao nani. Sasa leo kajitokeza Mkuu wa Mkoa feki wa Mbeya na kuanza kusikikikiza...
  6. pantheraleo

    Harakati chafu za RC Juma Homera katika jimbo la Namtumbo, zinaharibu kazi nzuri inayofanywa na Rais Samia

    Kuna mambo mengi yanakwama hapa Mbeya. Wananchi bado wanalalamika na Gharama za Maisha, Sukari haishikiki. Mtu ambaye angesaidiana na Wakuu wa Wilaya kusimamia haya ni Mkuu wa Mkoa. Ajajbu mkuu wa Mkoa anamaliza hata Wiki mbili yupo Songea na Namtumbo kufanya Ushawishi wa Ubunge ili agombee...
  7. pantheraleo

    Harakati chafu za RC Juma Homera katika jimbo la Namtumbo, zinaharibu kazi nzuri inayofanywa na Rais Samia

    Kila mtu afanye yake. Mkuu wa Mkoa ahangaike na mkoa wake. Nshawasoma Chawa wa Homera, wapo kazini kujibu mashambulizi, kweli unaukimbizia Ubunge!! Tamaa ya nini Homera, hutosheki?
  8. pantheraleo

    Harakati chafu za RC Juma Homera katika jimbo la Namtumbo, zinaharibu kazi nzuri inayofanywa na Rais Samia

    HARAKATI CHAFU ZA RC WA MBEYA JUMA HOMERA KTK JIMBO LA NAMTUMBO ZINAHARIBU KAZI NZURI INAYO FANYWA NA RAIS SAMIA KTK UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM. Hivi sasa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera hakai kituo chake cha kazi Mbeya badala yake yupo kila mwezi anakwenda Ruvuma kufanya kampeni za Ubunge...
  9. pantheraleo

    Ndugu wa Likwelile: Inawezekana Vicky hana ndoa halali basi mpeni mali zake aendelee na maisha yake

    Msimuonee Vicky Kamata tafuteni taarifa sahihi kisha mseme. Mimi nimefuatilia kwa kina na nimepata stori kubwa kutoka kwa ndugu wa karibu wa Likwelile. Ameongea kwa uchungu sana juu ya watoto wa marehemu wanavyozidi kumuaibisha ndugu yao kwa tamaa ya mali za Vicky. Shemeji yetu tunamjua na...
  10. pantheraleo

    Amri ya Mahakama Kuu iliyofanya VIP Engineering kulipwa Fedha zake

    KUNA vita ya manyani inayopiganwa sasa hapa nchini. Ni vita ya nyani kuchekana maumbile yao ya nyuma. Maumbile ya nyani hayatofautiani lakini hakuna nyani anayeweza kuona sehemu zake za nyuma isipokuwa za mwenzake. Nyani haoni kundule. Siku zote vita siyo kitu kizuri na hasa inapopiganwa na...
  11. pantheraleo

    Kampuni za Uber na Tigo watangaza ubia wa kampeni ya kuwazawadi wateja wao wanaotumia huduma za Uber

    Afisa Mkuu wa Kampuni ya Tigo Kitengo cha TIGOPESA Angelica Pesha (wapilikulia), akishikana mikono na Meneja wa kampuni ya Uber ukanda wa afrika mashariki Imran Mnji wakati wa hafla ya kutangaza ubia wakufanya kazi pamoja kwa muda wa mwaka mmoja wa kampeni ya kutoa zawadi kwa madereva na...
  12. pantheraleo

    Production data corroborates validity of proposed cement takeover megadeal

    By our Reporter, The proposed takeover of majority shares of Tanga Cement by Twiga Cement will not create a cement behemoth that will monopolise the domestic market beyond the allowed threshold for fair competition as set about by regulations, analysis of production data of cement in Tanzania...
  13. pantheraleo

    The saga of the sale of 68.33 percent of Tanga Cement PLC shares to Scancem International

