Search results

  1. M

    Watoto hawataki kutoka sebuleni nivae nguo

    Kwa nini usibadilishie bafuni alafu sebuleni ukapake mafuta tuuuuu
  2. M

    Sensa na makarani na wakufunzi

    Wivu ni kitu kibaya sana, hivi ungepata wewe ungeleta hizo ngonjera zako?? Kaa mkao wa kuhesabiwa ndugu....
  3. M

    CHADEMA: Tunamtaka Spika Tulia aheshimu Katiba ya JMT kwa kuwaondoa bungeni Wabunge 19 wasio na chama

    Ushauri wangu kwa CHADEMA Wana mambo mengi ya kufanya kwa taifa ni bora wakomae na hizo na kuachana na ngonjera zao za kila siku wabunge 19. Kwa kifupi zinaboa
  4. M

    Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

    The picnic pana wadada wazuri sana muda wote mapaja yao meupe yapo wazi kabisa napakumbuka sana kila nikienda Arusha lazima nikadhuru pale.
  5. M

    Dkt. Msonde alistahili kuondolewa Baraza la Mitihani (NECTA)

    Mtoa post unaonyesha ni jinsi gani ulivyokuwa kichwa maji.
  6. M

    Mafuta ya kupikia bei juu, Chips bei ile ile!

    Ninakoishi Mimi lita 10 ni tsh 68000/=
  7. M

    Waziri Mkuu Kasim Majaliwa tayari umeshajikanyaga, fanya hima ukawaombe radhi wana NgoroNgoro

    Mtoa posti lazima atakuwa mmasai tu anetetea maslai yake tu au anayetafuta huruma toka kwa watu wengine
  8. M

    Spika Ndugai: Rais Samia naomba unisamehe kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yangu🙏

    Mtoa post simamia kwenye msamaha mambo mengine wacha ya pite tuuu
  9. M

    Dhambi ya usaliti, kwasasa inamtesa sana Halima Mdee kuliko wenzie 18

    Majungu na fitna ndio inatutawala sisi binadamu na kikubwa hatupende wengine wapate wanavyopata.
  10. M

    Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

    Duhuuuu Mwanza wataingia saa ngapi? Safari nduguuuu
  11. M

    Watoto wangu wamejifunza kucheza upatu shuleni na watoto wenzao

    Hila walimu tunawabebesha mzigo mkubwa wa lawama, kwani ni walimu ndio wanawapa hao wanao hiyo michango ya tsh 500 wanazopeana?
  12. M

    Serikali itunge sheria kuhusu uzazi wa mpango angalau watoto wawili kila familia maana kasi ya uzazi Tanzania inatisha

    Kama hauna mbegu za kuzalisha wapishe wenye nazo tafadhali, kwani umeombwa msaada wa kuwasaidia hao wenye watoto wengi?
  13. M

    Waziri wa Elimu na TAMISEMI, ni sawa Wanafunzi Shule za Serikali kuambiwa waende na dissecting kit na vitabu vya tahasusi?

    Hawa ni wazazi ambao hata kuwapelekea watoto chakula shuleni hilikuwa ni shida sasa anafikiri na A level ni hivyo hivyo. Badilika mzazi timiza mahitaji yote uliyoambiwa.
  14. M

    Sikumbuki mara ya mwisho ilikuwa lini Askofu kukamatwa na kudhalilishwa kiasi kile

    Upo sahihiii kabisa maana askofu kaacha kabisa kazi yake amebaki kwenye siasa tu mi nashauri kwa huyu askofu ahifadhiwe tu kwa muda mrefu
Back
Top Bottom