    The saga of the sale of 68.33 percent of Tanga Cement PLC shares to Scancem International Da has continued to raise various arguments for some development stakeholders and others to the point of appealing to the High Court of Tanzania for fair competition. The discussions have continued to...
  14. pantheraleo

    Mradi wa Uvinza–Malagarasi (Kilometa 51) umetoa ajira 216

    Mradi wa Uvinza–Malagarasi (Kilometa 51) ambao gharama zake ni Tsh. Bilioni 62.7, ni sehemu ya barabara kutoka Kigoma, Uvinza, Malagarasi na Tabora ambapo kwa jumla urefu wake ni Kilometa 214. Akizungumzia mradi huo, Mhandisi Ngoko Mirumbe ambaye ni Kaimu Meneja wa TANROADS Kigoma amesema...
  15. pantheraleo

    Kigoma: Ujenzi barabara ya Chagu-Kazilambwa umewapunguzia watumiaji mzunguko wa Kilometa 300

    Ujenzi wa barabara ya Tabora Kigoma njia ya Urambo, Kaliua, Chagu hadi Kazilambwa, yenye urefu wa Kilometa 36 umegawanyika katika sehemu mbili, kuna upande wa Kigoma ambapo kuna urefu wa Kilometa 10 na Tabora ambapo kuna Kilometa 26. Mhandisi Ngoko Mirumbe ambaye ni Kaimu Meneja wa TANROADS...
  16. pantheraleo

    Rais Samia apongezwa kuchukua hatua ripoti ya CAG

    Mwandishi Wetu RAIS Samia Suluhu Hassan amemwagiwa sifa na wananchi na viongozi mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa kuchukua hatua za haraka na madhubuti kushughulikia uzembe na ubadhirifu wa pesa za umma uliobainishwa kwenye ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)...
  17. pantheraleo

    CAG afichua Serikali ya Magufuli ilivyoisababishia taifa hasara ya Sh 1.7 trilioni mradi wa SGR

    Ripoti mpya ya CAG iliyotolewa Aprili 6, 2023, yasema Serikali ya Awamu ya 5 ilivunja sheria ya nchi kwenye utoaji wa kandarasi ya reli Ilikubali masharti mabovu ya Benki ya StanChart kuwapa kandarasi Waturuki kwa gharama ya juu bila tenda ya wazi ya ushindani ========= Na Waandishi Wetu...
  18. pantheraleo

    Sabaya amekiri makosa yote yaliyokuwa yanamkabili na Uhujumu Uchumi. Walionyanyaswa na Sabaya waende wapi Kushitaki?

    Anaandika Malisa GJ Sabaya amekiri makosa yote yaliyokua yanamkabili. Uhujumu uchumi ameomba "plea bargaining" na ametakiwa kulipa faini ya milioni 5. Yani fedha zote alizodhulumu kwa wafanyabiashara, watu binafsi na taasisi, faini yake ni milioni 5 tu. Makosa mengine Mahakama imempata na hatia...
  19. pantheraleo

    Kama Ripoti ya CAG ni nzuri, Rais ni mzuri

    MJADALA wa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) unaoendelea baada ya kuwasilishwa kwake bungeni Dodoma wiki hii, umeacha nje jambo moja – nafasi na umuhimu wa Rais Samia Suluhu Hassan kwenye jambo hilo. Ni rahisi kuelewa kwa nini macho na masikio ya wengi yataelekezwa...
  20. pantheraleo

    Dar: Show ya Heshima kwa Wakongwe wa Bongo Fleva si ya Kukosa

    Deiwaka World chini ya Joseph Mbilinyi “SUGU” kwa kushirikiana na Alliance Francaise (Kituo cha Utamaduni cha Ufaransa), imeandaa “Bongo Flava Honors” Concerts ambalo ni Jukwaa mahsusi kwa Wakongwe wa Bongo Flava. Concerts hizi zitafanyika Alliance Francaise, Upanga, Dar Es Salaam. Kila mwezi...
Back
Top Bottom